Putin: Muda wowote tutaanza kushambulia isivyotarajiwa

Alianza kumsaidia mapema sana hata mwezi haukuisha ndio us wakatenga bajeti ya kumsaidia,

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Russia hana jipya asaiv mtampamba tu kujipa moyo but deep down yeye yenyewe anatamani hii vita iishe maana ni aibu tu kwa sasa hamna nchi yoyote ina fear nae kwenye military fight ulaya mzma
[emoji629]The Bundestag deputy called those who support the supply of weapons to Kiev "insane".

Sarah Wagenknecht called on the federal government to get out of the spiral of escalation.

Haya kakojoe ukalale MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuklia nazo ni silaha
Akiona zinafaa kutumiwa kwanini asitumie MKUU
Hazijajengwa ziwe sehem yamaonesho zile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alianza kumsaidia mapema sana hata mwezi haukuisha ndio us wakatenga bajeti ya kumsaidia,

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Vita ilipoanza, Ukraine ilijhiandaa kwa kugawa Rifle na molotov cocktail; hawakuwa na silaha za kivita za kupambana ana kwa ana na Urusi. Marekani ilianza kwa kutaka kumhifadhi Rais wa Ukraine kwa kutegemea kuwa Ukraine isingeweza vita ile. Misaada ya silaha ilikuja baadaye sana baada ya Urusi kubwana na kushindwa kuikamata Kyiev ndipo Marekani ikaanza kutoa misaada ya silaha za kujikinga.

Silaha za mashamabulizi kama hizi Himars zimekuja baadaye sana.
 
Ukraine ni kichaka tu. Anayepigana naye ni USA + NATO 99%

Kwa msingi huu USA na malaya wake NATO wamefeli sana. Wameshindwa kuiondoa Urusi wakati walifahamu tangu vita vinaanza na walianza naye.
Vita si ya US wala NATO. Ukraine kavamiwa anataka ardhi yake. Hana silaha kadaidiwa.
Wamesaidia silaha tu si kwa kiwango kikubwa.
Na hawajatuma wanajeshi wowote
Nashanga sana ukraine anavyoondolewa kwenye picha wkt yeye ndio key player.
 
Zelensky yeye ni mshereheshaji wa vita vinavyopiganwa nchini mwake. Hadi sasa anatambua fika kuna mabeberu 30 yanapumulia nyuma ya mgongo wake na isingekuwa hao mabeberu huenda tungeshamsahau.
 
Zelensky yeye ni mshereheshaji wa vita vinavyopiganwa nchini mwake. Hadi sasa anatambua fika kuna mabeberu 30 yanapumulia nyuma ya mgongo wake na isingekuwa hao mabeberu huenda tungeshamsahau.
Sasa urusi anashindwaje kuyamaliza mabeberu kama uwezo anao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…