Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Pole kwanza: Nikupe hongera kwanza, kiwango cha wewe kutaka kuacha ni ishara nzuri tayari
Kila kitu ni maamuzi, na maamuzi yanaanzia akilini, Naelewa sio kitu rahisi lakini kinawezekana
Kwanza kabisa, Ukiwa na mpenzi wako natumai ni mdada unayempenda na unamtamani ukimwona, hivyo basi chukua muda wakati mnaandana, ku enjoy alivyo kwa kumuangalia na kumtomasa,, weka akili yote kwake,, kwanini nasema hivi, ili akiwa hayupo na una hamu ya kupiga punyeto, vuta hisia zako kwake, mpigie simu au uende ukaonane nae,, itasaidia sana

Kwa ushauri wa kiroho::: Hakuna linaloshindikana kwa Mungu kwasababu wakati mwingine unashindwa kwasababu unapambana na roho za giza hivyo, piga goti usali na kumwomba Mungu ukionesha dhamira ya kuacha mbele za Mungu na utaona mafanikio,,

All the best
 
Ahsante sana,lkn hv unawezaje kuepuka kitu hiki maana nimeshindwa

Ukidhamiria kuacha utaacha! Kama wewe ni mkristo au muislam, waweza mwomba Mungu akusaidie na wewe mwenyewe ukichukulie hicho kitendo kama ni kibaya na wakati ukifanya Mungu anakuona, hivyo utaacha. Ukiona unajiskia kujichua waweza chukua kitabu kitakatifu chochote usome ili hayo mawazo yakutoke. Pia ukiwa na girlfriend au mke, make sure unahamishia hisia zako kwao.
Kama ikiwezekana kwa mkristo onana na kiongozi wa kiroho akuombee au kama ni muislam onana na imam au shekh akutoe mapepo
 
imenibidi niliweke wazi tu,kupiga punyeto ni jambo linalonisumbua sana kwa muda sasa.Nilianza kpindi nipo o level shule ya bweni ya wanaume kutokana na hali yenyewe ilivyokuwa.Ijapokuwa sasa mpenzi ninaye lkn bado nimeshindwa kuacha,naomba ishauri jinsi ya kuacha punyeto na madhara ambayo yanaambatana na punyeto.
subiri ifike miaka 28 utaacha tu..
 
duh we piga punyeto haona madhara yoyote na itakuokoa na maambukizi ya ukimwi
 
Pole kwanza: Nikupe hongera kwanza, kiwango cha wewe kutaka kuacha ni ishara nzuri tayari
Kila kitu ni maamuzi, na maamuzi yanaanzia akilini, Naelewa sio kitu rahisi lakini kinawezekana
Kwanza kabisa, Ukiwa na mpenzi wako natumai ni mdada unayempenda na unamtamani ukimwona, hivyo basi chukua muda wakati mnaandana, ku enjoy alivyo kwa kumuangalia na kumtomasa,, weka akili yote kwake,, kwanini nasema hivi, ili akiwa hayupo na una hamu ya kupiga punyeto, vuta hisia zako kwake, mpigie simu au uende ukaonane nae,, itasaidia sana

Kwa ushauri wa kiroho::: Hakuna linaloshindikana kwa Mungu kwasababu wakati mwingine unashindwa kwasababu unapambana na roho za giza hivyo, piga goti usali na kumwomba Mungu ukionesha dhamira ya kuacha mbele za Mungu na utaona mafanikio,,

All the best

ahsante dada..
 
Kila upigapo punyeto lazima upate mkosi. Ni sawa na kufanya mapenzi na demu ambaye sio mkeo/kimada, Mungu anakuazibu kidogo. Watu wengi hawajui.
PRAY God will set you free.
 
piga picha ya demu wako uwe unatembea nayo mfukoni ikuboreshee hisia.pole xana.
 
imenibidi niliweke wazi tu,kupiga punyeto ni jambo linalonisumbua sana kwa muda sasa.Nilianza kpindi nipo o level shule ya bweni ya wanaume kutokana na hali yenyewe ilivyokuwa.Ijapokuwa sasa mpenzi ninaye lkn bado nimeshindwa kuacha,naomba ishauri jinsi ya kuacha punyeto na madhara ambayo yanaambatana na punyeto.


[h=2]MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (MASTRUBATION) Je Kuna Faida au Hasara ya Kupiga Punyeto?[/h]
Ili tuweze kuongezeka inatubidi tuzaliane kama viumbe wengine, na hatuwezi tu kuzaliana bila ya kujamiiana, na hatuwezi kujamiiana bila ya kuwa na hisia zitakazotupelekea kufanya kitu kama hicho. Katika maumbile ya mwanadamu hupata hisia hizo anapofikia umri wa kubalehe na ndio hapo huanza kuona mambo mageni kiasi cha kumfanya ajione tofauti na wengine hata kama nao walishapitia hatua kama hiyo.

Katika hatua hii ndio mbegu za uzazi (Sperms) zinaanza kutengenezwa na kukomazwa, hali inayomfanya mtu kuwa na hisia za kutaka kuwa na mwenzake (Girlfriend) ili atimize haja zake. Kwa asilimia kubwa ya vijana wa sasa hujichua ili kuondoa hisia hizi pale wanapokosa wapenzi, na imeathiri vijana wengi sasa bila ya wao kujua.

Kitendo hiki cha kujichua kinachojulikana kama "Kupiga punyeto" in English "Masturbation" huleta madhara ya muda mrefu ambayo ni vigumu mtu kugundua. Hebu tuangalie baadhi ya madhara ya kitendo hiki:



  1. Upungufu wa nguvu za kiume.

Hili ni tatizo linalowakabili watu wengi sana na hili pia hutokana na watu hao kuwa na mchezo wa kupiga punyeto hapo awali au hata muda huu. Na hivyo hukosa nguvu za kiume na kuwafanya wakose heshima ndani ya ndoa.



  1. Kutofurahia tendo la ndoa.

Kumbuka kuwa unapopiga punyeto unatumia mkono ambao unapewa amri na ubongo ya kufanya kile ambacho nafsi itaridhika, hivyo lazima utatumia nguvu nyingi za mkono kwa kadiri ya matamanio ya nafsi yako yanavyohitaji hali itakayopelekea kutofurahia tendo la ndoa kwani hapo utakuwa hutumii mkono bali ni kiungo kingine ambacho hukiamrishi wewe kufanya vile utakavyo.



  1. Madhara ya ndani ya sehemu za siri.

Kitendo cha kupiga punyeto hutumia sabuni ambayo ina kemikali, hivyo kitendo cha kusugua sugua kwa kutumia sabuni huifanya ipenye ndani au kwenye vitundu vidogo vya ndani ya ngozi na kuweza kukusababishia madhara mbalimbali. Ni wachache sana ambao hawatumii sabuni lakini bado haina faida kwani huweza kupata athari kwa sababu zingine.



  1. Kupunguza uwezo wa kufikiri.

Wafanyao kitendo hiki hutumia nguvu nyingi za akili kuwaza kuwa yuko na fulani kumbe sio kweli, yeye yuko peke yake bafuni na sabuni yake tu. Hali hii huumiza sana akili kwani ni kitendo cha kila siku na kwa vijana wengine hufanya mara mbili au zaidi kwa siku kutegemea na hisia zake, hivyo akili huchona na uwezo wa kifikra unapungua kwa kiasi kikubwa sana.

thinking_IQ.jpg



  1. Kukosa nguvu katika magoti.

Kufanya sana kitendo hiki hupunguza mafuta yalio katika viungio vya magoti na kufanya magoti kukosa afya na nguvu.

Unaweza kujiuliza sasa kama ni kijana ufanyeje ili uepukane na hili? Na je? Utadhibiti vipi hisia zako? Ni rahisi sana fanya haya yafuatayo:



  1. Jiweke busy na masomo yako kwani ndiyo wakati wake huu na sio kufuata au kufikiria juu ya matamanio. Kumbka kuw amatamanio hayawezi kuja tu ikiwa utayapuuza na kujali mambo mengine ya muhimu kulingana na wakati wako.

learning_busy.jpg





  1. Fanya sana mazoezi ya kuuchosha mwili kama vile kukimbia, kuruka kamba, kucheza mpira, basketball, karate na mengineyo ambayo yatakuchosha na kukutoa jasho kila siku kwa mpangilo maalumu.



running_exercise.jpg





  1. Epuka kukaa peke yako bila kazi yoyote kwani kutakufanya ufikirie matamanio kwani ndio jambo linalotawala fikra za vijana.



think_love.jpg





  1. Acha kula hovyohovyo bila sababu maalum na hasa epuka sana kula vyakula vya mafuta mafuta kwani hivi hutengeneza mbegu za kiume kwa kasi kubwa sana.



too_much_eating.jpg





  1. Tumia muda wako wa free kupumzisha akili yako kwa kulala.



sleeping.jpg





  1. Jitahidi kutokukaa bafuni kwa muda mrefu bil aumuhimu wowote na epuk akujisugua au kujishika sana sehemu za siri wakati wa kuoga.


Jitahidi ubadilike na fahamu kwamba kufanya hivyo kukiendelea sana kwako itakuwa tena sio mazoea bali ni tabia na siku zote mazoea hujenga tabia, utajikuta huachi hata kama utampata wa kukutimizia haja zako (Mke) kwani hutoridhika naye kwa athari ya mkono wako.

Fahamu pia kuwa kutafuta msichana (Girlfriend) sio njia sahihi kwani ndiyo sababu ya kuharibu jamii kwa kuwaharibia maisha yao kwa kuwapa ujauzito wakiwa mashuleni, kusambaza maradhi na kuleta watoto wa mitaani (Street Children).

Njia sahihi ni kama tulizozitaja hapo juu. Soma kawa bidii, Jali muda wako na kuwa makini sana. Utapata kazi nzuri,utampata akupendaye mkaridhiana, mkaoana na kujenga familia iliyo bora kabisa ambayo hata mungu ataipenda na kuibariki.

 
Nimeupenda ushauri wako mzuri kwani hata mm ilibidi nifanye hivo.asante wanadu kwa elimu hii
 
jamani mimi pia nimmoja wa wajanga wa híi kitu nmefanya kwa muda wa mwaka 1na nusu..hivyo tatizo langu linakuja tu wakati wa kufanya mapenzi uume wangu huchukua muda kusimama baada ya bao la kwanza.. Hivyo naomba msaada wenu wadau
 
Habari zenu binafsi wandugu...
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 19..tatizo langu ni moja nimekuwa mjanga wa kupiga punyeto takribani mwakammoja na nusu.. Shida nikwamba kila nikikutana na mwanamke uume wangu huchukua muda kusimama baada ya bao la kwanza hivyo naomba ushauri ni jinsi gan nitaweza kurudia hali yangu kama zamani na njia za kuacha kupiga punyeto asanten saana
 
pole xana.nunua vidonge vya vitamini -ginsomin au provironi.kimoja kqa siku,cku 30.utaendelea mpaka miezi 3
 
Back
Top Bottom