- Thread starter
- #301
4 March 2022
Hungary
Wasio Wenyeji waishio na kusoma vyuoni katika nchi ya Ukraine ktk pilikapilika za kuondoka, wasimulia hali ilivyokuwa
Wanasimulia walivyoweza kutoka mji wa Kharkiv mji wa kimkakati wa viwanda wa Ukraine ambao pia ni mji mkubwa wa pili nchini Ukraine uliopo kaskazini mashariki ya Ukraine karibu na mpaka wa Ukraine na Russia hadi Hungary . Na safari yao nzima hawakukumbana na adha yoyote zaidi ya kila mtu kugombania kupata usafiri lakini hakukuwepo kubaguana na waliowasili Hungary wamepewa haki ya kuishi kwa muda Hungary bila ulazima wa vibali n.k
I heard on the news and through social media that Ukrainians weren't allowing Africans and Indians on trains, buses, or across the border. I wanted to find out the truth and luckily found a group of African students who successfully escaped Kharkiv, Ukraine to tell their story.
Source : Johnny FD