Putin ni tishio kwa ustawi na usalama,Israel inapaswa kumshugulikia haraka sana

Putin ni tishio kwa ustawi na usalama,Israel inapaswa kumshugulikia haraka sana

Kuna video nimeziona dah video ya kwanza mtu kafumuliwa na kombora at a close range akarushwa kama futi 20 kwenda juu na video ya pili ni dege la urusi lililoshambulia ukraine halafu likarushiwa makombora lakini hakuna hata kombora moja lililopiga ile ndege.
 
Israel hana sababu za kuiogopa urusi ,mossad ndiye iliyoitaarifu marekani kuwa uchaguzi 2016 ulidukuliwa na majasusi wa urusi na wakatoa ushahidi ,lakini ilipofika 2020 CIA kwa kushirika MOSSAD uchaguzi ule haukuduliwa hata kidogo na majasusi wa urusi na hatimaye mshindi alipatikana kihalali ambaye ni BIDEN
Oya....!
IMG_20220223_234809.jpg
 
Israel ajaribu aone Cha Moto ni mazwazwa tu ndo hua wanaamini Israel Ana nguvu ya kijeshi
 
Huyu dikteta hawezi kuifanya dunia kama anavyotaka anaitishia dunia na kusema yeyote anayeingilia hii vita atakumbana na kipigo kikali
Mimi nashangaa watu wanaemshabikia Putin Sasa Hivi watanzania walio
Ukraine na Russia wapo desperate ubalozi umefungwa its horrible na mama samia hakuwapa warning au kuwarudisha nyumbani
 
Huyu dikteta hawezi kuifanya dunia kama anavyotaka anaitishia dunia na kusema yeyote anayeingilia hii vita atakumbana na kipigo kikali
Tunataka taifa kama Urusi linalopigania haki zake bila kuwaogopa mabeberu, hawana maana hawa, ni kuwapa resistance tu, walikuja Afrika wakatuharibia ustaarabu wetu , nani alitawaliwa na Mrusi?
 
Kuna video nimeziona dah video ya kwanza mtu kafumuliwa na kombora at a close range akarushwa kama futi 20 kwenda juu na video ya pili ni dege la urusi lililoshambulia ukraine halafu likarushiwa makombora lakini hakuna hata kombora moja lililopiga ile ndege.
Nipe source mkuu
 
Israel hana sababu za kuiogopa urusi ,mossad ndiye iliyoitaarifu marekani kuwa uchaguzi 2016 ulidukuliwa na majasusi wa urusi na wakatoa ushahidi ,lakini ilipofika 2020 CIA kwa kushirika MOSSAD uchaguzi ule haukuduliwa hata kidogo na majasusi wa urusi na hatimaye mshindi alipatikana kihalali ambaye ni BIDEN
Kama hana sababu ya kuiogopa Russia kwa nini hakuwauzia Ukraine Iron Dome?
 
JUST IN - German Defense Minister Lambrecht fears #Putin is no longer afraid of attacking NATO partners.

Lambrecht: "He is not predictable at all right now."
 
Wayahudi ni waoga sana kwenye vita , with me matter of fact fungua maandiko uone asili yao pindi wanapokutana na wababe wa vita.

Vita vyao wanapenda wapigane nyuma ya ukuta (by using military aircraft n drones) na si ana kwa ana.

Wakikutana na watu ambao sio waoga kufa n hv more advanced weapons ni lazima wakae.

Warusi ni watu waliozoea vita ,infact wengi wao wamehudumu kwenye jeshi lao kupitia mafunzo ya lazima ya kijeshi.
 
Warusi wengi ni Jews kama ilivyo kwa Austria na nchi z9ngine za Ulaya. Hivyo, usitegeme ka Israel itaingilia mgogoro wowote Ulaya kwa sasa. Israel wao wanapambana na ndugu zao wa Mashariki ya kati tu.
Mbona unajichanganya hizo nchi za ulaya na hiyo Austria si ndio NATO wanaopambana na Russia au?
 
Mimi mmakonde ngoja nishughulike na dogo langu aliyemuandikia mwalimu mkuu barua ya kuacha shule
Nyinyi wachina weusi, waisrael weusi, warusi weusi, wamarekani weusi acheni niwaache na mambo ya ndugu zenu
 
Back
Top Bottom