jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Ubatizo was Moto umewadia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa hawaoni mabeberu wanavyouwa watu nchi kama Libya na Iraq alaf wanakuja hapa wanamlaumu mwamba Putin kuchukua majimbo yake kwa amaniMabeberu wakafie mbele tu kila mtu apambane na hali yake
Mbona kelele nyingi hayo majimbo yanajulikana ni ngome ya Russia mbona hawakuchukua na Kiev yenyewe?
Welcome to the new world where Europeans will pay 2,000 euros for a thousand cubic meters of gas", this is how Medvedev reacted to the suspension of the "North Stream 2" certification https://t.co/iK4wQk9YM0Tupo kikaon tunajadili vikwazo[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Hawaisemi hiiBila shaka NATO na Russia wote madikteta ingawaje wanatofautiana namna wanavyoendesha udikteta wao.
NATO waliivamia nchi huru za Iraq,syria na afghaaanistan kwa sabab za mchongo na kuondoa utawala uliopo madarakan tena kwa upande wa Iraq viongoz waandamiz wa NATO walikir hadharan kuwa sabab za kuivamia Iraq zilikua za mchongo.
NATO kwa kutumia midege yao huwa wanafanya mashambuliz ya anga ktk nchi huru tena bila ya ridhaa nchi husika na kuua watu kiholela kwa kisingizio cha ugaid na kuishia kuua raia wasio na hatia.
Uwanja wa vita umeshajulikana kitachafuka wapi kwahiyo mrusi haogopi NATO.Nato wakiingia Inamaana Putin atasimama peke yake?
Nimeona juzi yule Raisi wa Chechnya Ramzov kama sikosei jina nimelosahau anasema anasubiri amri tu ya Putin [emoji23][emoji23] amwambie apeleke majeshi Ukraine, jamaa anamzuka sana [emoji16], huku yanaonyeshwa majeshi yake yanapiga dhikri ya Allah huku barafu inawanyesheaNato wakiingia Inamaana Putin atasimama peke yake?
Jamaa wanatuna sasa [emoji3][emoji3]Dah hii dunia kila mtu mbabe sasaNimeona juzi yule Raisi wa Chechnya Ramzov kama sikosei jina nimelosahau anasema anasubiri amri tu ya Putin [emoji23][emoji23] amwambie apeleke majeshi Ukraine, jamaa anamzuka sana [emoji16], huku yanaonyeshwa majeshi yake yanapiga dhikri ya Allah huku barafu inawanyeshea
21 February 2022
Makao Mkuu /UN HQ
New York
BALOZI WA KENYA, ALAUMU RUSSIA KWA KUENDEKEZA UKOLONI NA UBEBERU KWA KULAZIMISHA MIPAKA
Balozi wa Kudumu toka Kenya ktk Umoja wa Mataifa Mh. Martin Kimani akiwa anawakilisha Afrika kama mjumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ameilaumu Russia kutumia ukoloni, dini, rangi na ubeberu kutumika kama sababu ya kuvamia nchi zingine. Ametoa mfano wa bara la Afrika ambalo nchi zake zimegawanya kwa nguvu na tawala za zamani za kikoloni na nchi hizo za kiafrika kushuhudia kabila moja likigawanywa vipande viwili hata vitatu na kutenganishwa na mipaka mipya ya nchi zilizoundwa na wakoloni Afrika. Lakini waAfrika wameamua kusonga mbele na kuikubali mipaka hiyo. Hivyo na Russia nayo inaombwa na kushauriwa iaachane na kasumba ya dola kubwa, ubeberu na ukoloni kwa kuvamia nchi zingine kwa kutumia sababu za kihistoria.
Kenya's envoy to UN cites colonial past as he condemns Russian move into Ukraine
Kenya has delivered an emphatic plea to Russia to pursue diplomacy, citing its own history. 'This situation echoes our history. Kenya and almost every African country was birthed by the ending of empire. Our borders were not of our own drawing,' Martin Kimani told the security council. 'Today across the border of every single African country live our countrymen with whom we share deep bonds.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Nimeona juzi yule Raisi wa Chechnya Ramzov kama sikosei jina nimelosahau anasema anasubiri amri tu ya Putin [emoji23][emoji23] amwambie apeleke majeshi Ukraine, jamaa anamzuka sana [emoji16], huku yanaonyeshwa majeshi yake yanapiga dhikri ya Allah huku barafu inawanyeshea
Boya huyo21 February 2022
Makao Mkuu /UN HQ
New York
BALOZI WA KENYA, ALAUMU RUSSIA KWA KUENDEKEZA UKOLONI NA UBEBERU KWA KULAZIMISHA MIPAKA
Balozi wa Kudumu toka Kenya ktk Umoja wa Mataifa Mh. Martin Kimani akiwa anawakilisha Afrika kama mjumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ameilaumu Russia kutumia ukoloni, dini, rangi na ubeberu kutumika kama sababu ya kuvamia nchi zingine. Ametoa mfano wa bara la Afrika ambalo nchi zake zimegawanya kwa nguvu na tawala za zamani za kikoloni na nchi hizo za kiafrika kushuhudia kabila moja likigawanywa vipande viwili hata vitatu na kutenganishwa na mipaka mipya ya nchi zilizoundwa na wakoloni Afrika. Lakini waAfrika wameamua kusonga mbele na kuikubali mipaka hiyo. Hivyo na Russia nayo inaombwa na kushauriwa iaachane na kasumba ya dola kubwa, ubeberu na ukoloni kwa kuvamia nchi zingine kwa kutumia sababu za kihistoria.
Kenya's envoy to UN cites colonial past as he condemns Russian move into Ukraine
Kenya has delivered an emphatic plea to Russia to pursue diplomacy, citing its own history. 'This situation echoes our history. Kenya and almost every African country was birthed by the ending of empire. Our borders were not of our own drawing,' Martin Kimani told the security council. 'Today across the border of every single African country live our countrymen with whom we share deep bonds.
How? Hayo majimbo ni ya ukrain?NATO na USA wamepigwa na kitu kizito wanauguliwa maumivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ni ya ugandaHow? Hayo majimbo ni ya ukrain?
Silaha zao mikwara yao yote waliyotoa waliamini Russia ataogopa ona misaada yao yote inaweza kuchukuliwa na Russia wao sa ivi wanawaza kuweka vikwazoHow? Hayo majimbo ni ya ukrain?
Sasa Putin akiyachukua inawahusu vipi NATO. Musseven Anasemaje?Ni ya uganda
Mm sijaelewa jambo moja, haya majimbo ni sehemu ya Ukrain au ni majimbo yaliyo huru kujichagulia?Silaha zao mikwara yao yote waliyotoa waliamini Russia ataogopa ona misaada yao yote inaweza kuchukuliwa na Russia wao sa ivi wanawaza kuweka vikwazo