Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Kwa muathirika wa punyeto aliyefanya kwa miaka 9 kisha kuacha itachukua muda gani kurudisha nguvu za kiume?
Je, kuna dawa ya asili ya kutibu hili tatizo......?
Mtafute Daktari akupe Ushauri mzuri wa nini cha Kufanya,

Kwa Wastani Unapaswa kuangalia Ulaji wako na Ufanye Maziezi hii Itakusaidia kwa Kiasi fulani

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Kwahio kwa week siku 1 pia inamadhara mm siamini maana kama sijapiga yatatoka wenyewe nikilala
 
Hii kitu haifai, ni Dhambi na inaharibu Akili, Saikolojia na hata mwili wa mpigaji punyeto
 
Ni janga zito haswaa, na sikuhizi sio ajabu mtu anaweza akawa ana mke au girlfriend ambae wala hana shida lakini bado mwanaume akaendeleza uraibu wake wa kujipiga nyama, haijalishi mtu ana cheo gani, hali ya uchumi, rika, elimu, n.k hili tatizo limemeza wengi sana ila ni jambo linalofanywa kwa usiri mno.

Chukua kurani au biblia, apa kwa imani kwa Mungu kwamba hautapiga punyeto kwa mwezi hivi (au wiki mbili kama una hali mbaya)

weka agano na Mungu kwamba ukienda kinyume na uliloapa basi akupe adhabu kali mno.

Huo uoga utakufanya uogope kuvunja agano pale unapopata ashki, baada ya kipindi hicho kuisha, weka agano upya, Nina imani ya kwamba kama kweli unataka kuacha huu mchezo basi ukufanya haya utaweza.
 
Kwani ina tatizo gani? Kwa ME kusema hujawahi kufanya hilo, ni sawa na yeyote aseme hajawahi kupiga chafya.

Watalaamu wa afya wanasema "ku-pizi" mara kwa mara ni kinga ya ugonjwa wa tezi dume.

Na kwa ME mwenye afya njema manii zinazalishwa ndani yake muda wote..

Sasa, kama upo mazingira ambayo hakuna KE anayestahili ufanyeje? Ujaze tu manii ndani ili uumwe?
 
Back
Top Bottom