Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Wala sio nyeto japo me sio muumini wa nyeto.

Tatizo lako ni hofu , yaan unajikuta unapania sana kabla hajaja alafu unakua haujiamini unawaza sjui tamridhisha au sjui tamfanya vzr yaan hayo mawazo yanakutia hofu dem akija utaaibika tu.

Nakushauri jiamin ya kuwa kawaida na wala usipanie sema hiyo ipo kwenye ubongo hofu kuondoka ni tatizo kwako
 
nakushauri.
1.tumia simu ya kitochi. achana na smartphone, achana na laptop.
2. futa video zote za ngono ulizodownload.
3.epuka kukaa mwenyewe kila wakati.
4. fanya mazoezi kila siku asubuhi na jioni yasiwe chini ya saa moja.
5. kula vyakula vyenye afya na maji ya kutosha.
One of the best advice ever, hasa penye kutumia kitoch na kutokaa pekeyako
 
Kabla ya show na huyu dem je huko nyuma show uliweza kupiga?? Hili ndo litakupa jibu sahihi kama ni hofu au ni kweli punyeto ndo tatizo! Kama huko nyuma pia umeshindwa kupiga show basi tatizo ni nyeto!
 
Wakuu leo naweza sema ni siku mbaya saana kwangu aisee

Kuna demu nilimpangaga mda mrefu bana leo akanikubalia kidume nikajipanga kupiga shoo.

Daaah tumeingia kunako sita kwa sita daaah jamaa kaamka ila hana hata nguvu amenyongonyea naingiza nikiitoa inalala dorooo. Napambana inaamka ila haina hata nguvu.

Demu akamind akaniomba taulo akaenda bafuni akavaa akasepa akagoma hata nimsindikize kasema ataenda mwenyewee hapa nilipo nawaza sana hyu demu mempoteza hivi hvi na ni mzuri sana.

Amechukia akawa anaongea na mm kwa hasiraa yaani ata sijui kama atarudi tena kwangu maana nimefelii kabisaa.

Mimi napiga saana punyeto naomba msaada niache hii hali meabika saana yaaani.
Mimi mwenyewe nimepiga Sana punyeto enzi zangu, nashukuru MUNGU niliachana na mchezo huo kitambo sana,sasa hivi naishugulikia Papuchi ya wife hadi anaomba poo.
 
Wakuu leo naweza sema ni siku mbaya saana kwangu aisee

Kuna demu nilimpangaga mda mrefu bana leo akanikubalia kidume nikajipanga kupiga shoo.

Daaah tumeingia kunako sita kwa sita daaah jamaa kaamka ila hana hata nguvu amenyongonyea naingiza nikiitoa inalala dorooo. Napambana inaamka ila haina hata nguvu.

Demu akamind akaniomba taulo akaenda bafuni akavaa akasepa akagoma hata nimsindikize kasema ataenda mwenyewee hapa nilipo nawaza sana hyu demu mempoteza hivi hvi na ni mzuri sana.

Amechukia akawa anaongea na mm kwa hasiraa yaani ata sijui kama atarudi tena kwangu maana nimefelii kabisaa.

Mimi napiga saana punyeto naomba msaada niache hii hali meabika saana yaaani.
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseee
 
Ilikuwa hofu tu sijui kama nyeto ikawa ndo sababuu..na hata kama ndo sababu labda ulikuwa unapigia kweny grenda ya kutolea kutu...sidhan kama sabuni ingekuletea dhahama zote hizo
Hahaha
 
Kabla ya show na huyu dem je huko nyuma show uliweza kupiga?? Hili ndo litakupa jibu sahihi kama ni hofu au ni kweli punyeto ndo tatizo! Kama huko nyuma pia umeshindwa kupiga show basi tatizo ni nyeto!
Usiendee mbali sana uliza tu asubuhi akiamka huwa inaenda mnara
 
Utakuwa mwanafunzi bado .
Alafu piga punyeto huku unakula vyakula vya kuongeza nguvu.
Karanga,matikiti,Al kasusu,mihogo mibichi,Nazi n.k
Unapiga nyeto unakula sembe?
 
Kabla ya show na huyu dem je huko nyuma show uliweza kupiga?? Hili ndo litakupa jibu sahihi kama ni hofu au ni kweli punyeto ndo tatizo! Kama huko nyuma pia umeshindwa kupiga show basi tatizo ni nyeto!
Shoo nilipiga vizuri tuu
 
Wakuu leo naweza sema ni siku mbaya saana kwangu aisee

Kuna demu nilimpangaga mda mrefu bana leo akanikubalia kidume nikajipanga kupiga shoo.

Daaah tumeingia kunako sita kwa sita daaah jamaa kaamka ila hana hata nguvu amenyongonyea naingiza nikiitoa inalala dorooo. Napambana inaamka ila haina hata nguvu.

Demu akamind akaniomba taulo akaenda bafuni akavaa akasepa akagoma hata nimsindikize kasema ataenda mwenyewee hapa nilipo nawaza sana hyu demu mempoteza hivi hvi na ni mzuri sana.

Amechukia akawa anaongea na mm kwa hasiraa yaani ata sijui kama atarudi tena kwangu maana nimefelii kabisaa.

Mimi napiga saana punyeto naomba msaada niache hii hali meabika saana yaaani.
We unapiga je punyeto mbona mwenzako nina 20 years experience na bado kazi napiga vizuri tu. Control akili yako.... Maana hapo ukienda kupiga mkono itasimama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Na achaneni na hizi punyeto za kubana dudu mkononi mnaua misuli
 
CHAPUTA SIKU YA KESHO TAREHE 03/12/2021 ITATOA TAMKO MAALUMU KUHUSU HUU UPOTOSHAJI WA MLETA MADA.

WAANDISHI WA HABARI MNAOMBWA KUFIKA KWENYE OFISI ZA CHAMA.

MNAKUMBUSHWA KUCHUKUA TAADHARI YA UGONJWA WA UVIKO

ASANTENI.
 
Back
Top Bottom