Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Hili tunda la Adamu na Hawa huwa ndiyo kiboko ya yote!!! Yaani tunalipenda mno wajameni!!! Naamini hii ndiyo relaxation ya pekee tuliyopewa na Mungu!!! Kwa huyu mdada, kwanza atuambie kweli kama huyo mpenzi wake aliyembali wana mahusiano mazuri kama awali au kuna dalili za kupungua? Kama kuna dalili hasi ni bora awe na mahusiano mengine ya karibu. Kwa kuwa siku hizi suala la sex kabla ya ndoa dunia imeshalihalalisha tofauti na enzi zile mchumba kwanza haruhusiwi kukutembelea na kama itatokea ni lazima asindikizwe!!!! Na hii iliwezekana maana binti anaolewa akiwa bikra meaning no mustarbation katika maisha yake!!! Miaka hii imekuwaje? Kuzini sisi wenyewe kwa kutumia viongo vyetu au viongo bandia, kuzini na midoli na kuzinia waume kwa wake!!! Another Sodoma and Gomora is on the way!!!, just around the corner.