MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Huwezi kuiathiri urusi halafu ulaya ikabaki salama kumbuka makampuni mengi ya ulaya yanafanya kazi urusi.Inategemea na aina ya vikwazo
Nchi kama ujerumani inaitegemea urusi kwa ajili ya gesi , oil na zimefungamana kibiashara kiasi .
Nchi zote za east europe zinaitegemea urusi kiuchumi hivyo wakileta unilateral sanction kwa mrusi ujue ulaya nayo inaumia.