Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 734
Ongeza mke wa Pili ndo dawa tosha inaonesha we una matamanio makubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima kwenu wadau.mchezo niliunza mwaka 2008.mpaka .....nikiwa boarding kuuacha nilishindwa....nilivyooa nikapunguza kasi.....sasa mke yupo likizo takriban miez 2..mpaka muda huu naandika huu uzi najiandaa kupiga cha tano.....natamani niache.je nitumie njia gani?
Jamani siyo mm nimeleta tuu mada ili iwasaidie na wengine humu coz naangaliaga sana lesbian sex sasa huwa najiuliza haina madhara kweli?????
shida ni kwamba toyz ndo mbaya zaid ila kwa natural kama vidole ndo safe..kila jambo kwa kiasi ukizidisha ndo mbaya.ingawaje siungi mkono hili
Jamani siyo mm nimeleta tuu mada ili iwasaidie na wengine humu coz naangaliaga sana lesbian sex sasa huwa najiuliza haina madhara kweli?????
Heeee xx ww si ungejitaidi kumfikisha jmn??
Nlianza huo mchezo tangu nipo la 7 had nkamaliza secondar nilikuwa cjui madhara yake now ndo nmejua kwasabab...jogoo haamki asubuh akiamk mara moja kwa mwez,nmekuwa msahaulifu na nyeto ndo chanzo,kimekuwa "kibamia",kabla hajasimama inakuwa fupii kama ya mtot wa miak mi4,nmekuwa na aibu sana kwa wanawake (domo zege)labda anipe namb ya simu...yaani ni mengi saana madhara yake sasa ndo najutia