Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

21 February 2022
Makao Mkuu /UN HQ
New York

BALOZI WA KENYA, ALAUMU RUSSIA KWA KUENDEKEZA UKOLONI NA UBEBERU KWA KULAZIMISHA MIPAKA

Balozi wa Kudumu toka Kenya ktk Umoja wa Mataifa Mh. Martin Kimani akiwa anawakilisha Afrika kama mjumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ameilaumu Russia kutumia ukoloni, dini, rangi na ubeberu kutumika kama sababu ya kuvamia nchi zingine. Ametoa mfano wa bara la Afrika ambalo nchi zake zimegawanya kwa nguvu na tawala za zamani za kikoloni na nchi hizo za kiafrika kushuhudia kabila moja likigawanywa vipande viwili hata vitatu na kutenganishwa na mipaka mipya ya nchi zilizoundwa na wakoloni Afrika. Lakini waAfrika wameamua kusonga mbele na kuikubali mipaka hiyo. Hivyo na Russia nayo inaombwa na kushauriwa iaachane na kasumba ya dola kubwa, ubeberu na ukoloni kwa kuvamia nchi zingine kwa kutumia sababu za kihistoria.

Pia ikumbuke kuwa Russia ni rais wa kiti cha mzunguko / kupokezana cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kipindi hiki cha mwezi February 2022 na pia ni mjumbe wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Maitafa mwenye kura ya veto ambayo ina nguvu ya kusambaratisha azimio lolote linaloazimiwa na Baraza hilo la Umoja wa Mataifa. Mbali ya wajumbe 5 wakudumu ndani ya baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, pia kuna nchi 10 zisizo wajumbe wa kudumu wanaochaguliwa kwa mzunguko ambazo hazina kura ya veto na siyo wajumbe wa kudumu katika baraza la usalama la Umoja wa Mataifa .

PERMANENT AND NON-PERMANENT MEMBERS​

The Council is composed of 15 Members:

Five permanent members: China, France, Russian Federation, the United Kingdom, and the United States, and ten non-permanent members elected for two-year terms by the General Assembly (with end of term year):

Source : Current Members | United Nations Security Council

Kenya's envoy to UN cites colonial past as he condemns Russian move into Ukraine

Kenya has delivered an emphatic plea to Russia to pursue diplomacy, citing its own history. 'This situation echoes our history. Kenya and almost every African country was birthed by the ending of empire. Our borders were not of our own drawing,' Martin Kimani told the security council. 'Today across the border of every single African country live our countrymen with whom we share deep bonds.
huyu kenge angeenda kwanza kumalizana na vita vyaukabila vinavyoendelea hapa Kenya kabla yakuongelea mambo yawanaume mbuzi huyu
 
Nato wakiingia Inamaana Putin atasimama peke yake?
Sasa huyo Beralus, atamsaidia nini?!!mchina kwenye vita ambayo haimuhusu moja kwa moja hawezi tia mguu.NATO iamue kweli kuingia vitani putin hataweza, kuhimili, kwanza uchumi wenyewe ndio huo, wa kawaida, akiminywa kwa vikwazo vizito tu, inatosha, kwa kuanza tu ujerumani wame stopisha mradi wa nordic 2, Uk, tayari mabenki makubwa 5, ya urusi, yamewekewa vikwazo!!!muulize boss wa chelsea kinachomkuta , hawezi kuingia UK, kisa ni ukaribu na Putin!!
Yaani siasa za KAGAME, uzitumie kwa watu waliostarabika utagombana na watu tu!!hizo ni siasa za huku kwa NYANI WALIOCHANGAMKA TU.
 
Nato hawaingiliii vta vinavyopiganwa jirani yao hata siku moja
Putin amepewa ruhusa kushambulia nchi yoyote na bunge lao leo

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Belarus atampa Russia eneo zuri la kuipiga Kiev na Poland
 
Tunajua vita inagharimu sana maisha ya watu na uchumi. Russia ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi wataishi vipi baada ya vita? Wana mpango mbadala au watasalimu amri Kwa NATO? Don't you think USA na NATO kama wamemtoa chombo Ukraine ili wamuingize kwenye 18 Urusi kwenye uchumi then wamle nyama?
kwasababu hivi ndio vitakua vikwazo vyakwanza vya west kwa RUSSIA uko sahihi watamla nyama
 
Nato hawaingiliii vta vinavyopiganwa jirani yao hata siku moja
Putin amepewa ruhusa kushambulia nchi yoyote na bunge lao leo

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Urusi kuna bunge bana!!ni kama la nchi ile ya porto rico tu!!hakuna sheria/mkataba huo kuwa hawawezi pigana vita vilivyo jirani nao!!
Putin ile nchi ni kama familia yake tu, hakuna uongozi pale.
 
Oyaaaa kimeumana huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] timu west mko wapi njooni huku, mda sio mrefu tunaikamatw Kiev [emoji23]

#UPDATE Russian lawmakers gave Vladimir Putin the green light to deploy forces abroad, paving the way for the Russian leader to send troops into Ukraine despite a fierce global backlash https://t.co/TaradSdBXP
hili naliona RUSSIA kupeleka majeshi VENEZUELA na CUBA
acha tuone
 
Belarus atampa Russia eneo zuri la kuipiga Kiev na Poland
Kwenye vita kuna mambo mengi, zaidi ya eneo tu, japo ukaribu una umuhimu wake!!
Kwa mtizamo wangu hakuna vita hapo, ni putin ana piga mkwala tu, ili kutaka matakwa yake hasa ya ukraine kutojiunga na NATO, yakubaliwe!!lakini USA, aamue sasa jiunge, utamuona ataufyata tu, sema NATO, haaoni umuhimu wa vita hivyo kwa sasa.
 
Putin yeye bado ana siasa zile za ubabe wa kiafrika, sasa ukraine kuna warusi ambao ndio walijitenga na kuhamia kwenye hayo majimbo mawili, na kuleta upinzani wa kutaka kuiondoa serikali ya kiev, kwa msaada wa putin, mwaka 2014, aliivamia krimea na kuichukua, na bado anataka kuichukua ukraine, ndio maana , ukraine anajiona atakuwa salama endapo akijiunga na NATO.wewe waangalie marafiki zake putin , ndio wale wale wenye akili za kifrika.
Hivi kweli NATO nao sasa waamue liwalo na liwe kama ni vita potelea mbali, URUSI, ataweza, ?uchumi wenyewe ndio huo, ukilinganisha na nchi za ulaya!!sema NATO, wao kimaamuzi ni tofauti kidogo na URUSI, viongozi wake, hawana mamlaka ya moja kwa moja kuamua , tofauti na URUSI, yaani ni mizungu yenye akili za kiafrika, putin akisema kesho hivi amemaliza hakuna wa kupinga!! Rais wa
Beralusi naye ni kinyago cha putin, kwani toka apigwe pin na EU, kwa siasa za kifrika kwa watu waliostarabika akaona, wa kumuokoa ni putin!!
NATO HAIJAAMUA TU,
inangojea nn iamue ss [emoji2][emoji23][emoji23]
 
Sasa huyo Beralus, atamsaidia nini?!!mchina kwenye vita ambayo haimuhusu moja kwa moja hawezi tia mguu.NATO iamue kweli kuingia vitani putin hataweza, kuhimili, kwanza uchumi wenyewe ndio huo, wa kawaida, akiminywa kwa vikwazo vizito tu, inatosha, kwa kuanza tu ujerumani wame stopisha mradi wa nordic 2, Uk, tayari mabenki makubwa 5, ya urusi, yamewekewa vikwazo!!!muulize boss wa chelsea kinachomkuta , hawezi kuingia UK, kisa ni ukaribu na Putin!!
Yaani siasa za KAGAME, uzitumie kwa watu waliostarabika utagombana na watu tu!!hizo ni siasa za huku kwa NYANI WALIOCHANGAMKA TU.
wanangojea nn kuamua [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Urusi kuna bunge bana!!ni kama la nchi ile ya porto rico tu!!hakuna sheria/mkataba huo kuwa hawawezi pigana vita vilivyo jirani nao!!
Putin ile nchi ni kama familia yake tu, hakuna uongozi pale.
sio mbaya MKUU maadam inchi inaenda vyema
 
inangojea nn iamue ss [emoji2][emoji23][emoji23]
Hahaaa!!NATO, wanaangalia mambo mengi, kwani muungano wa nchi nyingi na bahati nzuri zina mabunge /wananchi wanaojitambua, hivyo lazima mpime mambo mengi!!lakini li PUTIN, likisema tayari ndio hivyo.
Hapana bana wasipigane, kwani hatutakawia kuambiwa bana mafuta ya kula , nyama zimepanda, kutokana na vita hivyo!!
 
Kwenye vita kuna mambo mengi, zaidi ya eneo tu, japo ukaribu una umuhimu wake!!
Kwa mtizamo wangu hakuna vita hapo, ni putin ana piga mkwala tu, ili kutaka matakwa yake hasa ya ukraine kutojiunga na NATO, yakubaliwe!!lakini USA, aamue sasa jiunge, utamuona ataufyata tu, sema NATO, haaoni umuhimu wa vita hivyo kwa sasa.
[emoji2][emoji2][emoji2] kama havina umuhimu vikwazo vua nn?
 
Hahaaa!!NATO, wanaangalia mambo mengi, kwani muungano wa nchi nyingi na bahati nzuri zina mabunge /wananchi wanaojitambua, hivyo lazima mpime mambo mengi!!lakini li PUTIN, likisema tayari ndio hivyo.
Hapana bana wasipigane, kwani hatutakawia kuambiwa bana mafuta ya kula , nyama zimepanda, kutokana na vita hivyo!!
kila nchi namaamuzi yake kama wao wameamua kuishi hvyo na RUSSIA wanaishi vile hakuna shida
 
[emoji2][emoji2][emoji2] kama havina umuhimu vikwazo vua nn?
Madhara ya vita kiuchumi pande zote ni makubwa, ila wanapokuwekea vikwazo, ni kuwa asilimia kubwa wanauathiri uchumi wako!!kiuchumi urusi anaitegemea sana EU, kuliko Eu, inavyoitegemea Urusi
 
kila nchi namaamuzi yake kama wao wameamua kuishi hvyo na RUSSIA wanaishi vile hakuna shida
Sio kwa dunia ya sasa, hizo ni siasa za miaka ya 40 huko, yaani mtu akiwa mpinzani wako, tu kisiasa unachokiona ni kumuua/kumfunga? Wameamua vipi?au ni kulazimishwa tu, ina maana hata hapa kwetu tumeamua kuwa na bunge la chama kimoja, uongozi kuanzia kijiji hadi taifa ni CCM tu?!!
 
Back
Top Bottom