Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Deployment ya Marekani kwa Iraq nimekuambia aliifanya kwa kupigia kwa mbali, hii hapa ya Mrusi ni kajirani kamemshinda ilhali yeye ametoka na all-out war.....
 
Hivi unatumia miwani kutizama hiyo picha yako??? Miji yote kivipi...halafu hako ka-Kiev kamekua mfupa uliomshinda fisi.....hii ni aibu yaani, Urusi bora angekaa kimya maana Wachina na majirani zake wote wamemuona bonge la bogus.
 
Kweli.
 
Marekani hana nia ya kuingilia vita maana uhusika wake utasababisha alaaniwe na dunia yote kwa vile vita baina ya Marekani na Urusi vitavuruga kote
Acha porojo wewe, alaaniwe mara ngapi?

Mbona hizo vita za Iraq na kwingineko alilaaniwa na Ulimwengu wote (miafrika bwana ya hovyo sana, wazungu walilaani Marekani kwa uvamizi mbali mbali yeye aona Marekani ni malaika!)

Hakuna sababu zaidi ya kuogopa kuzichapa na Russia
 
Deployment ya Marekani kwa Iraq nimekuambia aliifanya kwa kupigia kwa mbali, hii hapa ya Mrusi ni kajirani kamemshinda ilhali yeye ametoka na all-out war.....
Bado mnakula mizoga kama fisi halafu uje kuongelea Russia!? Tupid kenyan
 
Kipindi hicho Marekani alilaaniwa kwa kuwaonea Iraq na jeshi lao, ila kwa sasa akianza vita dhidi ya taifa lenye silaja za nyuklia, wengi watapiga makelele maana Urusi hatakubali afe mwenyewe, atabonyeza bonyeza hizo silaha zitoke bila kujali zinapiga wapi, ndio maana inabidi asomwe kwanza uwezo wake kwenye hii vita baina yake na kataifa kadogo.
Kasome doctrine ya Mutual Assuraed Destruction (MAD)
 
Kumbuka urusi yuko peke yake plus vikwazo na NATO wanaomsaidia Ukraine, lakini 2003 US alikuwa na washirika kibao Wala hakukuwa na vikwazo. Halafu marekani alikuwa na military base kitambo sana huko ghuba ya uajemi na uturuki, kwahiyo deployment ya vifaa na Askari haikuwa shida.
 
Hakuna Vita tena hapo vinatafutwa visinuizio tu.
 
Deployment ya Marekani kwa Iraq nimekuambia aliifanya kwa kupigia kwa mbali, hii hapa ya Mrusi ni kajirani kamemshinda ilhali yeye ametoka na all-out war.....
Utofauti ni nini? Unaongelea as if wanajeshi wa marekani walikuwa wanapanda ndege na kutua Iraq.

Kama Vile Urusi alivyotumia Belarus na Usa Alitumia Nchi za Jirani kwa case ya Iraq ni Uturuki. Anga la Uturuki lilitumika kumpiga iraq.
 
Sasa Iraq na Ukraine sawa? Iraq alijiaandaa na alikuwa na uchumi mzuri kuliko maskini Ukraine
 
Uzuri wa Putin leo anaendelea kugawa kipigo cha mbwa koko huko Ukraine...yaani huko ni vilio na kusaga meno tu
kwani dozi ilipungua ndugu mrusi wa buza?
mbona anagawa kipigo na hatuoni kipigo chake zaidi ha kupiga maeneo ya raia tu

Utofauti ni nini? Unaongelea as if wanajeshi wa marekani walikuwa wanapanda ndege na kutua Iraq.

Kama Vile Urusi alivyotumia Belarus na Usa Alitumia Nchi za Jirani kwa case ya Iraq ni Uturuki. Anga la Uturuki lilitumika kumpiga iraq.

Tofautisha umbali wa Iraq mpaka Marekani, ukizingatia Iraq ilikua taifa kubwa lenye zana za kila aina. Urusi hapo jirani katafa kadogo kanamtoza kamasi kwenye all-out war.....aibu sana hii.
 
Naongea kuhusu matamko ya huyo Putin, mwenyewe alianza kwa kusema ni special operation ya masaa 24, leo imeshindikana, hawezi kugeuza na pia kuingia ndani imekua mtihani.
Kadiri anavyo onyesha kulemewa ndivyo watu wa Ukrane wanapata mzuka.
Hayo mtajua nyinnyi, mwenye nguvu aende Ukraine kumtoa.
 
Hehehe!! Sasa mumeanza kujifichia kwenye vikwazo, mwenyewe si alijifanya mbabe kwamba atagaragaza Ukraine licha ya vikwazo, mjii wa Kiev umemshinda, zaidi ya wiki sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…