Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

Mtu wangu ivyo vikwazo tu Russia wataomba poo wenyewe wewe subiri muda mdogo tu tumeanza Nord Stream 2 kwanza na zile bank 4 za Russia na sanctions nyengine mpya wanachukuliwa tunamaliza vikao
Putin kasema Russia is" immune " to sanctions
 
Trump anasema kuwa namna Rais Putin alivyotangaza majimbo mawili makubwa ya Ukraine kuwa huru, hayapo ndani ya Ukraine, ni namna ya kipekee iliyotumia akili kubwa mno (Genius).

Trump akaendelea kusema kuwa Putin anaenda ingia ndani ya Ukraine na kuwa mlinda amani..."hilo ni jeshi imara zaidi la kutunza amani...tungeweza kulitumia jeshi hilo kwenye mpaka wetu (Marekani) wa kusini".

Trump akaendelea kuongea "Nimeona vifaru vingi (vya Russia) kwa idadi ambayo sijapata kuona kabla. Kwa kweli wanaenda kutunza amani kiukamilifu kabisa".
======

“I said, ‘This is genius,'” Trump said on a right-wing podcast. “Putin declared a big portion of … Ukraine … as independent. Oh, that’s wonderful. … I said, ‘How smart is that?’ And he’s going to go in and be a peacekeeper. That’s strongest peace force. … We could use that on our southern border. That’s the strongest peace force I’ve ever seen. There were more army tanks than I’ve ever seen. They’re going to keep the peace all right. Here’s a guy who’s very savvy … I know him very well. Very, very well.”
 
Putin kasema Russia is" immune " to sanctions
Ngoja tuone gesi yake atamuuzia nani, China akijipendekeza na yeye atabanwa kwa upande wake
Ndivyo marekani kwa dunia ya sasa anavyowatia adabu hawa wanaojaribu kujilinganisha naye na hii inafanya kazi zaidi kuliko vita
 
Mbona Naona hapa baada ya vikwazo vipya ambavyo U.S kaweka, Rais wa Russia kaomba yawepo mazungumzo ya amani.

Putin kaomba Diplomatic solution to resolve the crisis
Source aljazeera
Ni kwasababu anaenda kudidimia kiuchumi Marekani skuizi mpango wao ni huo nchi zinashika adabu kweli kweli hao Iran kila siku wanalalamika njaa., Marekani ni Taifa ambalo miaka mingi iliyopita walitafakari ni njia gani sahihi kuitawala dunia? majibu ndio yanakuja sasa, vikwazo ni adabu zaidi kuliko vita
 
Hivi Kwan mrusi na yeye hawezi kumuwekea vikwazo mmarekani....???
 
Ni kwasababu anaenda kudidimia kiuchumi Marekani skuizi mpango wao ni huo nchi zinashika adabu kweli kweli hao Iran kila siku wanalalamika njaa., Marekani ni Taifa ambalo miaka mingi iliyopita walitafakari ni njia gani sahihi kuitawala dunia? majibu ndio yanakuja sasa, vikwazo ni adabu zaidi kuliko vita
Iran, Cuba, North korea zinamiaka mingap chin ya vikwazo na zinadunda..?
 
Sio kwa dunia ya sasa, hizo ni siasa za miaka ya 40 huko, yaani mtu akiwa mpinzani wako, tu kisiasa unachokiona ni kumuua/kumfunga? Wameamua vipi?au ni kulazimishwa tu, ina maana hata hapa kwetu tumeamua kuwa na bunge la chama kimoja, uongozi kuanzia kijiji hadi taifa ni CCM tu?!!
ww jamaa unashida gani sio kwadunia yasasa kwani hili alilolifanya PUTIN kalifanya mwaka 1890 nangapi?
 
Ngoja tuone gesi yake atamuuzia nani, China akijipendekeza na yeye atabanwa kwa upande wake
Ndivyo marekani kwa dunia ya sasa anavyowatia adabu hawa wanaojaribu kujilinganisha naye na hii inafanya kazi zaidi kuliko vita
endeleeni kudanganyika [emoji5][emoji4][emoji4]
 
Ni kwasababu anaenda kudidimia kiuchumi Marekani skuizi mpango wao ni huo nchi zinashika adabu kweli kweli hao Iran kila siku wanalalamika njaa., Marekani ni Taifa ambalo miaka mingi iliyopita walitafakari ni njia gani sahihi kuitawala dunia? majibu ndio yanakuja sasa, vikwazo ni adabu zaidi kuliko vita
labda wakatawale akhera sio dunia
 
Russia kinachowaangusha hawana taasis imara kuna kiongoz wao mmoja sjui n Boris yestin aliuza Alaska kwa marekan yan huwa wana amin one Man show huwa mipango mingi inaamuliliwa na kiongoz mmoja wa nchi
Na hii one man show ndo itawabeba sahivi...............Biden sahv ana presha za uchaguzi ujao kama atapita salama huku trump kaanza tena kubip ,unaenda kutunishiana msuli na mtu ambae anajua yeye kutoka kwenye cheo chake labda wewe ndo umuue hana presha za uchaguzi wala mambo yakuridhisha wananchi ili achaguliwe tena yeye amefocus tu kwenye interest zake tu baas,,,,,........wale jamaa wakivurugana unaweza ukasikia tu hata asubuhi bunge limemkataza rais kupeleka wanajeshi kusaidia nato......
 
Tokea awali Marekani alisema atatoa msaada wa silaha na siyo kuingiza wanajeshi wake vitani, pia labda mtu iwe akili zake haziko sawa kuamini Marekani anaweza kuingia vitani na Urusi kisa ni jimbo lililo huko Ukraine. Nchi za NATO nazo zimetoa baadhi ya msaada kwa Ukraine kama rafiki tu na siyo mwanachama. Ukitaka kuona kile NATO wanaweza kukifanya, Putin ajichanganye kuchukua eneo la nchi mwanachama wa NATO.
Mkuu Russia alishamchapa Georgia ambaye ni member wa NATO mwaka 2008 na NATO walikaa kimya tu.
Mkuu Russia sio ya kitoto asee, anaweza kusimama nao wote hao na akawatoa nishai
 
Mkuu Russia alishamchapa Georgia ambaye ni member wa NATO mwaka 2008 na NATO walikaa kimya tu.
Mkuu Russia sio ya kitoto asee, anaweza kusimama nao wote hao na akawatoa nishai

Georgia haiko NATO !! acha upotoshaji
 
Ngoja tuone gesi yake atamuuzia nani, China akijipendekeza na yeye atabanwa kwa upande wake
Ndivyo marekani kwa dunia ya sasa anavyowatia adabu hawa wanaojaribu kujilinganisha naye na hii inafanya kazi zaidi kuliko vita

ingekua inafanya kazi iran n north korea zingesalimu amri siku nyingi!
 
ingekua inafanya kazi iran n north korea zingesalimu amri siku nyingi!
Mkuu fuatilia mamboo Iran kabla walikataa chanjo za AstraZaneca toka marekani juzi wameomba poo wamepokea mzigo chanjoo toka marekani
 
Mkuu Russia alishamchapa Georgia ambaye ni member wa NATO mwaka 2008 na NATO walikaa kimya tu.
Mkuu Russia sio ya kitoto asee, anaweza kusimama nao wote hao na akawatoa nishai
Georgia alijiunga NATO lini? Russia ni overrated, simshangai hizi fujo anazozileta kwa majirani kwani ni wazi maadui zake wanataka kumzingira hapo nyumbani hivyo lazima apambane kwa kiasi chake. Hiyo siku atayonyanyua mikono kupigana na NATO dunia itakuwa imempata Hittler wa pili.
 
Mambo yameivakaaa hukoo pro America wapuuzi nyinyi tayari Kiev kimenuka mwamba anashambulia pande zote za Kiev hawezi hawezi wajinga nyinyi pro [emoji635] mpo wapiiiiii tushangililie ushindi wetuuu

Russia imewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au waweke silaha zao chini warudi nyumbani.

Huku hayo yakiendelea kumesikika milipuko sehemu mbalimbali nchini Ukraine huku wanajeshi wengi wa Urusi wakitokea kila upande kuizunguka Ukraine... Wengine wanatokea nchi jirani ya Belarus kuelekea miji mingine ya Ukraine.
 
Back
Top Bottom