Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sovieti ilisambaratika kirahisi kwasababu yakizazi Cha marekani kilichokuepo enzi hizo sio Hiki kikiona nzi kinakimbia spidi yakufa mtuUkiona hivyo ujue Putin kazeeka anataka kuiacha Russia ikiwa dhohofu kiuchumi, Mabeberu wa Western wao wanalong term plan hata miaka 10 ijayo, kama Soviety ilisambaratika hata Russia itakuja isambaratike ibaki majimbo ni suala la muda tu
We unaona hapo Russia Kuna succession plan ya uongozi? Russia kapoteza maungwaji mkono kutoka Afrika, Asia kabakiza nchi chacheSovieti ilisambaratika kirahisi kwasababu yakizazi Cha marekani kilichokuepo enzi hizo sio Hiki kikiona nzi kinakimbia spidi yakufa mtu
Afrika wanampa nn wenyewe Kuna baadhi ya nchi hata msosi hawajikimuWe unaona hapo Russia Kuna succession plan ya uongozi? Russia kapoteza maungwaji mkono kutoka Afrika, Asia kabakiza nchi chache
Hujui umuhimu wa Afrika Kwa mabeberu poleAfrika wanampa nn wenyewe Kuna baadhi ya nchi hata msosi hawajikimu
Nini kilifuata baada yahapo na Marekani alifanya nini baada alichokifanya Iran kule Irag kwenye kambi ya wanajeshi wa Wamarekani? Naona watu huwa mnasahau haraka sana.Ngebe zote za huyu Jenerali wa Iran Qasem Soleimani aliekuwa anajitapa sana zilimalizika alipotunguliwa na vijana wa Trump, Huyu jenerali alikuwa ni mtu wa pili mwenye ushawishi na nguvu Iran ila kilichomkuta ni history.
View attachment 2129700
Wewe ni CIA au FBI? Maana Una uhakika sana na unajiamini sana na unayoyahoji kuhusu uhusika wa clinton.Ni kama vile kutafuta vyanzo vingi kujua kama Tanganyika ilipata uhuru 1961, hata usipoamini ukweli uko pale pale.
Hali ndivyo ilivyo, No collusion No obstruction, alietengeneza huo mzozo ni Clinton alipopata hasira baada ya kushindwa 2016. Hasira mbaya sana.