Punyeto ni kitu ambacho huja kawaida kwa wavulana wakati wa kufikia umri fulani.Hauhitaji mafundisho yoyote.Na katika baadhi ya kesi, inaweza kuendelea hadi kuwamtu mzima, na inaweza kudumu katika maisha yote. Ni maarufu miongoni mwawavulana kwa sababu inatoa au kupunguza matatizo yao ya kuchanganyikiwaktuokakana na kutojamiiana, na haina hathari yoyote katika kijamii, ila inaweza hatarisha kutotamanimpenzi wako. Aidha, ni shughuli ya siri, hakuna haja mtu kujua ninikinachoendelea huko bafuni au jinsi ya kuifanya.
Wazaziwamekuwa wakiwakanya watoto wao kutofanya hivyo. Wazazi huogopa au huwa nawasiwasi zaidi kwa ajiri ya kejeli yakijamii na kwamba huenda punyeto baadaea ikaharibu afya za watoto wao. Lakini sasa, masuala yaafya ya Punyeto
Takwimuzimeonyesha kuwa angalau 87% ya wanawake wote na 95% ya watu wote wamejaribu kupigapunyeto, (kwani kwa mwanamke husgua kisimi ili apate orgasm, hiyo ndo aina yapunyeto kwa mwanamke). Ni jambo la kawaida kwamba watu wanapuuzia afya zao nakupiga punyeto, lakini tatizo hili kwa baadae humuingia mtu kichwani na kuwanalifikiria tu, na hivyo kufanya awe anawaza kufanya mapenzi saa zote, nahumsababisha kupiga punyeto mara kadhaa kwa siku. Kitendo cha kufikirianakufanya kila siku chaweza hatarisha uimara wa uume wako kusimama kwa mdamrefu na pia neva zako kuharibika.
Hebu kwanza tujaribu kuangalia inavyo kuwa. Wakati wa kufanya hivyo, ubongo huamshahamungono. Hii ni hufanyika kwa kuhamasisha mfumo wa neva huitwaoparasympathetic nervous system. mfumo wa parasympathetic kuchochea ujasiri wachombo cha uzazi, ambacho huamka baada ya kusuguliwa kwa mda. Aina hii yamawasiliano kati ya mishipa ya uume hufanywa na kemikali ijulikanayo kamaasetilikolini. Asetilikolini husababisha msisimko na kuchochea neva za pembeni Peripheral nervous system.
Ini pia hujumuishwa. Moja ya kazi ya ini ni kutoa kemikali ili kuruhusuutendaji wa mfumo wa neva. Kemikali hizi hujulikana kama neurotransmitters. inihutoa neurotransmitters kama vile dopamine na serotonin, pamoja na asetilikolini.Sasa, unaweza jua kwamba kama ini litakuwa na kazi ya ziada ya kutoa hizikemikali basi litaanza taratibukushindwa kufanya kazi yake kuu ambayo ni ya kutolewa Enzymes (vimeng'enyo) na misaadakatika majukumu kadhaa ya mwili, ikiwa ni pamoja na uyeyushaji wa wa chakula nahomoni. tezi ubongo na Adrenal pia hutoa homoni nyingi na neurotransmitterswakati wa tendo hili, kama vile norepinephrine epinephrine, na dopamine.
Kama hupiga punyeto mara moja kwa kipindi fulani au baada ya mda mrefu, kemikalihizi hurudi katika hali yake ya kawaida dakika chache baada ya kuridhik (kupataorgasm). Hata hivyo, kupiga punyeto mara kwa mara husababisha uendelaji wakutolewa kwa kemikali hizi hivyo kuharibu mfumo wako wa neva na kukufanya kuwaunawaza hayo mambo
Kwa kawaida, wakati mfumo waparasympathetic neva unaharibika,uwezo wa nguvu zakiume pia hupungua au ahta kuwa *******. Uhanithi ni kawaida sana kwa wazee, na pia yawezatokakana na baadhi ya madawa. Lakini uhanithikwa vijana unawezatokana na upigaji punyeto wa mara kwa mara. Pia punyeto ya mda mrefu hukufanya kumwagamapema wakati wa kujamiana (premature ejaculation) au usiwe na hamu kabisa yampenzi. Kutokana na ukweli kwamba uume wako unasimama mara kwa mara basi hata misuri yake huishiwanguvu. Au kwa watu wengine kutokana na kemikali kuwa zinatoka mara nyingi basihuweza kusimama ghafla na kumletea aibu mbele za watu.
kutokana na kufikiria mambo hayo tu ,unaweza jikuta unaharibikiwa kifikira.
inaweza kuwa vizuri kufanya hivyo lakini isiwe mara kwa mar