jamani niwaambie kuacha PUNYETO kuna raha sana .Mimi mwenyewe ni mtaalmu wa masuala ya afya lakini hii kitu nilisumbuka nayo. Si kitu rahisi lakini inawezekana ukiweka nia na ukiwa na msimamizi.
ukiacha PUNYETO unakuwa na confidence ya hali ya juu sana. unaweza ukafanya chochote kile. tangu nimeacha PUNYETO naelekea mwaka wa pili sasa. hali ya uume wangu imeimarika sana yaani nahisi kama nimezaliwa upya. kuna nyakati wife huwa ananiomba kabisa mechi aisee [emoji23][emoji23] na analinda kweli yaani, hapa home kuna mdogo wake kaja kutusalimu, basi huwa anatuchunga sana. (lakini mimi sina mpango nae)
moja kati ya vitu nilivyovishuhudia baada ya kuacha PUNYETO na video za ngono ni kuongezeka kwa confidence yangu. zamani nilikuwa sina kabisa mazoea na wanawake. nilikuwa nahisi kama vile wanafahamu nini nilichokuwa nafanya nyuma ya pazia. lakini baada tu ya kuacha na kuanza kutibu uume wangu. Baraka zilifunguka. nikapata mwanamke ambaye sikutegemea kama nitakuja kumpata na sasa hivi ni mke wangu w ndoa.
Sasa hivi nimekuwa mtu wa kujichunga sana na wanawake. maana naona wengi kama wanajileta sana na sitaki kuharibu ndoa yangu ni changa sana ,ndo kwanza mwaka na nusu.
ACHENI PUNYETO NDUGU ZANGU, INAWAWEKA MBALI NA USO WA MUNGU.
...MWENYE SIKIO NA ASIKIE, NIKO TAYARI KUWASAIDIA KWA YEYOTE ATAKAEHITAJI MSAADA WA KARIBU AHSANTENI