Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16] walikuwa wapi kumzuia Russia asiingie , Hakuna kitu wataweza fanyaNgoja tuone response ya mabeberu mkuu kwani bado wapo kimya mpaka sasa.
Woyoooooooooo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji123]akili mtu wanguAfu Putin lazima atakuwa mjomba angu yaani ana miakili ya kufa mtu hii kichwa ni nouma watu woyowoyooooo
Hauwezi kuwaona hapa [emoji16][emoji16]Wamarekani wa bongo njoon huku mnaitwa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Putin4President!
JB & Harris nasikia wanaandaa barua wa kujiuzulu!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mabeberu wakafie mbele tu kila mtu apambane na hali yakeBaada ya vita ya pili ya dunia mataifa yenye nguvu yaliapa kutoingia vitani kupigana bila sababu ndo maana ya kuanzishwa umoja wa mataifa.
Urusi kwa wakati huu inatawaliwa na mbabe ambaye hajali taifa lolote kama alivyokuwa Hitler.
Hao wanaoitwa mabeberu ndo wametuwezesha nchi maskini kifikia tulipo. Huwezi kutegemea kutembeza kikombe bila masharti.
Putin Jeuri yake kubwa ni Gas anayoisambazia nchi jirani na ikumbukwe kuwa bomba la gas linapitia Ukraine hivyo basi wale ni mateka wa kiuchumi wa Putin. Ugermani nao wanategemea gas hiyo hiyo ya Putin.
Namtaja Putin sababu kipindi cha Stalin tuliona nchi zote alizozikomboa baada ya Vita ya pili, alizihodhi zote na ndicho chanzo cha Genocide iliyotokea Serbia na Ugoslavia.
Dictator yeyote anachotaka ni kulazimisha kuchuka kwa nguvu. Haya majimbo mawili aliyoyachukua, yalishajitenga na kama tunakumbuka ndege iliyodunguliwa kwenye anga la jimbo lililojitenga, hakuna mtu aliruhusiwa kwenda kutambua maiti au kutafuta chanzo mpaka Putin alipowaruhusu wale waliojitenga kuruhusu wakaguzi na waokoaji kuingia.
Kama mtoa mada anamsifia Putin ajikumbushe hii big donor tulikokuwa tumeishafikia.
Time would have been the right thing to mention. Nyerere angekuwa dikteta kama wengi wanavyofikiria, angeamua kuchukua sehemu ya Uganda kuwa chini ya TZ kama Stalin na Putin walivyofanya.
Ok tumeshaiona hii. Ndivyo dunia ilivyo ingawa mambo haya yasipoangaliwa yatakuja kuupata ulimwengu wote miaka ijayo. Ukiona mwenzio ananyolewa wewe anza kutia maji. Ndiyo matokeo ya ukoloni mambo leo yanavyokuwa siku zote.
Tupo kikaon tunajadili vikwazo[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Wamarekani wa bongo njoon huku mnaitwa
[emoji23][emoji2][emoji12]Baada ya vita ya pili ya dunia mataifa yenye nguvu yaliapa kutoingia vitani kupigana bila sababu ndo maana ya kuanzishwa umoja wa mataifa.
Urusi kwa wakati huu inatawaliwa na mbabe ambaye hajali taifa lolote kama alivyokuwa Hitler...