Javeline ni ya muda kidogo, majuzi russia walikamata silaha za NATO wakasema NATO inapeleka silaha za zamani kwa Ukraine. Sasa hapo fikiria mkuu Javeline ni ya muda kidogo, silaha za 2010's zitakuaje? Kifupi ni kwamba hawa jamaa ishu ya vifaru hawaiwazi, ukipigana na UK hakikisha huingizi kifaru nchini kwake sababu vyote vitapotea.Usiseme liliwa, sema liliwa na waingereza na madude mapya yanayoitwa Javelin. Hatujui hiii dunia kuna silaha gani mpya
Alafu kilichofuata?mwisho wa ww2 Kwa hisani ya warusiHata Ujerumani hana nukes, alisaini mikataba na Marekani na hapendi militarisation kama Japan ila silaha zake hizi kina Panzerfaust na nyingine si zinaisaidia Ukraine.
Russia leo siku ya 67 sijui anapigana na Ukraine na hata nusu ya nchi hana. Akikutana na spirit ya Japanese kwenye kupigana na superior weapons zao ambazo hawajahi ziuza wala kufanya deployment nchi nyingine si watahangaika.
Ujerumani alipigwa hivihivi kwa ujinga wake wa kupigana two fronts. Alipigana na UK hajashinda then akaivamia USSR kisa aliona wanyonge
Ukraine haina bahari SASA hiviHata Ujerumani hana nukes, alisaini mikataba na Marekani na hapendi militarisation kama Japan ila silaha zake hizi kina Panzerfaust na nyingine si zinaisaidia Ukraine.
Russia leo siku ya 67 sijui anapigana na Ukraine na hata nusu ya nchi hana. Akikutana na spirit ya Japanese kwenye kupigana na superior weapons zao ambazo hawajahi ziuza wala kufanya deployment nchi nyingine si watahangaika.
Ujerumani alipigwa hivihivi kwa ujinga wake wa kupigana two fronts. Alipigana na UK hajashinda then akaivamia USSR kisa aliona wanyonge
Japan na South Korea wote wana silaha zao. South Korea ana kifaru kimetengenezwa na Samsung ni K2 Black Panther tafuta kifaru gani Ulaya kinaizidi, hata Leopard 2 ya Ujerumani ni kama zinaendana. South Korea ana one of the best self propelled howitzer haikosi top 3 duniani ambayo hadi Australia wanataka wanunue.Japan kwanza ndo inasemekana wanafikiria kuunda nukes. Ushawahi kusikia ametest silaha zozote za maana? Yeye na South Korea US anawalaghai japo sasa wote wawili wameanza kuwaza upya juu ya umiliki wa silaha kama ilivyo kwa mahasimu wao.
Sina kumbukumbu nzuri ni wakati gani ila tafuta makubalinano ya Yalta conference, sababu za Urusi alipataje Kaliningrad ndio hizo hizo za kueleza alipataje Kuril islands. Japan alikuwa busy kupigana na Marekani, Urusi ikachukua maeneo.Na hivyo visiwa wanavyo gombania walivitekaje sasa kutoka japan?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Vita inahitaji mbinu kuwa na umoja kama NATO ni mbinu Putin sijui mzungu gani mwehu vile!mbona anataka support kutoka uchina unadhani kwanini?Kwani hutaki au? Sasa kama nchi zoote za NATO wanapeleka silaha na fedha ukraine dhidi ya nchi moja tu ambayo ni Urusi, sasa kama wazungu wanalijua hili sasa wewe unaebisha ni kama nani ukiwa huko kijijini Diukizula? Hata huyo Us akizungumzia vita dhidi ya Urusi utamsikia akisema " we will retalliate aggressively against Russia with our allies with full strengh" unadhani kwanini hua anajifichia kwenye kichaka cha umoja wa kujihami wa nchi za magharibi? Urusi ni maji marefu hasa kwenye vita hata wakubwa zako wanalitambua hili we nenda kale tunda kimasihara.
That was then and this is now. Baada ya kumpiga Mmarekani nini kilimpata.
Japan, South Korea wote hawana silaha za maana kwasababu wako chini ya protection ya Marekani.
Kwasasa hata hawezi kabiliana na Mchina maana anamzidi nguvu kijeshi.
Japan wa vita ya pili ya dunia sio huyu mjapan soft soft
Ingekuwa hivyo basi Roma ingeendelea kutawala dunia, Ottoman empire engeendelea kutawala, Germany piaUsipojua ulikotoka hata unakokwenda ni giza!
Simba ni simba hata akilowana
Ajaribu aone. Mwisho wake usije ukawa kama wa Adolf Hitler!Huyo Putin mnaamini anaweza akapigana na dunia yote na kushinda. Mapenzi haya.
Nonsense Russia ndiyo kiboko ya wabeberu wote kuanzia kina HitlerAjaribu aone. Mwisho wake usije ukawa kama wa Adolf Hitler!
NYUKLIA c zake mbna mnapenda kuziweka pembeniHaya mahaba yanapotosha, hivi unajua Japan inaizidi Ukraine kijeshi kwa mbali sana, hiyo Ukraine ambayo imemtoza makamasi Urusi, bajeti ya kijeshi ya Japan ni $50.3b huku ya Ukraine ikiwa $5.4b na Urusi $69b, Japan wana hadi aircraft carrier.
Urusi kwa sasa hivi ameyumbishwa, akiguswa kidogo anadondoka, sema alichosalia nacho ni manyuklia tu, ndio yanasababisha asipokee kipodo.
Limsafara lake kwenda Ukraine liliwa lote.
MKUU sio lazima wote mushabikie unachokitaka weweNi bora zaidi mbakie kushabilia mpira kuliko kuleta ushabiki kwenye maisha ya watu, so kama Urus ana nguvu za kijeshi what is the benefit on you. Kwani haiwatoshi kushabikia mipira mpaka mnashabikia vita
Sema wewe ni zuzu unajua urussi anazo nuclear submarine ngapi na hadi sasa zimeteketea ngapi ,je unajua bomu la father of all bomu la urussi limetumika wapi mpaka sasa ,unajua viwanda vya kijeshi vya urussi vinaunda nini kwa sasa? Je unajua ukubwa wa jeshi la urussi na askari wangapi mpaka sasa wamekufa? Kwa kifupi kujidanganya kuwa urussi ni dhaifu wakati ujaua hata askari wake milioni 1 ni ujinga mtupu ,marekani ndiyo inadanganya kuhusu nguvu zake za kijeshi. Marekani kivita na urusi marekani ni dhaifu tuHaya mahaba yanapotosha, hivi unajua Japan inaizidi Ukraine kijeshi kwa mbali sana, hiyo Ukraine ambayo imemtoza makamasi Urusi, bajeti ya kijeshi ya Japan ni $50.3b huku ya Ukraine ikiwa $5.4b na Urusi $69b, Japan wana hadi aircraft carrier.
Urusi kwa sasa hivi ameyumbishwa, akiguswa kidogo anadondoka, sema alichosalia nacho ni manyuklia tu, ndio yanasababisha asipokee kipodo.
Limsafara lake kwenda Ukraine liliwa lote.
Acha uongo anaibaje iyo gesi na mafuta??
Japan waibiwe gesi gani waliyonayo? Japan ukiachana na udongo na maji, sidhani kama wana rasilimali ya aina yoyote ile katika dunia hii. Hata top 100 nchi zenye rasilimali naamini hawapo ila top 10 kwenye uchumi wapo
Kwaiyo migebuka na mikekee wanatoa wap ?Ukraine haina bahari SASA hivi
Vita haijaisha, usije shangazwa. Hata WW2 ilipoanza Ujerumani iliiteka Ufaransa, Poland na majirani wote walikuwa hawafurukuti. Kilichotokea mwishoni? Ujerumani ikagawanywa twice.Ukraine haina bahari SASA hivi
Urusi hakushinda kwa hisani, asingeshinda yeye ulitaka ashinde nani?Alafu kilichofuata?mwisho wa ww2 Kwa hisani ya warusi
Wabongo ni noma kwa uchambuzi wa vita. As if ni Afisa wa Jeshi la Russia ulivyochambua hapa, mkuu upo Tanzania kweli?? [emoji3][emoji3]Haya mahaba yanapotosha, hivi unajua Japan inaizidi Ukraine kijeshi kwa mbali sana, hiyo Ukraine ambayo imemtoza makamasi Urusi, bajeti ya kijeshi ya Japan ni $50.3b huku ya Ukraine ikiwa $5.4b na Urusi $69b, Japan wana hadi aircraft carrier.
Urusi kwa sasa hivi ameyumbishwa, akiguswa kidogo anadondoka, sema alichosalia nacho ni manyuklia tu, ndio yanasababisha asipokee kipodo.
Limsafara lake kwenda Ukraine liliwa lote.
Na wakuelewe. Statistics za Nguvu za kijeshi ni Siri kubwa. Nashangaa mtu ana ng'ang'ana na statistics za Propaganda. Hao NATO wanazo estimate ya kuwa Russia ni hatari sana na anawazidi. Hapo wameungana huko ukrain lakini wanapigika tu. Au hamuoni kama NATO ipo vitani ?? Yawezekana kuna hata siraha hatari zaidi ya Nuclear zipo store, zikitumiwa ndo na sisi tunaongeza propaganda za Uchambuzi wa Vita!Sema wewe ni zuzu unajua urussi anazo nuclear submarine ngapi na hadi sasa zimeteketea ngapi ,je unajua bomu la father of all bomu la urussi limetumika wapi mpaka sasa ,unajua viwanda vya kijeshi vya urussi vinaunda nini kwa sasa? Je unajua ukubwa wa jeshi la urussi na askari wangapi mpaka sasa wamekufa? Kwa kifupi kujidanganya kuwa urussi ni dhaifu wakati ujaua hata askari wake milioni 1 ni ujinga mtupu ,marekani ndiyo inadanganya kuhusu nguvu zake za kijeshi. Marekani kivita na urusi marekani ni dhaifu tu