Putin anaonya nchi za Magharibi: Urusi itaibuka kama taifa lenye nguvu zaidi

The last kick of a dying donkey.

Russia imekua kama kisiwa, hakuna ndege wala meli inayoweza kwenda ama kutoka Russia.

Hii ni failed state after 2 months ahead
Hata biden aliwaza upuuzi kama huu na sasa analazimika kufumua reserve ya mafuta ili kuokoa jahazi sasa wewe endelea kuvembewa magimbi ukidhani urusi ni kama sudani kusini
 

Hahahaaa huyu Mwamba ni noma sana yani haogopi na hana wa kumuogopa apo ulaya [emoji123]
 
Yaani putini ana mawazo ya kijamaa yaliyopitwa na wakati, ana ubabe uchwarwa ana mikwara uchwara. Anatishia watu na nuclear utadhani ni yeye peke yake anayo hapa duniani. Us, uk na France wanayo wakiamua kumtisha si atajinyea.
Jaribu kutumia vizuri ubongo na siyo kuutumia kula tunda kimasihara hivi unawezaje kusema kwamba mtwara isiutishe mkoa wa kilimanjaro kwa kilimo cha korosho na wakati mkoa mzima kwa mwaka hawezi kuvuna tani 100 na kati mtwara wanavuna zaidi ya tani laki moja? Hivi unaujua mzigo wa nuke uliyopo russia au kwa vile unaishi kwa shemela hata bei ya fungu la nyanya huijui?
 
Kuna watu humu ndani wanachojua wao ni kwamba russian anauza mafuta na gesi pekee hebu fikiria kuna nchi eg germani anaitegemea russia kuanzia makaa ya mawe gesi mafuta ya nishati mafuta ya kula ngano halafu kuna mtu humu anafunua funua mdomo wake na kukoment upuuzi akiwa hajui chochote na akati sasa hivi ulaya yote kuna shida ya gesi na mafuta hadi kufikia ujeruman kukataa ndani ya kikao kilichofanyika huko ufaransa kwamba hakubali vikwazo zaidi dhidi ya russia kwani kibano kimewapata huko waliko
 
Humu JF watu wengi ni ushabiki athari hizo hawazioni.
 
Angalizo: Admins wa JF naona mmeamua kufuta baadhi ya nyuzi zangu nazozianzisha kuhusu mgogoro wa kivita nchini Ukraine. Siju shida ni nini
Wanaogopa kujihusisha mzee Putin asije akalipua servers za jf
 
Hana uwezo huo .Kilichowatatokea ukraine na Sisi wa afrika Wanasema msiwe na nuclear Sisi NATO tutawasaidia .Angalia yaliyowakuta ukraine .Sisi vita ya dunia afrika tutafanyaje
 
Kwa sasa urusi itaanza kufanya vitu bila mipaka tutarajie teknoliajia kubwa kutoka kwa hawa mabwana tutalajie mapinduzi makubwa sana. Ila anguko la marekani naona lipo karibu. Leo hii marekan inaipigia magoti venezuela? Mpaka nimechoka
Wewe unaongea vitu vya kitoto sana mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…