Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
huyu kenge angeenda kwanza kumalizana na vita vyaukabila vinavyoendelea hapa Kenya kabla yakuongelea mambo yawanaume mbuzi huyu21 February 2022
Makao Mkuu /UN HQ
New York
BALOZI WA KENYA, ALAUMU RUSSIA KWA KUENDEKEZA UKOLONI NA UBEBERU KWA KULAZIMISHA MIPAKA
Balozi wa Kudumu toka Kenya ktk Umoja wa Mataifa Mh. Martin Kimani akiwa anawakilisha Afrika kama mjumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ameilaumu Russia kutumia ukoloni, dini, rangi na ubeberu kutumika kama sababu ya kuvamia nchi zingine. Ametoa mfano wa bara la Afrika ambalo nchi zake zimegawanya kwa nguvu na tawala za zamani za kikoloni na nchi hizo za kiafrika kushuhudia kabila moja likigawanywa vipande viwili hata vitatu na kutenganishwa na mipaka mipya ya nchi zilizoundwa na wakoloni Afrika. Lakini waAfrika wameamua kusonga mbele na kuikubali mipaka hiyo. Hivyo na Russia nayo inaombwa na kushauriwa iaachane na kasumba ya dola kubwa, ubeberu na ukoloni kwa kuvamia nchi zingine kwa kutumia sababu za kihistoria.
Pia ikumbuke kuwa Russia ni rais wa kiti cha mzunguko / kupokezana cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kipindi hiki cha mwezi February 2022 na pia ni mjumbe wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Maitafa mwenye kura ya veto ambayo ina nguvu ya kusambaratisha azimio lolote linaloazimiwa na Baraza hilo la Umoja wa Mataifa. Mbali ya wajumbe 5 wakudumu ndani ya baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, pia kuna nchi 10 zisizo wajumbe wa kudumu wanaochaguliwa kwa mzunguko ambazo hazina kura ya veto na siyo wajumbe wa kudumu katika baraza la usalama la Umoja wa Mataifa .
PERMANENT AND NON-PERMANENT MEMBERS
The Council is composed of 15 Members:
Five permanent members: China, France, Russian Federation, the United Kingdom, and the United States, and ten non-permanent members elected for two-year terms by the General Assembly (with end of term year):
Source : Current Members | United Nations Security Council
- Albania (2023)
- Brazil (2023)
- Gabon (2023)
- Ghana (2023)
- India (2022)
- Ireland (2022)
- Kenya (2022)
- Mexico (2022)
- Norway (2022)
- United Arab Emirates (2023)
Kenya's envoy to UN cites colonial past as he condemns Russian move into Ukraine
Kenya has delivered an emphatic plea to Russia to pursue diplomacy, citing its own history. 'This situation echoes our history. Kenya and almost every African country was birthed by the ending of empire. Our borders were not of our own drawing,' Martin Kimani told the security council. 'Today across the border of every single African country live our countrymen with whom we share deep bonds.