Putin atoa onyo kuhusu upelekwaji wa makombora ya masafa marefu Ukraine

Acha tu itokee mkuu, haiwezekani WW1&2 zote 2 hatujazishuhudia.Irudiwe irudiwe.
 
Marekani alipigana Afghanistan zaidi ya miaka 20
Sio kweli., baada ya kumkabili osama bin laden hawakuwa tena na issue ya kufanya zaidi ya kuikalia ile nchi kijeshi lakini lengo lake likiwa limetimia kitamboo ndio mana biden kaona bora warudishe majeshi yao Afghan wajitawale wenyewe kwenye nchi yao tofauti na malengo ya russia Ukraine
 
Achana na nchi za Ulaya na US. Hawa watu kwanza kabisa wana pesa. Pili wana teknolojia za hali ya juu sana. Hawa wakiamua haswa Ukraine isianguke mikononi mwa Russia basi itakuwa hivyo. Lengo lao kubuma ni ngumu mno.
 
Unayajua malengo ya Russia kule Ukraine?
 
Kwanini mpaka sasa mwezi wa tatu unaenda na wa nne bado putin hajaiteka Kyiv?
 

Hivi alifanya nini baada ya ubalozi wake wa Libya, Benghazi kulipuliwa na balozi wake J Christopher Stevens kuuawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…