Punyeto ni nini na nini madhara yake?
MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (MASTRUBATION)


Je Kuna Faida au Hasara ya Kupiga Punyeto?


Ili tuweze kuongezeka inatubidi tuzaliane kama viumbe wengine, na hatuwezi tu kuzaliana bila ya kujamiiana, na hatuwezi kujamiiana bila ya kuwa na hisia zitakazotupelekea kufanya kitu kama hicho. Katika maumbile ya mwanadamu hupata hisia hizo anapofikia umri wa kubalehe na ndio hapo huanza kuona mambo mageni kiasi cha kumfanya ajione tofauti na wengine hata kama nao walishapitia hatua kama hiyo.

Katika hatua hii ndio mbegu za uzazi (Sperms) zinaanza kutengenezwa na kukomazwa, hali inayomfanya mtu kuwa na hisia za kutaka kuwa na mwenzake (Girlfriend) ili atimize haja zake. Kwa asilimia kubwa ya vijana wa sasa hujichua ili kuondoa hisia hizi pale wanapokosa wapenzi, na imeathiri vijana wengi sasa bila ya wao kujua.

Kitendo hiki cha kujichua kinachojulikana kama "Kupiga punyeto" in English "Masturbation" huleta madhara ya muda mrefu ambayo ni vigumu mtu kugundua. Hebu tuangalie baadhi ya madhara ya kitendo hiki:


  1. Upungufu wa nguvu za kiume.
Hili ni tatizo linalowakabili watu wengi sana na hili pia hutokana na watu hao kuwa na mchezo wa kupiga punyeto hapo awali au hata muda huu. Na hivyo hukosa nguvu za kiume na kuwafanya wakose heshima ndani ya ndoa.


  1. Kutofurahia tendo la ndoa.
Kumbuka kuwa unapopiga punyeto unatumia mkono ambao unapewa amri na ubongo ya kufanya kile ambacho nafsi itaridhika, hivyo lazima utatumia nguvu nyingi za mkono kwa kadiri ya matamanio ya nafsi yako yanavyohitaji hali itakayopelekea kutofurahia tendo la ndoa kwani hapo utakuwa hutumii mkono bali ni kiungo kingine ambacho hukiamrishi wewe kufanya vile utakavyo.


  1. Madhara ya ndani ya sehemu za siri.
Kitendo cha kupiga punyeto hutumia sabuni ambayo ina kemikali, hivyo kitendo cha kusugua sugua kwa kutumia sabuni huifanya ipenye ndani au kwenye vitundu vidogo vya ndani ya ngozi na kuweza kukusababishia madhara mbalimbali. Ni wachache sana ambao hawatumii sabuni lakini bado haina faida kwani huweza kupata athari kwa sababu zingine.


  1. Kupunguza uwezo wa kufikiri.
Wafanyao kitendo hiki hutumia nguvu nyingi za akili kuwaza kuwa yuko na fulani kumbe sio kweli, yeye yuko peke yake bafuni na sabuni yake tu. Hali hii huumiza sana akili kwani ni kitendo cha kila siku na kwa vijana wengine hufanya mara mbili au zaidi kwa siku kutegemea na hisia zake, hivyo akili huchona na uwezo wa kifikra unapungua kwa kiasi kikubwa sana.

thinking_IQ.jpg


  1. Kukosa nguvu katika magoti.
Kufanya sana kitendo hiki hupunguza mafuta yalio katika viungio vya magoti na kufanya magoti kukosa afya na nguvu.

Unaweza kujiuliza sasa kama ni kijana ufanyeje ili uepukane na hili? Na je? Utadhibiti vipi hisia zako? Ni rahisi sana fanya haya yafuatayo:

1. Jiweke busy na masomo yako kwani ndiyo wakati wake huu na sio kufuata au kufikiria juu ya matamanio. Kumbka kuw amatamanio hayawezi kuja tu ikiwa utayapuuza na kujali mambo mengine ya muhimu kulingana na wakati wako.
learning_busy.jpg



2. Fanya sana mazoezi ya kuuchosha mwili kama vile kukimbia, kuruka kamba, kucheza mpira, basketball, karate na mengineyo ambayo yatakuchosha na kukutoa jasho kila siku kwa mpangilo maalumu.


running_exercise.jpg



3. Epuka kukaa peke yako bila kazi yoyote kwani kutakufanya ufikirie matamanio kwani ndio jambo linalotawala fikra za vijana.


think_love.jpg



4. Acha kula hovyohovyo bila sababu maalum na hasa epuka sana kula vyakula vya mafuta mafuta kwani hivi hutengeneza mbegu za kiume kwa kasi kubwa sana.


too_much_eating.jpg



5. Tumia muda wako wa free kupumzisha akili yako kwa kulala.


sleeping.jpg



6. Jitahidi kutokukaa bafuni kwa muda mrefu bil aumuhimu wowote na epuk akujisugua au kujishika sana sehemu za siri wakati wa kuoga.

Jitahidi ubadilike na fahamu kwamba kufanya hivyo kukiendelea sana kwako itakuwa tena sio mazoea bali ni tabia na siku zote mazoea hujenga tabia, utajikuta huachi hata kama utampata wa kukutimizia haja zako (Mke) kwani hutoridhika naye kwa athari ya mkono wako.

Fahamu pia kuwa kutafuta msichana (Girlfriend) sio njia sahihi kwani ndiyo sababu ya kuharibu jamii kwa kuwaharibia maisha yao kwa kuwapa ujauzito wakiwa mashuleni, kusambaza maradhi na kuleta watoto wa mitaani (Street Children).

Njia sahihi ni kama tulizozitaja hapo juu. Soma kawa bidii, Jali muda wako na kuwa makini sana. Utapata kazi nzuri,utampata akupendaye mkaridhiana, mkaoana na kujenga familia iliyo bora kabisa ambayo hata mungu ataipenda na kuibariki.@
fumba MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (MASTRUBATION) - AFYA <!--if()-->- <!--endif--> - Publisher - Staryte - Education, Entertainment & Development
 
Vijana wengi baada ya kujaribu kujiridhisha kwa njia ya kuchua hujikuta hawana uwezo wa kurudia tendo la ndoa, NINI TIBA
 
Mimi sio daktari,lakini dawa ya moto ni moto.Round ya pili ikikataa kapige puli ulale.
 
Ukweli baada ya kupitia michango ya wote,sijapata jibu kamili kuhusu punyeto. Sijajua kama ina madhara au haina. Kila upande umekuwa na hoja za msingi kabisa. Nisaidieni ndugu zangu nisije kuwa -------(kama wengine mlivyosema) kabla sijaoa.
 
Ukweli baada ya kupitia michango ya wote,sijapata jibu kamili kuhusu punyeto. Sijajua kama ina madhara au haina. Kila upande umekuwa na hoja za msingi kabisa. Nisaidieni ndugu zangu nisije kuwa -------(kama wengine mlivyosema) kabla sijaoa.
Mbona kila siku watu wanatoa maoni yao kuhusu ponyeto, jee wafuatilia vizuri makala za mkuu mzizimkavu na wengineo. Kwa ufupi ni kwamba ponyeto huathiri mishipa ya du.du.s mwisho wa siku atashindwa kusimama hapa kama kitumbua kipo wazi kinakusibiri, na hapo ndio mwisho wa ujanja wako..tafadhali achana nayo mara moja..! period
 
MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (MASTRUBATION) Je Kuna Faida au Hasara ya Kupiga Punyeto?

Ili tuweze kuongezeka

inatubidi tuzaliane kama viumbe wengine, na hatuwezi tu kuzaliana bila ya kujamiiana, na hatuwezi kujamiiana bila ya

kuwa na hisia zitakazotupelekea kufanya kitu kama hicho. Katika maumbile ya mwanadamu hupata hisia hizo anapofikia

umri wa kubalehe na ndio hapo huanza kuona mambo mageni kiasi cha kumfanya ajione tofauti na wengine hata kama

nao walishapitia hatua kama hiyo. Katika hatua hii ndio mbegu za uzazi (Sperms) zinaanza kutengenezwa na

kukomazwa, hali inayomfanya mtu kuwa na hisia za kutaka kuwa na mwenzake
(Girlfriend) ili atimize haja zake. Kwa

asilimia kubwa ya vijana wa sasa hujichua ili kuondoa hisia hizi pale wanapokosa wapenzi, na imeathiri vijana wengi

sasa bila ya wao kujua. Kitendo hiki cha kujichua kinachojulikana kama
"Kupiga punyeto" in English "Masturbation"

huleta madhara ya muda mrefu ambayo ni vigumu mtu kugundua. Hebu tuangalie baadhi ya

madhara ya kitendo hiki:

Upungufu wa nguvu za kiume. Hili ni tatizo linalowakabili watu wengi sana na hili pia

hutokana na watu hao kuwa na

mchezo wa kupiga punyeto hapo awali au hata muda huu. Na hivyo hukosa nguvu za kiume na

kuwafanya wakose

heshima ndani ya ndoa. Kutofurahia tendo la ndoa. Kumbuka kuwa unapopiga punyeto

unatumia mkono ambao unapewa amri na ubongo ya kufanya kile ambacho nafsi itaridhika,

hivyo lazima utatumia nguvu nyingi za mkono kwa

kadiri ya matamanio ya nafsi yako yanavyohitaji hali itakayopelekea kutofurahia tendo la ndoa

kwani hapo utakuwa

hutumii mkono bali ni kiungo kingine ambacho hukiamrishi wewe kufanya vile utakavyo.

Madhara ya ndani ya sehemu

za siri. Kitendo cha kupiga punyeto hutumia sabuni ambayo ina kemikali, hivyo kitendo cha

kusugua sugua kwa kutumia

sabuni huifanya ipenye ndani au kwenye vitundu vidogo vya ndani ya ngozi na kuweza

kukusababishia madhara

mbalimbali. Ni wachache sana ambao hawatumii sabuni lakini bado haina faida kwani huweza

kupata athari kwa sababu

zingine.
Kupunguza uwezo wa kufikiri. Wafanyao kitendo hiki hutumia nguvu nyingi za akili

kuwaza kuwa yuko na fulani

kumbe sio kweli, yeye yuko peke yake bafuni na sabuni yake tu. Hali hii huumiza sana akili

kwani ni kitendo cha kila

siku na kwa vijana wengine hufanya mara mbili au zaidi kwa siku kutegemea na hisia zake,

hivyo akili huchona na

uwezo wa kifikra unapungua kwa kiasi kikubwa sana. Kukosa nguvu katika magoti. Kufanya

sana kitendo hiki

hupunguza mafuta yalio katika viungio vya magoti na kufanya magoti kukosa afya na nguvu.

Unaweza kujiuliza sasa

kama ni kijana ufanyeje ili uepukane na hili? Na je? Utadhibiti vipi hisia zako? Ni rahisi sana

fanya haya yafuatayo: 1.

Jiweke busy na masomo yako kwani ndiyo wakati wake huu na sio kufuata au kufikiria juu ya

matamanio. Kumbka kuwa

amatamanio hayawezi kuja tu ikiwa utayapuuza na kujali mambo mengine ya muhimu

kulingana na wakati wako. 2.

Fanya sana mazoezi ya kuuchosha mwili kama vile kukimbia, kuruka kamba, kucheza mpira,

basketball, karate na

mengineyo ambayo yatakuchosha na kukutoa jasho kila siku kwa mpangilo maalumu. 3. Epuka

kukaa peke yako bila

kazi yoyote kwani kutakufanya ufikirie matamanio kwani ndio jambo linalotawala fikra za

vijana. 4. Acha kula

hovyohovyo bila sababu maalum na hasa epuka sana kula vyakula vya mafuta mafuta kwani

hivi hutengeneza mbegu

za kiume kwa kasi kubwa sana. 5. Tumia muda wako wa free kupumzisha akili yako kwa

kulala. 6. Jitahidi kutokukaa

bafuni kwa muda mrefu bil aumuhimu wowote na epuk akujisugua au kujishika sana sehemu

za siri wakati wa kuoga.

Jitahidi ubadilike na fahamu kwamba kufanya hivyo kukiendelea sana kwako itakuwa tena sio

mazoea bali ni tabia na

siku zote mazoea hujenga tabia, utajikuta huachi hata kama utampata wa kukutimizia haja

zako (Mke) kwani

hutoridhika naye kwa athari ya mkono wako. Fahamu pia kuwa kutafuta msichana
(Girlfriend)

sio njia sahihi kwani

ndiyo sababu ya kuharibu jamii kwa kuwaharibia maisha yao kwa kuwapa ujauzito wakiwa

mashuleni, kusambaza

maradhi na kuleta watoto wa mitaani
(Street Children). Njia sahihi ni kama tulizozitaja hapo

juu. Soma kawa bidii, Jali

muda wako na kuwa makini sana. Utapata kazi nzuri,utampata akupendaye mkaridhiana,

mkaoana na kujenga familia


iliyo bora kabisa ambayo hata Mungu ataipenda na kuibariki.cc.@
FLASH HIDER
 
Tatizo unashindwa kuukubali ukweli, tulishakuambia na leo nakuambia tena kuwa punyeto inapelekea uhanithi na inadogosha uume...
Watanzania hebu msiwe mnapenda kufarijiwa, ukweli hubaki kuwa ukweli.
 
Uache punyeto kabisa....themn changanya na mazoezi utarudi katiaka hali ya kawaida.....lakini uache punyeto kabisa yaani
 
Jitahidi kula lishe kamili na mazoezi... Hakikisha unapata virutubisho vinavyohitajika protin kwa wingi acha mean nyama choma punguza sana ongeza kula matunda nafaka na mazoezi kwa wingi..... Tumia ditoxfication foods na pumzika na punguza stress
 
piga misosi yenye virutubisho, tengeneza saikolojia yako vizuri, sahau madeni utapiga mzigo mpaka mtu ataomba poo. mimi juzi nimekuta na kitu kipya nilifanya hivyo mpaka sasa nimejenga heshima, mnara ulikuwa unasimama hamna network kukata kitu nilijiunga kabang......
 
piga misosi yenye virutubisho, tengeneza saikolojia yako vizuri, sahau madeni utapiga mzigo mpaka mtu ataomba poo. mimi juzi nimekuta na kitu kipya nilifanya hivyo mpaka sasa nimejenga heshima, mnara ulikuwa unasimama hamna network kukata kitu nilijiunga kabang......


Hhaha ha haaàaa...
usinivunje mbavu zangu mie!
 
Jitahidi kula lishe kamili na mazoezi... Hakikisha unapata virutubisho vinavyohitajika protin kwa wingi acha mean nyama choma punguza sana ongeza kula matunda nafaka na mazoezi kwa wingi..... Tumia ditoxfication foods na pumzika na punguza stress


Ditoxfication foods,
what foods are these?
 
Kwa mwanamme ukipiga bao mtalimbo lazima usinyae then watu wanatofautiana mda wa kurudia tendo wengine after 5min wengine 10mins wengine hata lisaa,nini kinasabisha mda kuwa tofauti?
Mvuto wa m/ke,lishe etc
Jibu ndio hilo Mvuto wa Mwanamke, hasa akiwa ndio mpya utapiga bao nyingi hasa, jinsi mnavyokwenda mtaanza kutengana, mara chumba mara hata wiki, miezi nk na kuona ni kitu cha kawaida.
Ila kwa Teenage kuiliona paja tu unajichafua na kuota kila mara, hivyo ukimpata ni hasira na mabao ya mfululizo
 
Back
Top Bottom