Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Hili tunda la Adamu na Hawa huwa ndiyo kiboko ya yote!!! Yaani tunalipenda mno wajameni!!! Naamini hii ndiyo relaxation ya pekee tuliyopewa na Mungu!!! Kwa huyu mdada, kwanza atuambie kweli kama huyo mpenzi wake aliyembali wana mahusiano mazuri kama awali au kuna dalili za kupungua? Kama kuna dalili hasi ni bora awe na mahusiano mengine ya karibu. Kwa kuwa siku hizi suala la sex kabla ya ndoa dunia imeshalihalalisha tofauti na enzi zile mchumba kwanza haruhusiwi kukutembelea na kama itatokea ni lazima asindikizwe!!!! Na hii iliwezekana maana binti anaolewa akiwa bikra meaning no mustarbation katika maisha yake!!! Miaka hii imekuwaje? Kuzini sisi wenyewe kwa kutumia viongo vyetu au viongo bandia, kuzini na midoli na kuzinia waume kwa wake!!! Another Sodoma and Gomora is on the way!!!, just around the corner.
 
Madhara
(1) Kupungua au kukosa kabisa hamu ya kufanya mapenzi na Mume au mpenzi wako
(2) Kuchelewa sana kufika kileleni au kutofika kabisa wakati wa tendo la ndoa
(3) Kuathirika kisaikolojia kutasababisha iwe ngumu sana kuacha kupiga punyeto na kuwa mtumwa wa punyeto
(4) Kinembe kuwa na ganzi ya kudumu na kupoteza hisia kabisa kutapelekea kutamani kufanywa kinyume na maumbile.

Mkuu, nadhani mleta mada ange clarify ni aina gani ya punyeto anayopiga...(a) Anatumia vidole vyake mwenyewe au (b) anatumia VIBRATOR. kama jibu ni (a) then your answers may apply ila kama jibu ni (b) then madhara yanatofautiana, mojawapo kubwa ni kulegea kwa misuli ya ukeni na hivyo kuifanya nyuche iwe loose sana na isiyokuwa na ladha kwa mwanaume.....ngoja na wengine wamwage point.
 
Cjanote mahusiano kufifia bana
 
Hyo no 4,imeniacha hoi!...
Kumbe wanaogogwa nyuma ndo walianzia hukueeh!?.....
 
Hili tunda la Adamu na Hawa huwa ndiyo kiboko ya yote!!! Yaani tunalipenda mno wajameni!!! Naamini hii ndiyo relaxation ya pekee tuliyopewa na Mungu!!! Kwa huyu mdada, kwanza atuambie kweli kama huyo mpenzi wake aliyembali wana mahusiano mazuri kama awali au kuna dalili za kupungua? Kama kuna dalili hasi ni bora awe na mahusiano mengine ya karibu. Kwa kuwa siku hizi suala la sex kabla ya ndoa dunia imeshalihalalisha tofauti na enzi zile mchumba kwanza haruhusiwi kukutembelea na kama itatokea ni lazima asindikizwe!!!! Na hii iliwezekana maana binti anaolewa akiwa bikra meaning no mustarbation katika maisha yake!!! Miaka hii imekuwaje? Kuzini sisi wenyewe kwa kutumia viongo vyetu au viongo bandia, kuzini na midoli na kuzinia waume kwa wake!!! Another Sodoma and Gomora is on the way!!!, just around the corner.

How sure u a,km hao waliokuwa wanaolewa mabikira walikuwa hawapigi hyo musterbation,as sio kila anaperform hyo ki2 lazima aingize kidole kunako k!?
 
Madhara
(1) Kupungua au kukosa kabisa hamu ya kufanya mapenzi na Mume au mpenzi wako
(2) Kuchelewa sana kufika kileleni au kutofika kabisa wakati wa tendo la ndoa
(3) Kuathirika kisaikolojia kutasababisha iwe ngumu sana kuacha kupiga punyeto na kuwa mtumwa wa punyeto
(4) Kinembe kuwa na ganzi ya kudumu na kupoteza hisia kabisa kutapelekea kutamani kufanywa kinyume na maumbile.
sio kweli.usiniulize nimejuaje
 
pole sana dada jitahidi kuwa busy na inapotokea hilo wazo limekuja vumiliaa tafuta namna ya kukutana na mpenzio angalau mara moja kwa mwezi.
 
Mkuu, nadhani mleta mada ange clarify ni aina gani ya punyeto anayopiga...(a) Anatumia vidole vyake mwenyewe au (b) anatumia VIBRATOR. kama jibu ni (a) then your answers may apply ila kama jibu ni (b) then madhara yanatofautiana, mojawapo kubwa ni kulegea kwa misuli ya ukeni na hivyo kuifanya nyuche iwe loose sana na isiyokuwa na ladha kwa mwanaume.....ngoja na wengine wamwage point.

NAWEWE PIA MKAREEE...!!
:smile: :smile:
 
Madhara
(1) Kupungua au kukosa kabisa hamu ya kufanya mapenzi na Mume au mpenzi wako
(2) Kuchelewa sana kufika kileleni au kutofika kabisa wakati wa tendo la ndoa
(3) Kuathirika kisaikolojia kutasababisha iwe ngumu sana kuacha kupiga punyeto na kuwa mtumwa wa punyeto
(4) Kinembe kuwa na ganzi ya kudumu na kupoteza hisia kabisa kutapelekea kutamani kufanywa kinyume na maumbile.
namba tano safari ya kuwa msagaji
 
FP ni kweli tupo tofauti sana asee ..embu niulize vidole navyo vinakuwa na ladha sawa na ile kitu na mtu anaridhika kabisa.

mbadala..... ni kutoa tu hiyo akili kichwani kwako. kuna wanasema mazoezi lakini mimi si mtu wa mazoezi kivile...... labda kuwa busy tu na mambo mengine.
lakini mimi naona (kama kweli unataka kuacha) mbinu pekee ni kujiamulia kabisa kwamba mkono hautakiwi kupita huko, labda wakati wa kuoga tu, lol!
 
FP ni kweli tupo tofauti sana asee ..embu niulize vidole navyo vinakuwa na ladha sawa na ile kitu na mtu anaridhika kabisa.
Chauro usiniulize hilo swali mimi, kama umesoma post zangu vizuri mimi sipo kambi hiyo, kwa hiyo sitaweza kukupa majibu kamili
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom