hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Putin Ajengewe mnara dodoma sieti !? [emoji16][emoji16]Hii vita Nilikua naisubiri kwa hamu, Putin katisha sana [emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Putin Ajengewe mnara dodoma sieti !? [emoji16][emoji16]Hii vita Nilikua naisubiri kwa hamu, Putin katisha sana [emoji16][emoji16]
Sasa ulitaka afanyaje wakati hao NATO walikataa kumjoin ili awe member wa NATO !? Acha akichafue tu , kwanza Kama mtu unajimudu kwanini uombe ruksa , unaomba ruksa ili iweje kwa mfanoNi kweli siwatetei NATO ila huwa wanaenda Baraza la usalama kwanza kutoa kauli. Putin anafanya analojisikia linamfaa yeye kama alivyolazimisha majimbo mawili ya Kreimia na lile jingine wajitenge. At last sasa ni mikoa yake.
Hii hoja yako inakosa uhalisia. Putin bado ana mawazo ya kuirejesha upya ile iliyokuwa USSR, kikwazo kikubwa ni baadhi ya mataifa yameshajiunga NATO na mengine yapo kwenye mchakato. Kwa yale ambayo yapo ndani ya NATO, ni kama Urusi kayapoteza tayari kwani huko hawezi kurusha hata jiwe, kikubwa anatafuta yale ambayo bado yapo kwenyeKitakachofuata ni hayo majimbo kuitisha kura ya Maoni wataamua wawe sehemu ya Urusi na ndio mchezo umeisha .....Nadhani kwasasa tukubali ipo siku zitawaka kati ya US na Hao jamaa zake na Urusi kwa upande mwingine....
Lakini pia Upande Mwingine simlaumu Mrusi nalaumu Ukraine kutokujitambua wao wanaambiwa usijiunge na hao wauaji wa NATO watakuja Kutusumbua hapa Jirani wajangangania.....Mtu mwenyewe wanahangaika nae Putin ambae hajali kitisho kabisaaa. . .Putin ni Mwamba kweli....atawapelekea moto mkali na itakua shida
Oyaaaaa Putin kajua kutufurahisha manina zake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jamani mwenzenu nabwedaaa hukuu PUTIN ANANIPA UTAMUUU WOYOOO wapi cowboys wa US naona wameufyataaa kazi kubwekaaa kama mbwa koko wa kwa mpalange woyooo PUTIN PUTIN PUTIN
Mabeberu wamefanikiwa kumwingiza CHOO CHA KIKE rais wa UKRAINE. Walimdanganya kuwa watamlinda dhidi ya Urusi, wakampatia mabilioni ya misaada ya kijeshi, akavimba kichwa na akagoma kufanya maongezi na majimbo yaliyojitenga ili kutafuta muafaka chini ya makubaliano yaliyodhaminiwa na Ukraine yenyewe, Urusi, Ufaransa na Ujerumani. Unaitwa ni mkataba wa Minsk. Matokeo yake Urusi kaamua kuwalinda raia wake walioko majimbo hayo na amewatambua kama mataifa huru, na NATO hawatafanya chochote kuizuia Urusi kuingia huko!! Sana sana shida yao ilikuwa ni kupata kisingizio cha kuiwekea vikwazo vya uchumi urusi, na urusi ikasema "we are immune to sunctions". Rais wa Ukraine keshalihutubia taifa lake tayari na HAKUTHUBUTU kuagiza majeshi yake kuyazuia majeshi ya URUSI kutimiza AMRI ya PUTIN. Muda huu anashangaa alivyoingizwa choo cha KIKE!
NATO wamemsaidia sana, maandalizi ya Urusi hayakuwa kuchukuwa haya majimbo mawili bali nchi nzima.labda hio vita ipiganwe humo humo ndani ya UKRAINE maana hamna ataeweza rusha hata jiwe ndani ya mipaka ya RUSSIA nasema tena.hakuna
NATO wamemuingiza chakike UKRAINE wakamvimbisha kichwa halaf wanamacha
Tokea awali Marekani alisema atatoa msaada wa silaha na siyo kuingiza wanajeshi wake vitani, pia labda mtu iwe akili zake haziko sawa kuamini Marekani anaweza kuingia vitani na Urusi kisa ni jimbo lililo huko Ukraine. Nchi za NATO nazo zimetoa baadhi ya msaada kwa Ukraine kama rafiki tu na siyo mwanachama. Ukitaka kuona kile NATO wanaweza kukifanya, Putin ajichanganye kuchukua eneo la nchi mwanachama wa NATO.Hakuna KIKARAGOSI wa NATO atakayethubutu kujaribu kuyazuia majeshi ya URUSI yasiingie kwenye majimbo ya ukraine yaliyojitenga na kujitangazia uhuru, na sasa yametambuliwa rasmi na URUSI. Putin amesema "They are not interested in peaceful solutions, they want to start Blitzkreig" yaani ukraine hawana mpango na suluhisho kwa njia ya amani ila wanataka kuanzisha Blitzkreig". Maana ya Blitzkreig ni: Kuhitaji kupata ushindi kwa njia ya vita, kwa hiyo amewapa fursa wafanye hiyo Blitzkreig kama ubavu huo wanao!! Marekani nduki tayari na keshaamuru watumishi wake wa ubalozi waondoke ukraine!
Hakuna haja hiyo, wacha kila mtu aishi apendavyo, kama vikitaka kuja vitakuja kwa jumuiya ya Africa Mashariki.Nasisi kuna vinchi hapa naona kama ni mikoayetu tu, tuangalie ramani ja mjerumani alafu tufanye yetu.
Ukraine kwa sasa hana ubavu kwa Urusi, asubiri vumbi itulie ajikite kutafuta silaha za maana hasa nukes,nje ya hapo sioni Urusi akitishika.US na NATO walisema wao wataweka vikwazo na si vinginevyo.
Ni ngumu kupambana kijeshi kuisaidia Ukraine directy kwa sababu sio member wa NATO ndio maana walimpa vifaa vya kijeshi,ni wajibu wake kupambana.
Wewe tiliza kitushulio NATO hawana cha kufanya zaidi ya biti za kaboka mchiziTokea awali Marekani alisema atatoa msaada wa silaha na siyo kuingiza wanajeshi wake vitani, pia labda mtu iwe akili zake haziko sawa kuamini Marekani anaweza kuingia vitani na Urusi kisa ni jimbo lililo huko Ukraine. Nchi za NATO nazo zimetoa baadhi ya msaada kwa Ukraine kama rafiki tu na siyo mwanachama. Ukitaka kuona kile NATO wanaweza kukifanya, Putin ajichanganye kuchukua eneo la nchi mwanachama wa NATO.
Tatizo lako unaifahamu US pekee na RUSSIA huijuiTokea awali Marekani alisema atatoa msaada wa silaha na siyo kuingiza wanajeshi wake vitani, pia labda mtu iwe akili zake haziko sawa kuamini Marekani anaweza kuingia vitani na Urusi kisa ni jimbo lililo huko Ukraine. Nchi za NATO nazo zimetoa baadhi ya msaada kwa Ukraine kama rafiki tu na siyo mwanachama. Ukitaka kuona kile NATO wanaweza kukifanya, Putin ajichanganye kuchukua eneo la nchi mwanachama wa NATO.
Warusi waje waichukue na TzTokea awali Marekani alisema atatoa msaada wa silaha na siyo kuingiza wanajeshi wake vitani, pia labda mtu iwe akili zake haziko sawa kuamini Marekani anaweza kuingia vitani na Urusi kisa ni jimbo lililo huko Ukraine. Nchi za NATO nazo zimetoa baadhi ya msaada kwa Ukraine kama rafiki tu na siyo mwanachama. Ukitaka kuona kile NATO wanaweza kukifanya, Putin ajichanganye kuchukua eneo la nchi mwanachama wa NATO.
Kusema kweli Mimi nimejawa na huruma.Mabeberu wamefanikiwa kumwingiza CHOO CHA KIKE rais wa UKRAINE. Walimdanganya kuwa watamlinda dhidi ya Urusi, wakampatia mabilioni ya misaada ya kijeshi, akavimba kichwa na akagoma kufanya maongezi na majimbo yaliyojitenga ili kutafuta muafaka chini ya makubaliano yaliyodhaminiwa na Ukraine yenyewe, Urusi, Ufaransa na Ujerumani. Unaitwa ni mkataba wa Minsk. Matokeo yake Urusi kaamua kuwalinda raia wake walioko majimbo hayo na amewatambua kama mataifa huru, na NATO hawatafanya chochote kuizuia Urusi kuingia huko!! Sana sana shida yao ilikuwa ni kupata kisingizio cha kuiwekea vikwazo vya uchumi urusi, na urusi ikasema "we are immune to sunctions". Rais wa Ukraine keshalihutubia taifa lake tayari na HAKUTHUBUTU kuagiza majeshi yake kuyazuia majeshi ya URUSI kutimiza AMRI ya PUTIN. Muda huu anashangaa alivyoingizwa choo cha KIKE!
Anaweza kuchukua na NATO wakabaki wakibweka tuu.Tokea awali Marekani alisema atatoa msaada wa silaha na siyo kuingiza wanajeshi wake vitani, pia labda mtu iwe akili zake haziko sawa kuamini Marekani anaweza kuingia vitani na Urusi kisa ni jimbo lililo huko Ukraine. Nchi za NATO nazo zimetoa baadhi ya msaada kwa Ukraine kama rafiki tu na siyo mwanachama. Ukitaka kuona kile NATO wanaweza kukifanya, Putin ajichanganye kuchukua eneo la nchi mwanachama wa NATO.