Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Heshima kwenu wadau.mchezo niliunza mwaka 2008.mpaka .....nikiwa boarding kuuacha nilishindwa....nilivyooa nikapunguza kasi.....sasa mke yupo likizo takriban miez 2..mpaka muda huu naandika huu uzi najiandaa kupiga cha tano.....natamani niache.je nitumie njia gani?


Daaah hapana mkuu hii ni more than too much ...... duuuuhhhhhhhhhh!
 
Psychological problems
Stress eventually
But above all it's a sin as you distort your relationship with creator.
 
Na pia kama utatumia toys unaweza kuidistort(kuiharibu)shape ya cervix ambayo ndo njia ya uzazi na kupelekea kua na miscarriage(tatizo la kutoka kwa mimba)...!
 
binti,hilo jina TRINITY unajua maana yake?haufananii na jina hilo kwa matendo yako ya kuangalia sana lesbian sex na sasa unatamani kujichubua(nyie mnaita kujichua) na ukianza mchezo huo utaishia kuwa msagaji matokeo yake utaishia nairobi hutaruhusiwa kuingia kampala

madhara mengi ushaambiwa,madhara mengine kine.mbe kinakomaa kinakuwa kama jiwe la kokoto!kwaheri
 
Jamani siyo mm nimeleta tuu mada ili iwasaidie na wengine humu coz naangaliaga sana lesbian sex sasa huwa najiuliza haina madhara kweli?????

Dada angu na hilo nalo ni tatizo!!! Kuangalia sex tena za jinsia moja hujui kama inamadhara??? Kwa ushauri hiyo tabia acha... na hata kama husagan am sure ukiendelea na wewe lazima utatest tu!!! Na ujue ukianza kuacha ni mziki mwingine!!
 
Dah madume yote halafu unajipiga tena mwenyewe?? Vijana wa kazi wapo dada!! We declare uko wazi uone mambo.
 
shida ni kwamba toyz ndo mbaya zaid ila kwa natural kama vidole ndo safe..kila jambo kwa kiasi ukizidisha ndo mbaya.ingawaje siungi mkono hili

Na wewe unafanya haya? Unapiga pu.nyet.o?
 
Jamani siyo mm nimeleta tuu mada ili iwasaidie na wengine humu coz naangaliaga sana lesbian sex sasa huwa najiuliza haina madhara kweli?????

Ndugu yangu huko uzunguni, esbian sex is intended for straight men who loves watching two women enjoying each other lakini kwa wanawake ina madhara makubwa kwa kuwa inajenga concept kuwa mwanamke hahitaji mwanaume ktk satisfy. Nakushauri dada yangu, Acha kuangalia kabla haijawa addiction.
 
Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote.

Kuna propaganda ambazo bado hazijakubalika na wanasayansi kuwa kupiga punyeto kutakufanya uwe punguani, nyingine eti utamea nywele kwa mkono na pia kuna propaganda kuwa ukitimia miaka fulani utaishiwa na nguvu za kufanya tendo la ngono. Kwa wanasayansi hio ni porojo.

Badala ya kuangalia madhara yake (hayajadhibitishwa) wanasayansi wameonelea kuangalia umuhimu wake.

[h=4]Umuhimu wa kupiga punyeto[/h]
Kupiga punyeto kunaongeza nguvu mwilini

Imedhibitishwa kuwa kupiga punyeto mtu wakati anaposhusha hutoa homoni ijulikanayo kama cortisol ambayo wakati inapotolewa kwa kiwango kidogo huupatia mwili nguvu za kujikinga dhidi ya magonjwa.

Kupiga punyeto huondoa mgando (cramps) kwa wanawake
Imebainishwa kuwa badala ya wanawake kujichoma na maji ya moto wakati wameshikwa na cramps ni vyema na rahisi kwa mmoja kupiga punyeto kwani inarahisisha kusimamisha mgando huo

Kupiga punyeto kunakinga kutokana na kushikwa na kansa ya kibofu (prostate cancer)
Kupiga punyeto kunasaidia kuondoa na kusafisha sumu (toxins) zinazopatikana katika njia za mikojo (urogenital track) ambazo hufanya mtu kushikwa na magonjwa kama ya kansa. Wanasayansi wanadai kuwa kupiga [unyeto mara 3 kwa wiki kunapunguza uwezekano kwako kushikwa na ugonjwa huu wakati umetimia umri wa miaka 40.

Kupiga punyeto kunakupa manufaa ya kufurahia ngono
Punyeto humfanya mtu kujielewa mwenyewe pale ambapo anafahamu vyema kutampa furaha. Pia husaidia mtu kuufahamu mwili wake mwenyewe bila tatizo.

Kupiga punyeto kunakusaidia wewe kupata usingizi
Punyeto hupunguza kasi ya msukumo wa damu na pia kuna homoni ijulikanayo kama endorphins. Homoni hii inajulikana kumpa mtu utulifu na pia huondoa stress mwilini. Pia inajulikana kupatia mtu hisia nzuri.

Punyeto husaidia kuondoa magonjwa ya njia ya mkojo (urinary tracks infection)
Inajulikana kuwa punyeto husaidia kuondoa bacteria katika mlango wa uzazi wa mwanamke (cervix). Punyeto inafaa zaidi haswa kwa wale wanaokubwa na ugonjwa wa njia za mkojo.

Owk! nishakupa manufaa ya punyeto lakini sijakupa visababu kwa kujichafua sana....ukizidi sana fanya mara 3 kwa wiki kama vile wanasayansi walivyokubaliana.

Zimetolewa kutoka: bkuHABARI
 
umesema kwel kaka,kitambo sana nafanya hyo kitu,tena zaid ya mara 2 kwa siku,sembuse mara 3 kwa wik,..na sjawai pata tatzo la nguv za kiume,napiga bao 3 kwenda mbele kwa uthibitisho zaid,..ila sio mara zote,skunyingine sjiskii kufanya,napiga 1 tuu la afya,ila dk 15-30,so niko fresh,puli inasaidia sana
 
duh....
149105_o_20140123131151_1202785.jpg
 
Nlianza huo mchezo tangu nipo la 7 had nkamaliza secondar nilikuwa cjui madhara yake now ndo nmejua kwasabab...jogoo haamki asubuh akiamk mara moja kwa mwez,nmekuwa msahaulifu na nyeto ndo chanzo,kimekuwa "kibamia",kabla hajasimama inakuwa fupii kama ya mtot wa miak mi4,nmekuwa na aibu sana kwa wanawake (domo zege)labda anipe namb ya simu...yaani ni mengi saana madhara yake sasa ndo najutia
 
Nlianza huo mchezo tangu nipo la 7 had nkamaliza secondar nilikuwa cjui madhara yake now ndo nmejua kwasabab...jogoo haamki asubuh akiamk mara moja kwa mwez,nmekuwa msahaulifu na nyeto ndo chanzo,kimekuwa "kibamia",kabla hajasimama inakuwa fupii kama ya mtot wa miak mi4,nmekuwa na aibu sana kwa wanawake (domo zege)labda anipe namb ya simu...yaani ni mengi saana madhara yake sasa ndo najutia

Basi watu tunatofautiana,zamani nilipokuwa sipigi nyeto ninapokuwa na mwanamke nikiweka tu nishafika kileleni,baada ya kuzoea nyeto yaani nipo imara naweza nisishuke mzigoni zaidi ya dk 40,na nikianza kazi huwa wanafika kileleni na kuniomba tupunzike kwanza
 
Ni kweli punyeto inafaida ulizo zitaja ndugu, lakini ukitoa shahawa unajimaliza mwenyewe, faida karibia zote ulizo zitaja zinageuka na kuwa kinyume chake.

Cc: Ibrahim300
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom