Left back-gunner
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 572
- 233
Mkuu najua watu wengi wanakufanyia Mas-khara wacha nikupe madhara yake ambayo mimi nyajua:
1. Mtu mwenye kupiga punyeto anakua hajiamini...hii ni kutokana na madhara ya kisaikologia...kama unavyojua mtu anaepiga punyeto kuna baadhi ya wakati hupiga punyeto bila hata ya haja ya kufanya hivyo ..alimuradi kwa vile sabuni iko chooni yeye hufana hivyo...tofauti na tendo la ndoa...tendo la ndoa lazima wakutane watu 2 wakubaliane na wajiandae kwa hilo. Pia punyeto husababisha pressure kubwa sana kuweza kushusha shahawa....mishipa ya fahamu pia inaweza kuathirika kitu ambacho kinachoweza kukusababishia matatizo ya moyo
2.Punyeto inaathiri ugozi mwembamba wa kichwa cha Dhakar na hupelekea sehemu za hisia za mapenzi kuwa juu zaidi...Mtu akipiga sana Punyeto upo uwezekano mkubwa wa kua anaharakisha kucheua wakati wa tendo la ndoa..hii inategemea na maumbile ya mtu mwenyewe..kama unavyojua watu wate hatuko sawa...
3.Madhara mengine ni umwagaji wa shahwa kiholela...Kuna mwanachuoni mmoja wa Kiislamu aliandika...zitunzeni Shahwa zenu...akimaanisha tusimwage hovyo hovyo....pia kuzaa nje ya ndoa.... au kuoa wake amabao hawana maadili mazuri..
Faida pekee unaweza kusema kua....inaepusha mtu kufanya dhambi ya Zinaa ya moja kwa moja...ingawaje punyeto yenyewe ni aina fulani ya uzinifu kwa sababu mpiga punyeto ameanza kuikaribia Zinaa...kwa sababu kama mtu ameweza kupiga punyeto...hatoweza kuukataza moyo kuingia katika uzinifu kama fursa ya wazi itajitokeza....
Kiufupi haifai na watu wasiiendee...