mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Kwani sasa aliyempindua huyo Assad ni nani kama siyo IsraelRussia akiamua kumaliza vita anaweza anapiga tu nuclear moja kazi imeisha. Otherwise Russia akiingilia hii vita pengine ndio utakua mwisho wa ubabe wa Israel hapo middle East.
Syria alipoingia Russia ndio vita ikabadili upepo hata hao Israel wakashindwa mpindua Assad!! Russia match yake ni USA/China sio hao wayahudi.
Usitulishe matango pori.Mwaka 3.5 bado hajaiteka Ukraine.
Ninaamini Russia kwa Israel atachezea mpini sana.
Lingine, ni ngumu Russia na Israel kuingia vitani moja kwa moja.
Na hawawezi kupigana kamwe. Watakuwa wanatumia hiyo method ya proxy war tu hivyo hivyo Sio waingie front wenyeweNilishasema Urusi na USA na China ni kitu kimoja
Ni baada ya urusi kuamua. Before ilikuwa ni battle ya US na Russia. Hapo ndo pakawa patamu kukawa na stand off kama zote. Mwisho wa siku US akabaki OffKwani sasa aliyempindua huyo Assad ni nani kama siyo Israel
Wakati juzi Asad anapinduliwa Rusia alikuwa wapi?Russia akiamua kumaliza vita anaweza anapiga tu nuclear moja kazi imeisha. Otherwise Russia akiingilia hii vita pengine ndio utakua mwisho wa ubabe wa Israel hapo middle East.
Syria alipoingia Russia ndio vita ikabadili upepo hata hao Israel wakashindwa mpindua Assad!! Russia match yake ni USA/China sio hao wayahudi.
Urusi kuamua wakati base zake alijaribu kupambana akaambulia patupu?Ni baada ya urusi kuamua. Before ilikuwa ni battle ya US na Russia. Hapo ndo pakawa patamu kukawa na stand off kama zote. Mwisho wa siku US akabaki Off
Akipiga nuclear na wenzie wanapiga ndio inakua mwisho wa urusiRussia akiamua kumaliza vita anaweza anapiga tu nuclear moja kazi imeisha. Otherwise Russia akiingilia hii vita pengine ndio utakua mwisho wa ubabe wa Israel hapo middle East.
Syria alipoingia Russia ndio vita ikabadili upepo hata hao Israel wakashindwa mpindua Assad!! Russia match yake ni USA/China sio hao wayahudi.
kabisa jamaaHu
Huijui vizuri urusi Wewe , kwenye rada na makombora. Hii Dunia nzima kilee chuma hakuna mpinzani. Marekani Yuko vizuri sana kwenye Jet(fighters)na bombers no offense ila ukija kwenye rada na missile Russia Sio wa Dunia hii.
Yes lakini Israel itakua devastated kuliko Urusi ambayo ina watu mara 100 ya waliopo Israel!!! So wanauwezo wa kuanza upyaAkipiga nuclear na wenzie wanapiga ndio inakua mwisho wa urusi
Nimejikuta nataka ku reply hivi ile umeshamaliza. Yaani kule zinapigwa tu fresh alafu anataka kutudanganya akipewa mziki wa ISRAEL atauweza kweliUrusi yenyewe inatandikwa na Ukreine kwenye anga lake ndio ataweza kuzuia ndege za Israeli zisitambe kwenye anga la Iran.
Hujui kitu, Russia walisema wazi kabisa hawatoingilia na waliondoa silaha na wanajeshi wao kutoka kwenye "defensive lines".Wakati juzi Asad anapinduliwa Rusia alikuwa wapi?
Russia ilijitoa kumsaidia Assad, na hao waliompindua ni al qaeda (HTS) formerly Al Nussra front wakiwa na support ya Marekani, SDF ya kurds na majeshi mengine ya ulaya.Kwani sasa aliyempindua huyo Assad ni nani kama siyo Israel
Sababu Ukraine kuna nchi zaidi ya 9 zinamsaidia. Hao Russia si wali beep tu siku moja kujaribu WMDs zake ikabidi hadi USA aondoe msaada wa long range missiles kushoot deep inside Russia!!Mwaka 3.5 bado hajaiteka Ukraine.
Ninaamini Russia kwa Israel atachezea mpini sana.
Wanatupoteza sisi maboyaNa hawawezi kupigana kamwe. Watakuwa wanatumia hiyo method ya proxy war tu hivyo hivyo Sio waingie front wenyewe
Wa Israel wapo nchi zote ulaya na marekani Kwa wingi sanaa ndio wamejaa kama kigezo Cha kuanza upya mbona wataanza upya tu halafu muulize Putin yupo tayari kufa jibu namba Moja atakuambia hapana chezea kifo weyeYes lakini Israel itakua devastated kuliko Urusi ambayo ina watu mara 100 ya waliopo Israel!!! So wanauwezo wa kuanza upya
Hukufuatilia pekeako.Hujui kitu, Russia walisema wazi kabisa hawatoingilia na waliondoa silaha na wanajeshi wao kutoka kwenye "defensive lines".
So vita ikawa imeshaisha.
Kwani Wachina na warusi si wapo mamilion zaidi nchi zingine? In fact ukienda USA wachina na wahindi ni wengi kuliko jamii yoyote ilie!! Meaning hao Israel waliopo USA hata waki survive bado watakua 0.01 ya Population ya surviving Russians!!Wa Israel wapo nchi zote ulaya na marekani Kwa wingi sanaa ndio wamejaa kama kigezo Cha kuanza upya mbona wataanza upya tu
Kumbe unajua kuisha watu hawawezi kuisha halafu huyo urusi muoga wa kifo vita yake imemshinda huko Ukraine Kila siku anapasuliwa ndio akamguse muisrael unaota weweKwani Wachina na warusi si wapo mamilion zaidi nchi zingine? In fact ukienda USA wachina na wahindi ni wengi kuliko jamii yoyote ilie!! Meaning hao Israel waliopo USA hata waki survive bado watakua 0.01 ya Population ya surviving Russians!!
Jichanganyeni muishe
Iran. Ana vifaa Gani Bora vya kijeshi,ukitoa zilee droni za shaheed ambazo hata hazifikii ubora wa MQ- reaper 09 hata Nusu..!? Yalee ma ballistic missile ndo vifaa Bora vya kijeshi..!? Irani ana rada Gani Kali au ndege Gani ya kizazi Cha Tano(5th generation fighter)..!? Irani Hii ambayo Haina hata mfumo wa maana wa Anga Israeli inaingia na kutoka inavyo taka kwenye anga yake kwa ndege za kimarekani ndo unasema wanamfuno Bora wa nga..!? Kiukweli Irani Haina military tech zozote za kutisha kiasi hiko. Irani ni kama North Korea tu. Wana moral,kujiamini na spirit ya hatuna Cha kupoteza basi. Sio vifaa Bora vya kijeshi ukicompare na Israel au USHii vita inatufundisha sana juu ya aina ya uwekezaji kijeshi.
Wekeza kwenye intelijensia na sio vifaa pekee vya kijeshi.
Irani ina vifaa bora vya kijeshi lkn inapigana kwa kurusha hovyo bila target za kumpunguza ngu adui, atapiga nyumba za makazi badala ya kuangamiza silaha na miundombinu ya silaha na watumiaji wake.
Wakati Israel anaangamiza miundombinu ya silaha na viongozi wa kijeshi
Uko serious kabisa kwamba Russia angeamua kuingia miguu miwili Syria hao wayahudi wangeshinda?Hukufuatilia pekeako.
Jeshi la Putin lilijitahidi kuzuia wanamgambo wasiifikie Ikulu lakini lilizidiwa nguvu.
Baadae waka muescort Asad kukimbilia Rusia kisha na yeye akaanza kufunga kambi zake. Putin kabanwa huko Ukrain hangeweza kumaintain vita 2.
.huoni hata wanamgambo wake waliokuwa huko Afrika ya kaskazini wamebwaga manyanga?