Putin alimheshimu sana Trump, kwa sasa Biden ni kama Mdoli kama alivyokuwa Obama. Baada ya Urusi tutegemee naye China kutesti mitambo

Putin alimheshimu sana Trump, kwa sasa Biden ni kama Mdoli kama alivyokuwa Obama. Baada ya Urusi tutegemee naye China kutesti mitambo

Majibu
20220224_164047.jpg
 
Ukiona hivyo ujue Putin kazeeka anataka kuiacha Russia ikiwa dhohofu kiuchumi, Mabeberu wa Western wao wanalong term plan hata miaka 10 ijayo, kama Soviety ilisambaratika hata Russia itakuja isambaratike ibaki majimbo ni suala la muda tu
Sovieti ilisambaratika kirahisi kwasababu yakizazi Cha marekani kilichokuepo enzi hizo sio Hiki kikiona nzi kinakimbia spidi yakufa mtu
 
Sovieti ilisambaratika kirahisi kwasababu yakizazi Cha marekani kilichokuepo enzi hizo sio Hiki kikiona nzi kinakimbia spidi yakufa mtu
We unaona hapo Russia Kuna succession plan ya uongozi? Russia kapoteza maungwaji mkono kutoka Afrika, Asia kabakiza nchi chache
 
We unaona hapo Russia Kuna succession plan ya uongozi? Russia kapoteza maungwaji mkono kutoka Afrika, Asia kabakiza nchi chache
Afrika wanampa nn wenyewe Kuna baadhi ya nchi hata msosi hawajikimu
 
RUSSIAN FOREIGN MINISTRY SAYS RUSSIA WILL RESPOND TO EUROPEAN AND U.S. SANCTIONS IN TIT-FOR-TAT MANNER - RIA
 
Ngebe zote za huyu Jenerali wa Iran Qasem Soleimani aliekuwa anajitapa sana zilimalizika alipotunguliwa na vijana wa Trump, Huyu jenerali alikuwa ni mtu wa pili mwenye ushawishi na nguvu Iran ila kilichomkuta ni history.

View attachment 2129700
Nini kilifuata baada yahapo na Marekani alifanya nini baada alichokifanya Iran kule Irag kwenye kambi ya wanajeshi wa Wamarekani? Naona watu huwa mnasahau haraka sana.
 
Ni kama vile kutafuta vyanzo vingi kujua kama Tanganyika ilipata uhuru 1961, hata usipoamini ukweli uko pale pale.

Hali ndivyo ilivyo, No collusion No obstruction, alietengeneza huo mzozo ni Clinton alipopata hasira baada ya kushindwa 2016. Hasira mbaya sana.
Wewe ni CIA au FBI? Maana Una uhakika sana na unajiamini sana na unayoyahoji kuhusu uhusika wa clinton.
 
Back
Top Bottom