Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Kupiga punyeto kwa kuangalia porn kuna madhara zaidi. Hii ni kwa sababu za kisaikolojia zaidi kama ifuatavyo:
1. Kwenye porno si uhalisia ni fantasy. Wale wanawake wa kwenye porno wapo trained kufanya ngono kwa mtindo ambao kwa maisha halisi ngono haifanyiki. Mfano kuna category mbali mbali. Kuna hii inaitwa incest imeshik hatamu sana, kunacategory ya Anal sex, kuna threesome, kuna teen, milf,
Sahihi kabisa.
 
Punyeto ni uraibu kama uraibu mwengine tu na wengi hutamani kuacha ila hawajaamua!!.
Ipo hivi nilichogundua wengi wanaofanya huu mchezo Kuna walioona madhara na ambao hawajaona,walioona madhara baadhi wamejitoa na wengine bado wanahangaika na hili jinamizi punyeto!
Upatikanaji wa hilo tunda halisi duniani umekuwa mgumu kwa vikwazo vikuu viwili.

Mosi, papuchi nzuri na yenye mvuto imekuwa gharama sana.

Pili, kula mbususu na nylon nayo ni sawa tuu na kupiga nyeto
 
Ni miez mitatu sasa tangu niache punyeto najivunia sana Ila Leo itabidi nipige hata bado tatu za kujipongeza sio shughuli ndogo wakuu
Una tofauti fani na huyu alieandika hii caption
255684492813_status_dbc302c6c98340e89c9df16d34aba9d8.jpg
 
Wataalamu waliosomea Sayansi ya Ubongo, NeuroScience, waliusoma ubongo wa mpiga punyeto mmoja wakagundua, inarewire brain. Yaani zile pattern za matendo na tabia zinabadilika kabisa, unakuja kuona tabia mpya uliyonayo ni kawaida kabisa. Mpaka kuja kujua upo addicted,...
Emotionally intelligence...!???
 
kutoa manii nyingi si tatizo. Ni kwamba zimezalishwa kwa wingi mwilini.
lakini pia usipofanya mapenzi kwa muda mrefu pia unakuwa hujamwaga kwa muda mrefu
Je anaepiga mara moja kwa wik anapata madhara gan?
 
Back
Top Bottom