Putin: Muda wowote tutaanza kushambulia isivyotarajiwa

Ndiyo unavyowadangaya kwenye vijiwe vya kangara?. 😂😂
 
Kumbe kutumia nyuklia inaashiria uwezo mdogo?
Kumbe us alishindwa vita na wajapan ndio maana akatumia nyuklia??
Basi putin atakua sahihi akitumia nyuklia maana anaenda kushindwa vita na us

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Mkubwa siku zote akikosea husema bahati mbaya ila mdogo atalaumiwa maisha yake yote, ingekua mrusi ndio alitumia nyuklia basi wangekua na vikwazo hadi leo hii nchini mwake

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Hilo lingewezekana kama us asingejipendekezamo

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Siyo kweli; Urusi alibnawa tangu mwanzo tu, akaishia kubadili gia angani kuwa anahamishia majeshi huko Mashariki. Marekani ilisita sana kuisaidia Ukraine silha ikiamini kuwa jeshi la urusi ni Imara sana, ila baada ya jeshi kuwa linapoteza majenerali kwa njia za kijinga ndipo Marekani ikaamua kuisaidia Ukraine baada ya miezi mitatu ya vita. Iwapo Marekani ingeisaidia Ukraine tangu mwanzo huenda kusingekuwa na vita kabisa kwani urusi ingefeykwa kabla hata jaijaaza vita kwa vile ilikuwa inafanya mobilization za kizamani sana. Angalia mobilization ya jeshi la Urusi; unadhani kama kweli Ukraine ingelikuwa na HIMARS za marekani wakati huo jeshi hili lingesalimika?

Hizo ni stor za kwenye kanga bro. Huyu jamaa kashapigwa. Kilichotokea ni kuwa sasa hiv anaenda kuwatangazia wananchi wake kuwa nchi iko vitan rasmi sio opereshen tena. Kwahiyo hakuna chaguo kila mtu ajiandae kwenda vitan muda wowote ikibid kwa lazima sio hiari. Anasema atatumia uwezo wake wote hajui pia upande wa pili wamejiandaa kwa hilo. Lakin kwasasa hiv hii ngoma inakoenda kwa mtizamo wangu huyu jamaa maisha yake ni mafupi sana. Kutoka ndan yake. nawashirika washamkchoka. Japo binafs nataman tu vita iishe. Maisha yaendelee.
 
Na walikuwa wanasafiri karibu karibu

Anachofanya sahv ni kuongeza wanajeshi kitu kitachowapa advantage kwenye idadi ya wanajeshi, ila thinking yao ya kivita na vifaa vyao vishapitwa na wakati
 
Unaielewa vizuri Urusi au unaisikia sikia tu ?? Urusi inazo silaha za nyuklia zenye uwezo wa kuziangamiza Dunia 5 zenye ukubwa kama hii Dunia !! Na Marekani naye ni Vivyo vivyo!! Je bado huoni hatari ya vita hivyo kama vitaendelea zaidi ??!! Tutaisha wote Mzee hakuna atakayesalimika !!
 
Wameishia haribu uoto
 
Nadhani ni moja ya mobilization ya kipumbavu kwenye dunia ya sasa
 
Endeleeni kujifariji
 
Na walikuwa wanasafiri karibu karibu

Anachofanya sahv ni kuongeza wanajeshi kitu kitachowapa advantage kwenye idadi ya wanajeshi, ila thinking yao ya kivita na vifaa vyao vishapitwa na wakati
Vimepitwa na wakati huku ukraine nae alikua anatumia hivyo hivyo........kwanini utumie bunduki umalize risasi zako wakati adui yako anatumia shoka tu
 
Kuwa well informed huku Russia aliamini anashinda ndani muda mfupi! Elimu yangu ni ya la 7B.
 
Kumbe kutumia nyuklia inaashiria uwezo mdogo?
Kumbe us alishindwa vita na wajapan ndio maana akatumia nyuklia??
Basi putin atakua sahihi akitumia nyuklia maana anaenda kushindwa vita na us

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app

Hakujua kuwa hana uwezo huo wa kivita, ndio maana anaenda kutumia silaha ambazo hakutarajia. Hizo nuclear alijua atatumia siku akipambana na US. Kama anaenda kutumia nuclear sasa, alingoja nini muda wote?
 
Alikua anangoja achokozwe kwenye mipango yake na us keshaingia kwenye 18 zake

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…