Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
NATO wanatoa chozi na,kamasi mbele ya museveniSasa Putin akiyachukua inawahusu vipi NATO. Musseven Anasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NATO wanatoa chozi na,kamasi mbele ya museveniSasa Putin akiyachukua inawahusu vipi NATO. Musseven Anasemaje?
WaliwazeNATO wanatoa chozi na,kamasi mbele ya museveni
Ngome ambayo haina hata commanding post hata moja? Tukubali urusi kwa sasa hakuna cha USA au NATO anaeweza kuisumbua Russia [emoji635]Mbona kelele nyingi hayo majimbo yanajulikana ni ngome ya Russia mbona hawakuchukua na Kiev yenyewe?
Jose chameleone kapewa hio tendaWaliwaze
Mpe mbinu za nyongeza.Jose chameleone kapewa hio tenda
Magazijuto kabisaMpe mbinu za nyongeza.
Mm sijaelewa jambo moja, haya majimbo ni sehemu ya Ukrain au ni majimbo yaliyo huru kujichagulia?
Kwahiyo Kenya imeamua kujiweka wazi upande inaousimamia?21 February 2022
Makao Mkuu /UN HQ
New York
BALOZI WA KENYA, ALAUMU RUSSIA KWA KUENDEKEZA UKOLONI NA UBEBERU KWA KULAZIMISHA MIPAKA
Balozi wa Kudumu toka Kenya ktk Umoja wa Mataifa Mh. Martin Kimani akiwa anawakilisha Afrika kama mjumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ameilaumu Russia kutumia ukoloni, dini, rangi na ubeberu kutumika kama sababu ya kuvamia nchi zingine. Ametoa mfano wa bara la Afrika ambalo nchi zake zimegawanya kwa nguvu na tawala za zamani za kikoloni na nchi hizo za kiafrika kushuhudia kabila moja likigawanywa vipande viwili hata vitatu na kutenganishwa na mipaka mipya ya nchi zilizoundwa na wakoloni Afrika. Lakini waAfrika wameamua kusonga mbele na kuikubali mipaka hiyo. Hivyo na Russia nayo inaombwa na kushauriwa iaachane na kasumba ya dola kubwa, ubeberu na ukoloni kwa kuvamia nchi zingine kwa kutumia sababu za kihistoria.
Pia ikumbuke kuwa Russia ni rais wa kiti cha mzunguko / kupokezana cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kipindi hiki cha mwezi February 2022 na pia ni mjumbe wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Maitafa mwenye kura ya veto ambayo ina nguvu ya kusambaratisha azimio lolote linaloazimiwa na Baraza hilo la Umoja wa Mataifa. Mbali ya wajumbe 5 wakudumu ndani ya baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, pia kuna nchi 10 zisizo wajumbe wa kudumu wanaochaguliwa kwa mzunguko ambazo hazina kura ya veto na siyo wajumbe wa kudumu katika baraza la usalama la Umoja wa Mataifa .
PERMANENT AND NON-PERMANENT MEMBERS
The Council is composed of 15 Members:
Five permanent members: China, France, Russian Federation, the United Kingdom, and the United States, and ten non-permanent members elected for two-year terms by the General Assembly (with end of term year):
Source : Current Members | United Nations Security Council
- Albania (2023)
- Brazil (2023)
- Gabon (2023)
- Ghana (2023)
- India (2022)
- Ireland (2022)
- Kenya (2022)
- Mexico (2022)
- Norway (2022)
- United Arab Emirates (2023)
Kenya's envoy to UN cites colonial past as he condemns Russian move into Ukraine
Kenya has delivered an emphatic plea to Russia to pursue diplomacy, citing its own history. 'This situation echoes our history. Kenya and almost every African country was birthed by the ending of empire. Our borders were not of our own drawing,' Martin Kimani told the security council. 'Today across the border of every single African country live our countrymen with whom we share deep bonds.
Tunajua vita inagharimu sana maisha ya watu na uchumi. Russia ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi wataishi vipi baada ya vita? Wana mpango mbadala au watasalimu amri Kwa NATO? Don't you think USA na NATO kama wamemtoa chombo Ukraine ili wamuingize kwenye 18 Urusi kwenye uchumi then wamle nyama?Mabeberu wamefanikiwa kumwingiza CHOO CHA KIKE rais wa UKRAINE. Walimdanganya kuwa watamlinda dhidi ya Urusi, wakampatia mabilioni ya misaada ya kijeshi, akavimba kichwa na akagoma kufanya maongezi na majimbo yaliyojitenga ili kutafuta muafaka chini ya makubaliano yaliyodhaminiwa na Ukraine yenyewe, Urusi, Ufaransa na Ujerumani.
Unaitwa ni mkataba wa Minsk. Matokeo yake Urusi kaamua kuwalinda raia wake walioko majimbo hayo na amewatambua kama mataifa huru, na NATO hawatafanya chochote kuizuia Urusi kuingia huko!! Sana sana shida yao ilikuwa ni kupata kisingizio cha kuiwekea vikwazo vya uchumi urusi, na urusi ikasema "we are immune to sunctions".
Rais wa Ukraine keshalihutubia taifa lake tayari na HAKUTHUBUTU kuagiza majeshi yake kuyazuia majeshi ya URUSI kutimiza AMRI ya PUTIN. Muda huu anashangaa alivyoingizwa choo cha KIKE!
Bado mapema sana,,,,,,,,,Tunajua vita inagharimu sana maisha ya watu na uchumi. Russia ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi wataishi vipi baada ya vita? Wana mpango mbadala au watasalimu amri Kwa NATO? Don't you think USA na NATO kama wamemtoa chombo Ukraine ili wamuingize kwenye 18 Urusi kwenye uchumi then wamle nyama?
Hata sijui vile vimikoa vya Rwanda na Burundi tumeviachaje!?Baada ya vita ya pili ya dunia mataifa yenye nguvu yaliapa kutoingia vitani kupigana bila sababu ndo maana ya kuanzishwa umoja wa mataifa.
Urusi kwa wakati huu inatawaliwa na mbabe ambaye hajali taifa lolote kama alivyokuwa Hitler. Hao wanaoitwa mabeberu ndo wametuwezesha nchi maskini kifikia tulipo. Huwezi kutegemea kutembeza kikombe bila masharti.
Putin Jeuri yake kubwa ni Gas anayoisambazia nchi jirani na ikumbukwe kuwa bomba la gas linapitia Ukraine hivyo basi wale ni mateka wa kiuchumi wa Putin. Ugermani nao wanategemea gas hiyo hiyo ya Putin.
Namtaja Putin sababu kipindi cha Stalin tuliona nchi zote alizozikomboa baada ya Vita ya pili, alizihodhi zote na ndicho chanzo cha Genocide iliyotokea Serbia na Ugoslavia.
Dictator yeyote anachotaka ni kulazimisha kuchuka kwa nguvu. Haya majimbo mawili aliyoyachukua, yalishajitenga na kama tunakumbuka ndege iliyodunguliwa kwenye anga la jimbo lililojitenga, hakuna mtu aliruhusiwa kwenda kutambua maiti au kutafuta chanzo mpaka Putin alipowaruhusu wale waliojitenga kuruhusu wakaguzi na waokoaji kuingia.
Kama mtoa mada anamsifia Putin ajikumbushe hii big donor tulikokuwa tumeishafikia. Time would have been the right thing to mention. Nyerere angekuwa dikteta kama wengi wanavyofikiria, angeamua kuchukua sehemu ya Uganda kuwa chini ya TZ kama Stalin na Putin walivyofanya.
Kuichukua Kiev Ni Jambo moja tu linasubiriwa.. lirushwe jiwe dogo liguse kifaru Cha kirusi.. oh ndo mwisho huo utakuwa wa ukraineMbona kelele nyingi hayo majimbo yanajulikana ni ngome ya Russia mbona hawakuchukua na Kiev yenyewe?
Duuh kama unaangalia clods tv au post ya Millard ayo kuja ku comment kwenye mada kama hizi bora ukae kimya. So unafikiri iyo miji miwili ni ya nchi gani. Ebu weka channel 406 dstv apo uangalie channel za kiume ndo uje u commentVikwazo kwani putin kaingia Ukraine?
Ye kaingia miji ambayo tayari ni independent republics...
Akili ni nywele kudadeki
Marekani na NATO wamemwaga damu kiasi gani Iraq, syria, Libya, etcChechnya ,Georgia, Syria na hatimaye Ukraine muendelezo wa umwagaji damu ya wasio na hatia. Putin siyo wa kuchekewa. Civilized world must come together as one and teach Vladmir Putin a lesson or two on civility and peaceful co-existence.
Putin hana huo mpango jombaaa...Hii hoja yako inakosa uhalisia. Putin bado ana mawazo ya kuirejesha upya ile iliyokuwa USSR, kikwazo kikubwa ni baadhi ya mataifa yameshajiunga NATO na mengine yapo kwenye mchakato. Kwa yale ambayo yapo ndani ya NATO, ni kama Urusi kayapoteza tayari kwani huko hawezi kurusha hata jiwe, kikubwa anatafuta yale ambayo bado yapo kwenye
mchakato.Kwa muda mrefu Urusi inaamini Ukraine ni muhimu la kimkakati na usalama wa Urusi.
Kama Urusi ataridhika na hayo majimbo mawili itakuwa afadhali kwa Ukraine ili aweze kujipanga upya.
Bila Ukraine kutafuta nuclear tena kwa haraka, Urusi ataendelea na huu utaratibu wake wa kujimegea eneo kila akitaka.
Huko Ulaya kwamba kila kabila linataka kuwa Nchi? Na hivyo Vinchi vidogo vidogo Ili vi survive inabidi vibakie kwenye kwapa la Russia..
nyama mrusi hailiwi ni sumu kama ya kunguruTunajua vita inagharimu sana maisha ya watu na uchumi. Russia ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi wataishi vipi baada ya vita? Wana mpango mbadala au watasalimu amri Kwa NATO? Don't you think USA na NATO kama wamemtoa chombo Ukraine ili wamuingize kwenye 18 Urusi kwenye uchumi then wamle nyama?
Ni majimbo yaliyopo UkraineMm sijaelewa jambo moja, haya majimbo ni sehemu ya Ukrain au ni majimbo yaliyo huru kujichagulia?
Kwenye uwanja wa vita ni sahihi ila kwa kutumia nguvu ya uchumi atasalimu amri tuu.Ngome ambayo haina hata commanding post hata moja? Tukubali urusi kwa sasa hakuna cha USA au NATO anaeweza kuisumbua Russia [emoji635]
Huu upuuzi akamwambie mke wakePutin anadai anapeleka majeshi ktk majimbo hayo kulinda amani. Sawa na baadhi ya nchi kupitia umoja wa mataifa / UN zinavyokwenda Dafur Sudan au Lebanon kulinda amani. Ila hapa Putin hajasubiri azimio la Umoja wa Mataifa wala msaada wa kifedha toka Umoja wa Mataifa kwenda kulinda amani .