Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Acha roho mbayaUchafu kama huu mods wangeufuta juu kwa juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha roho mbayaUchafu kama huu mods wangeufuta juu kwa juu.
Oya....!Israel hana sababu za kuiogopa urusi ,mossad ndiye iliyoitaarifu marekani kuwa uchaguzi 2016 ulidukuliwa na majasusi wa urusi na wakatoa ushahidi ,lakini ilipofika 2020 CIA kwa kushirika MOSSAD uchaguzi ule haukuduliwa hata kidogo na majasusi wa urusi na hatimaye mshindi alipatikana kihalali ambaye ni BIDEN
Mimi nashangaa watu wanaemshabikia Putin Sasa Hivi watanzania walioHuyu dikteta hawezi kuifanya dunia kama anavyotaka anaitishia dunia na kusema yeyote anayeingilia hii vita atakumbana na kipigo kikali
Tunataka taifa kama Urusi linalopigania haki zake bila kuwaogopa mabeberu, hawana maana hawa, ni kuwapa resistance tu, walikuja Afrika wakatuharibia ustaarabu wetu , nani alitawaliwa na Mrusi?Huyu dikteta hawezi kuifanya dunia kama anavyotaka anaitishia dunia na kusema yeyote anayeingilia hii vita atakumbana na kipigo kikali
Nipe source mkuuKuna video nimeziona dah video ya kwanza mtu kafumuliwa na kombora at a close range akarushwa kama futi 20 kwenda juu na video ya pili ni dege la urusi lililoshambulia ukraine halafu likarushiwa makombora lakini hakuna hata kombora moja lililopiga ile ndege.
Kama hana sababu ya kuiogopa Russia kwa nini hakuwauzia Ukraine Iron Dome?Israel hana sababu za kuiogopa urusi ,mossad ndiye iliyoitaarifu marekani kuwa uchaguzi 2016 ulidukuliwa na majasusi wa urusi na wakatoa ushahidi ,lakini ilipofika 2020 CIA kwa kushirika MOSSAD uchaguzi ule haukuduliwa hata kidogo na majasusi wa urusi na hatimaye mshindi alipatikana kihalali ambaye ni BIDEN
Israel hadi leo ameshindwa kuivamia Iran leo ataweza kuivamia Russia tuwe serious jamanHuyu dikteta hawezi kuifanya dunia kama anavyotaka anaitishia dunia na kusema yeyote anayeingilia hii vita atakumbana na kipigo kikali
Mbona unajichanganya hizo nchi za ulaya na hiyo Austria si ndio NATO wanaopambana na Russia au?Warusi wengi ni Jews kama ilivyo kwa Austria na nchi z9ngine za Ulaya. Hivyo, usitegeme ka Israel itaingilia mgogoro wowote Ulaya kwa sasa. Israel wao wanapambana na ndugu zao wa Mashariki ya kati tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Taifa la Mungu
Wanafikiri huu ni ule wakati wa isaka na yakobo,wajilesi waone watakavyodundwa..🤣Yaani Israeli ikamchape Russia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walokole hapo ndipo wanapofeli[emoji3]Wanafikiri huu ni ule wakati wa isaka na yakobo,wajilesi waone watakavyodundwa..[emoji1787]
Unaongea ukiwa Unyamilonda baada kushiba ugali wa mchungaHuyu dikteta hawezi kuifanya dunia kama anavyotaka anaitishia dunia na kusema yeyote anayeingilia hii vita atakumbana na kipigo kikali