Sio kweli Iran ilikataa kuuziwa mfumo wa S 400 ikaopt mfumo wao wa Ulinzi wa Anga wa ndani unao itwa walio tengenrza wenyewe(indigenous ) unaitwa Bavar . So Iran walikuwa na S 300 na Bavar Sio S 400 ambayo ndo mfumo tishio kwa Sasa. Swala la kuangusha ndege . Ni kwa Sababu Israel alishambulia akiwa nje ya Kill zone ya ADS . Hakuingia kwenye Anga ya Iran. Alitumia Beyond Visual Range weapons. Hayo ni makombora yanaweza kupiga Target ilio Hadi umbali wa kwa zaidi ya miles 120(200 Km) mfano Meteor Missile,.Mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi ni ya kawaida sana. Ni ile ya kuzsaidia kuzuia zana za kawaida kama dtones, na siyo makombora kama supersonic au hizo ndege zisizoonekana kwenye radar. Iran ilikuwa inatumia mifumo ya ulinzi wa anga iliyotengenezwa urusi, ya S300 na S400, yote ilishindwa kuangusha hata ndege moja ya Israel wakati wa shambulio la kwanza, ikaishia na yenyewe kuchakazwa.
USA alipiga atomic Japan, je alifanywa nini? Hii dunia ina double standards na unafiki mwinginsanaMaamuzi ya kupiga NUKE si kama kumsukuma mlevi apepesuke na hata akipiga nadhani inaweza kuwa ni mwanzo wa vita kubwa mno na dunia inayomzunguka badala ya mwisho.
Bajeti za ulinzi wa Iran na Koread DPR utalinganisha say na bajeti walioweka ujerumani pekee.😂 😂 Mbona Rusia nae ana surpotiwa na Iran na North Korea?
Amini usiamini Urusi na Israel ni ndugu wa karibu kwa asilimia 60, wayahudi ni wengi sana Russia kuliko unavozani, Iran hakukataa kwa bahati mbaya, ,, mfano Mmoja ni yule tajili myahudi wa Chelsea aliyehamia Israel na ukaribu wake na Putin, ....Putin myahudi pia!Vladimir Putin amesema kuwa Iran haijaonyesha nia ya kushirikiana na Urusi katika mifumo ya ulinzi wa anga.
Siku ya Jumatano tarehe 18 mwezi Juni 2025 , Rais wa Urusi aliandaa kikao na wahariri wakuu wa mashirika ya habari, ambapo suala la vita vya Israel na Iran lilijadiliwa.
Kuhusu usaidizi kwa ulinzi wa anga wa Iran amesema: "Tuliwahi kutoa pendekezo kwa marafiki zetu wa Iran kwamba tushirikiane katika uga wa mifumo ya ulinzi wa anga, lakini washirika wetu hawakuonyesha nia kubwa wakati huo, na ndivyo ilivyokuwa."
Bw. Putin pia alisema: "Pendekezo letu lilikuwa kuunda mfumo kamili, sio uwasilishaji tofauti wa vifaa; mfumo mmoja.
Mwishowe, tulizingatia suala hili mara moja tu, lakini upande wa Iran haukuonyesha nia kubwa na suala hilo lilisitishwa.
Sasa akitumia tactical nukes vita haitoisha leo? Maana yake hataki vita iwe escalated ila it's obvious Ukraine is losing the war. Hata trump ameshakata tamaa anataka tu Ukraine ikubali kupoteza baadhi ya majimboHizo kelele za russia akiamua kumaliza bita mwaka wa tatu huu zinasemwa watu mbali mbali. Vita inamaliza uchumi, resources za nchi , let alone idadi ya watu
Kama russia angekuwa na uwezo angshamaliza waay back, kabla hata ukraine haijapata msaada wowote
Hujui lolote hiyo urusi kipindi cha Russian revolution walichinja wayahudi wa kutosha hadi wakatorokea Eastern Europe huko. Baada ya Hitler. Wayahudi wengi zaidi walichinjwa na MrusiAmini usiamini Urusi na Israel ni ndugu wa karibu kwa asilimia 60, wayahudi ni wengi sana Russia kuliko unavozani, Iran hakukataa kwa bahati mbaya, ,, mfano Mmoja ni yule tajili myahudi wa Chelsea aliyehamia Israel na ukaribu wake na Putin, ....Putin myahudi pia!
Rudi soma biblia ya wakatoriki yenye vitabu 72 utaelewa ninachomaanisha
Tatizo Israel anazo Nukes na sio siriRussia akiamua kumaliza vita anaweza anapiga tu nuclear moja kazi imeisha. Otherwise Russia akiingilia hii vita pengine ndio utakua mwisho wa ubabe wa Israel hapo middle East.
Syria alipoingia Russia ndio vita ikabadili upepo hata hao Israel wakashindwa mpindua Assad!! Russia match yake ni USA/China sio hao wayahudi.
Nmekuuliza swali dogo, kipindi Israel anapiga mabomu Syria uliwahi sikia amegusa mwanajeshi au kambi ya mrusi. Mpaka leo Russia ana kambi Syria ila Israel hana ubavu wa kurusha hata jiwe tu. Alikua anashambulia silaha za Iran na Assad pekee!!kwa taarifa yako ujue Russia inaiogopa Israel na ujue bila Israel hakuna Russia.
Yeah wao ni halali ila kwa Iran ni haramu!!Tatizo Israel anazo Nukes na sio siri
Ukraine si ndio kavamiwa lakini?Urusi hamna kitu wewe Kila siku anachezea kichapo na ka nchi kama Ukraine mwaka wa 5 huu unaenda hamna kitu huyo mpaka anakodi wanajeshi korea supa pawa wa mchongo
No body anaudhubutu wa kutumia tactical nukes mzee baba, hakuna taifa lenye nuke linatamani hiyo silaha japo wanazoSasa akitumia tactical nukes vita haitoisha leo? Maana yake hataki vita iwe escalated ila it's obvious Ukraine is losing the war. Hata trump ameshakata tamaa anataka tu Ukraine ikubali kupoteza baadhi ya majimbo
Sasa mpka upige nyuklia si ndio kufeli kwenye huko ww unataka husema marekani Leo au hata china Tu akipigana na Ukraine mpaka atumie nuclear? .....hicho kilichomkwamisha Russia ndio hicho hicho kinachomkwamisha Israel hawata Kwa Iran hawataki kuuwa raia wasio na hatia wanapigana ki mkakati hiyo ndio sifa ya taifa kubwa wanatumia akili sio mihemko Israel ana nyuklia pale but anashambuliwa but hawezi kutumia ila atashindaRussia akiamua kumaliza vita anaweza anapiga tu nuclear moja kazi imeisha. Otherwise Russia akiingilia hii vita pengine ndio utakua mwisho wa ubabe wa Israel hapo middle East.
Syria alipoingia Russia ndio vita ikabadili upepo hata hao Israel wakashindwa mpindua Assad!! Russia match yake ni USA/China sio hao wayahudi.
Sababu ni zipi?Lingine, ni ngumu Russia na Israel kuingia vitani moja kwa moja.
Bila US + NATO mpaka Leo Ukraine isingekuwepo. Unajua Mifumo ya HIMARS Na Armour car aina ya Bradley Vehicle zilivyo saidia Merchandize brigade za Ukraine kuresist ..!? Unajua bila Hao unao sema ni fake friend mpaka Leo tungekuwa tumesha sahau kama Ukraine ilipigana na Russia ..?Ukiwa rafiki wa USA,CHINA na URUSI jua unarafiki wakati wa raha na wakati unapogombana nchi changa vingenevyo utaiimbiwa nyimbo tu
Ukiwa rafiki wa USA,CHINA na URUSI jua unarafiki wakati wa raha na wakati unapogombana nchi changa vingenevyo utaiimbiwa nyimbo tu
AbsolutelyNo body anaudhubutu wa kutumia tactical nukes mzee baba, hakuna taifa lenye nuke linatamani hiyo silaha japo wanazo
noe west not russio or china, wataishia kutisha
Nyimbo zenyewe ndo hizoo.👇👇Ukiwa rafiki wa USA,CHINA na URUSI jua unarafiki wakati wa raha na wakati unapogombana nchi changa vingenevyo utaiimbiwa nyimbo tu
Hawana Sababu ya kupigana..!!Sababu ni zipi?
Mabomu yake yameuwa watu zaidi ya 200 hao wote ni viongozi wa nchi?Hii vita inatufundisha sana juu ya aina ya uwekezaji kijeshi.
Wekeza kwenye intelijensia na sio vifaa pekee vya kijeshi.
Irani ina vifaa bora vya kijeshi lkn inapigana kwa kurusha hovyo bila target za kumpunguza ngu adui, atapiga nyumba za makazi badala ya kuangamiza silaha na miundombinu ya silaha na watumiaji wake.
Wakati Israel anaangamiza miundombinu ya silaha na viongozi wa kijeshi
Hata makombora ya iran yanatamba kwenye ardhi ya IsraelUrusi yenyewe inatandikwa na Ukreine kwenye anga lake ndio ataweza kuzuia ndege za Israeli zisitambe kwenye anga la Iran.
Unasahau kusema kwamba alikua pia akishambulia kambi za Iran zilizokuwa Syria na wala S-400 za Russia hazikumsaidia muiran.Nmekuuliza swali dogo, kipindi Israel anapiga mabomu Syria uliwahi sikia amegusa mwanajeshi au kambi ya mrusi. Mpaka leo Russia ana kambi Syria ila Israel hana ubavu wa kurusha hata jiwe tu. Alikua anashambulia silaha za Iran na Assad pekee!!
Unadhani kwanini?