Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Wala sio nyeto japo me sio muumini wa nyeto.
Tatizo lako ni hofu , yaan unajikuta unapania sana kabla hajaja alafu unakua haujiamini unawaza sjui tamridhisha au sjui tamfanya vzr yaan hayo mawazo yanakutia hofu dem akija utaaibika tu.
Nakushauri jiamin ya kuwa kawaida na wala usipanie sema hiyo ipo kwenye ubongo hofu kuondoka ni tatizo kwako