Sir Good
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 1,031
- 412
Punyeto ni hatari wandugu, mi nimepiga hiyo tangu niko barehe sasa nina 34 nina mke bado sijapata mtoto miaka 2 sasa. Hamu ya tendo sina ingawa najifosi na nikigonga kamoja usiku mpaka kesho asbh. Wkt mwingine "jamaa" simuelew elew, bas ni shida tu.