Putin; Maadui zetu mjifikirie mara mbili kwa hili bomu

Hivi unajua tofauti ya "traditional missile na high precision/hypersonic missile" wewe? Au unafikiria Hilo kombora ni kama ya ufaransa na nchi zingine, kinachoitafutisha hiyo silaha ni specifications na capability zake,jifunze kabla ya kukurupuka.
 
Hakuna nchi itagundua silaha mpya bila kuitangaza,ukiona nchi imetulia,jua hawana jipya kaka
 
Huwezi kufananisha uturuki na ujeruman au uingereza,ni vitu viwili tofauti. Nchi nilizotaja zinabuni na kutengeneza mifumo ya silaha zinazoongoza duniani,uturuki ana nin!? Zaid ananunua silaha kwa nchi zote hizo na urusi.
Ujerumani hana lolote msifie tu kwenye magari. Huyo mikataba ya kimataifa haimruhusu kumiliki hayo madude.....alikatazwa since ww2
 
Hakuna nchi itagundua silaha mpya bila kuitangaza,ukiona nchi imetulia,jua hawana jipya kaka
Mkuu Ushawahi kusikia kuna aliyekamatwa kwa kugundua silaha mpya na hakutangaza? Kwamba hakuna kabisa mwenye silaha mpya ambayo haijatambulishwa duniani?

Urusi akigundua silaha mpya asiitangaze nani atamwajibisha? USA je? Noth Korea? China ikiwa na biological lab kwa ajili ya biological weapon huko undergeound halafu asitangaze nani atamvamia ili kumwajibisha?
 
Nahisi sijakuelewa vizuri mkuu
 
Reactions: Tsh
Uk na German sahv wamekua tepe tepe.
Hao enzi zao zilikua za BERLIN CONFERENCE na scramble for AFRICA.

sahv wamebaki na legacy TU[emoji4]
Wenye uwezo kweli kweli huwa hawapigi mayowe kiasi hiki,ni sawa na maskini aliyebahatisha 10M na kuanza kuzihesabu hadharani wakati wenye nazo wanamtazama tu anavyohangaika hata kuzihesabu.
 
Technology ndo nnachoongelea sio suit na nguo za kinamama kutoka uturuki.Technology wanaianzisha mataifa ya magharibi wengine ndo wanakuja kuiendeleza,nchi unazoziita tepe tepe ndo zina utajir kuliko hizo unazoziamin.
Germany toa, nchi ya jumuiya ya ulaya yenye budget kubwa ya jeshi na anayeongoza kwa kuunda vitu ni France ambaye budget yake ni nusu ya budget ya mrusi katika mambo ya kijeshi.
Ujerumani ana tech nyingine zaidi sio mambo ya kijeshi maana alifungwa speed governor.
 
Linapoongelewa suala la nuclear power na Kuitaja ujerumani imeonyesha huna taarifa zaidi.

Hebu pitia picha hapo ujipe maarifa angalia idadi kwa upande wa Russia vs angalia idadi kwa hizo nchi ulizozitaja.View attachment 2194903
Kwa kiingereza wewe unaitwa "Ignorant" kwa sababu wewe ni mjinga.

Hizo Nuclear Warheads unazoona anazo huyo mrusi nyingi ni "Tactical Nuclear Warheads" ambazo range zake ni 300-400 miles halafu hazina madhara makubwa sana na ndio maana kazirundika nyingi kwa sababu gharama zake sio kubwa sana.

Hata yale mataifa ya Asia yenye silaha hizo nyingi zao pia ni hizo "Tactical Nuclear Warheads."

Hakuna anayeweza kuanzisha vita vya nyuklia kisha eti akabaki mshindi, nothing like that. Hivyo Putin anapiga kelele tu za bure na ndio maana anaonekana chizi.
 
Unafikiri kwa nini mpaka sasa hawajaamua kwenda vitani against Russia? Hollywood movies zisikudanganye NATO wanajua uwezo wa kijeshi wa Russia kuliko mimi na wewe tunaosoma taarifa biased mitandaoni.
Maneno mengi wakati Ukraine anawajambisha,nina nuklia nina nukliaa [emoji23][emoji23],malizana kwanza na bwana mdogo kabla hujabwekea wakubwa wa Dunia
 
Si tangia mwanzo alishatamka kwamba atakaye jaribu kuingilia hii vita atakiona na mbona wanamsaidia waziwazi na hafanyi chochote .Putin aache mikwala hizo silaha hata wezake wanazo na wapo kimya na NATO wamempa onyo akijaribu kutumia silaha za nyuki ukrein wanamfutilia mbali
 
Hawa wanakujaga na data zao za kwenye google ndiyo wanatamba nazo.Ukweli wa nani ana nini hasa hakuna ajuaye na makelele mengi ni dalili ya uoga.
 
Huyu jamaa udictetor ndio unamsumbua,ukiwa dictator huojiwi ,unaogopwa kama Mungu ,hivyo anafikiri mikwara ya nyumbani mwake itawashtua magwiji wengine ,ila kwa mkwara nampa namba moja
Na wameshamjua ni debe tupu,hawahangaiki nae
 
Hivi unajua tofauti ya "traditional missile na high precision/hypersonic missile" wewe? Au unafikiria Hilo kombora ni kama ya ufaransa na nchi zingine, kinachoitafutisha hiyo silaha ni specifications na capability zake,jifunze kabla ya kukurupuka.
Wewe 'ujuaye' kila kitu na 'mtaalamu wa silaha' hebu tuonyeshe hata baruti yako uliyotengeneza mwenyewe,tusije kuwa tunabishana tu hapa kwa maneno matupu ya kugoogle kwa kutumia tech ya Mmarekani kupata hata hizo data tunazotambiana hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…