Mambo yameivakaaa hukoo pro America wapuuzi nyinyi tayari Kiev kimenuka mwamba anashambulia pande zote za Kiev hawezi hawezi wajinga nyinyi pro [emoji635] mpo wapiiiiii tushangililie ushindi wetuuu
Russia imewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au waweke silaha zao chini warudi nyumbani.
Huku hayo yakiendelea kumesikika milipuko sehemu mbalimbali nchini Ukraine huku wanajeshi wengi wa Urusi wakitokea kila upande kuizunguka Ukraine... Wengine wanatokea nchi jirani ya Belarus kuelekea miji mingine ya Ukraine.