Putin hakujifunza baada ya kilichomkuta Ukraine, ameamsha ugomvi mwingine na Japan

NYUKLIA c zake mbna mnapenda kuziweka pembeni
hata KOWAD wenu US alitumia kwahio kaeni kwakutulia
kwahio akiguswa tu anaanguka ila NATO wanashindwa kumgusa akaanguka wakati jamaa anaua tu watu bure huko UKRAINE

Ha ha ha!! Sheikh nawaza hapo unavyotokwa povu na likanzu lote, sawa aendelee kuua raia maana ameshindwa kuteka Kiev kijeshi, walau hayo mauaji kwa raia kidogo yanawakosha nyie na kuwapa kitu cha kujiliwaza, ila ameumbuka hata wale wenye dini yao waarabu wanamshangaa alivyo legelege kijeshi....
 

Hehehe!!! Yaani vita na kataifa kadogo kama Ukraine kamemshinda Urusi eti tusubiri mpaka wanajeshi wake wauae milioni moja ndio tujue kama kashndwa.....
 

Statistics za nini kama Kiev imewashinda kuteka na kubadilisha uongozi kama mlivyotishia, useless kabisa.....
Kwenye medani za vita, matokeo ndo statistics za kweli, muiteke Kiev ndio tuwaelewe, ila kichapo kilisababisha msafara wote ukaliwa.
 
Huyu Putin kichaa nduli amalizane kwanza na Ukraine.

Mei 9 inakaribia, sikukuu ambayo Urusi husheherekea ushindi wao dhidi ya Hittler na hutumia hiyo siku kuonyesha zana zao na ubabe, ila kwa aibu ya Ukraine, Putin hana cha kuwaambia Warusi, hivyo anatafuta pakutokea, sababu za kutumia nyuklia, maana kawaida yeye kama yeye hawezi kuamrisha matumizi ya nyuklia, lazima majenerali wamuelewe kwanza kabla ya wao kukubali vitufe vibonyezwe, sasa akilianzisha na Japan, itakua rahisi kuwashawishi Warusi kwamba wanavamiwa na dunia.
 
Ameshidwa kumtoa madarakani comedian zelensky ndio atawaweza Japan aka wazee wa Kamikaze?!
Mpuuzi sana huyu nduli
 
Kama Ukraine amemshindwa, huyo mjapan atamfata mpaka Kremlin Putin.
Ina maana hujui Ukraine ameshapigwa vibaya.Ama unasuburi uone kichwa cha Zelensky kimeng'olewa ndio uamini Ukraine kapigwa
project ya delimitalize imeshakamilika
 
Putin Yuko hoi bin taabani huko Ukraine.Hana ubavu wa kuanzisha vita nyingine . Nimegundua huyu jamaa ni mropokaji kuliko kiduku.Nimeacha kuchukulia maneno yake seriously 🤔
Who are you!?
eti sitachukulia maneno ya Putin seriously!
are you serious !
 
Hv hujui kwamba NATO tayari wapo Ukraine na Russia anapigana na NATO
 
Kumbe Japan ni dunia nzima? Kuelewa nacho kipaji!
ww ni kilaza , Urusi huyo huyo mnamsifia kuwa anawapiga NATO huyo huyo mnamsifia anampiga Finland pia huyo huyo mnamsifia anampiga Japan pia huyo huyo mnamsifia anaeza ipiga Ukraine , ila huko Ukraine kakimbia ground war anatapatapa na strikes tu wakimsogelea anakimbia
 
angalia ukubwa wa Urusi na Ukraine , huon Urusi alikiwa anaionea Ukraine ? kwann asingewaface wakubwa wenzie
 
Marekani huyu!!! Tena kaenda kuwachonganisha Japan na Urusi wapigane ili aibe gesi na mafuta.
Marekani mbaya sana.
nahis hata ukijamba utasema ni MAREKANI , akili hamnaga kbs yaan unasikia Urusi alikalia maeneo ya Japan kimabav ila kwa unyumb wako bado unasena Marekan kachonganyisha
 
Kelele mtapiga wenyewe kipondo kinaendelea gas wananunua kwa rubles mwisho kilaza atajulikana ni nani.
Man of actions
 
kwahiyo ulitaka Japan ichekeleee tu Urusi inavo ua wa ukraine
 
Mkuu huoni aibu kudanganya umma,?
Urusi anajuwa Porojo yet Tank lake ndio User name yako.
Alipigwa na Finland ila alimega eneo, analikalia mpaka leo.
Mtu aliyepigwa huwa anamega maeneo?
 
Hv hujui kwamba NATO tayari wapo Ukraine na Russia anapigana na NATO
Sio mara ya kwanza NATO na Russia kuwa pande tofauti za vita wala sitarajii iwe mara ya mwisho.

Korean war, Vietnam, vita mbili za Israel vs Arabs hizo ndio escalations kubwa ambazo wamekutana hao mahasimu. Vietnam ilifikia hatua marubani wa Urusi wakaenda kuendesha Mig zao anga la Vietnam maana Vietcong hawakuwa na marubani.

Hapa NATO haijaingia bado inapeleka silaha. Kuwepo kwa foreign legion sio NATO ile hata wabongo wanaweza jiunga
 
Vita iliyodumu miaka 8 ulitaka Urussi aje aimalize siku moja?.
 
NYUKLIA c zake mbna mnapenda kuziweka pembeni
hata KOWAD wenu US alitumia kwahio kaeni kwakutulia
kwahio akiguswa tu anaanguka ila NATO wanashindwa kumgusa akaanguka wakati jamaa anaua tu watu bure huko UKRAINE
NATO wana malengo sio kama Urusi hanaga malengo ,ndio maana anazidiwa uchumi hata na dona country
 
Urusi aliwahi tumia Nuke wapi?
Mbona mnalazimisha ionekane kwamba yeye ndio mtumiaji wa Nuke?
Taifa pekee lililowahi tumia Nuke ni US, tena thidi ya taifa dogo Japan ( walikuwa washachoka kivita).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…