Nakumbuka 2003 nimetoka zangu maskani nikaenda kununua floppy disk stationery, nikaenda kkoo kuna internet cafe ilikuwa kituo cha mafuta karibu na njia ya kwenda kkoo sokoni, pale nikasetiwa lisaa limoja nikadownload web page za mapicha mapicha ya kikubwa( enzi izo hakuna flash wala smart phone kwa hiyo kupata video inshu, labda uende kwa wataalam wakuchomee cd). Nikarud na mapicha yangu maskani nikaingiza diskette yangu kwenye desktop yangu nikaanza kuyacheki yale mapicha picha kwenye website page nilizosave kwenye diskette, mzuka unavopanda unasogeza mafuta na tissue karibu unapiga cha fasta then akili inakaa sawa maisha yanaendelea.