PUTIN vs NETANYAHU: Njooni tumalize ubishi wa miamba hii miwili ya dunia

Waislamu wanamuonaga putin kama mtume wao na wanachuki na Netanyahuu wanamuona kama adui wa uislamu
Mimi sio muislam soma post ya #96, na pia Netanyahu sio mkristo. Hivyo haina haja ya kuhamisha magoli.

Mada ni Putin au Netanyahu, huna jibu unapita kimya kimya kusoma comment tu.
 
Attachments

  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    107.9 KB · Views: 2
Nenda kafuatilie news sipo hapa kukuchambulia habari muwe kama hujui english siyo kosa langu
Suala la Urusi kutaka kuingilia uchaguzi 2016 lilijulikana kabla ya uchaguzi kufanyika. Sidhani kama FBI au CIA wangekubali Urusi ifanikiwe kuweka kibaraka wake pale U.S.A. Hivyo, naweza kusema Russia (Putin) kama alikuwa na ajenda ya kuweka pandikizi nchini Marekani basi ilikwama.
 
Mambo
Ukiwekeza vizuri , ktk nyumba za kupangisha utakula Kodi Hadi una kufa ,Israel analetewa silaha analindwa maana ndivyo Mungu alihaidi

Putin hakuna kitu ,ni jina tu tangu aweke machuma chuma yake hapo Syria Iran Nyau anapita humohumo Kila siku Syria air port inapigwa na air defense ipo huwezi kuona picha kama kusoma
 
Brother wengi hawajui mengi kuhusu Israel iko hivi ngoja nikwambie Jambo ukitaka kujua Israel walivyo hatari mwambieni Putin apeleke jeshi kusaidia Hamas nakuhakikishia ndani ya mda mfupi mtaona kitacho mkuta Putin nikukumbushe ndani ya jeshi la Russia wapo wayahudi hata prigozhin alikua muyahudi brother yaan Israel kwenye Vita usiombe kukutana nao alafu nitanyahu wengi hawajui Kuna nchi mbili ambazo Ni Vatican na Israel Hawa ndo wenye pesa duniani marekani Hana hela ameshafirisika et wanasaidiwa na marekani eeh pole kwa kutokujua Mambo marekani ndiye hawezi simama bila Israel mifumo yote yakivita kifedha marekani wasimamizi wakuu Ni wayahudi afu Israel ikose pesa note Israel imekuepo kabla ya marekani na hata hao urusi eeh Mimi nakwambia mwambieni Putin apeleke jeshi kusaidia Hamas pale ndo utaona maisha yake yatakavyo kua mafupi
Aliye kwambia kuwa mtu akiwa myahudi basi ni Muisrael na anatakiwa kutumikia maslahi ya Israel ni nani?
Wayahudi walioko Urusi ni warusi na sio wa Israel na wanafanya mambo kwa maslahi ya Urusi na si Israel.
 
Uchambuzi wako unatokana na chuki uliyonayo kwa Israel! Kulimlinganisha

Putin na Netanyahu kwa lengo la kumdharirisha Netanyahu sidhani kama uchambuzi wako uko fair!

Kwanza ukiachia Urafiki wa karibu wa Putin na Netanyahu,wote wawili waanafanana misimamo wote ni wazalendo halisi wa nchi zao! Wako tayari kufa wakipigania maslahi ya nchi zao kwa gharama yo yote.

Wakati Putin anapambana na Mataifa yenye nguvu kijeshi na kiuchumi yakiongozwa na US

Netanyahu anapambana na Mataifa yenye utajiri wa Mafuta na Silaha hatari yakiongozwa na Iran.

Hata kama unamsimanga Netanyahu,bado anaongoza Taifa lenye uwezo wa hali ya juu kiteknolojia na kisayansi kulinganisha na Russia ambayo haina teknolojia ya juu sana kulinganisha na Israel.

Kwa hayo machache ambayo muda hautoshi kueleza mengi sioni tofauti ya Putin na Netanyahu.
Israel ina teknolojia gani ya juu kuizidi Urusi?
Hebu katafute orodha ya nchi zenye teknolojia ya hali ya juu uone kama Israel yupo hata kumi bora?

Israel inazidiwa mpaka na Taiwan ndo uje kumlinganisha na Urusi.
 
Ah
Sasa kama unasema tukio halina ushahidi wewe unapata wapi ushahidi wa kuandika haya?

Ama kweli ujinga ni mzigo.
🤣🤣🤣 Hatari Sana Wana sifu Iran kapewa chai ,mnataka ushahidi ,Nyau akishafanya yake hukaa kimya mtafute Majibu wenyewe kama alivyopiga air base ya Iran kwani alisema kitu si mlisema wenyewe tumepigwa bila kuona hata tumepigwaje na hii mtasema tu muda ni Mwalimu

Alafu mrusi si alipereka jeshi Syria je limefanya nn pale ,Nyau anapiga airport Kila uchao na Putin Yuko hapo hapo na S 400 kopo kopo
Chezea Nyau ww hao mgambo Hezbollah Hamas sio mgambo unavyowaza ww ni jeshi liko kiraia gambo anakuwa na kirungu hao Wana piga misille s Bado wakula kipigo tu
 
hata iran mlikiwa mnamsifia kama putin cha ajabu mmekiona juzi tu apo limepigwa tukio alafu hata ushaidi halina mnabaki tu kusema ooh ooh ilifeli mala ayatollah kumuangusha bla bla kibao wakati alichokoza mzinga wa nyuki.
Siku baba yako akifa naye atakuwa amepigwa tukio na Israel?
 
Aliye kwambia kuwa mtu akiwa myahudi basi ni Muisrael na anatakiwa kutumikia maslahi ya Israel ni nani?
Wayahudi walioko Urusi ni warusi na sio wa Israel na wanafanya mambo kwa maslahi ya Urusi na si Israel.
Asipokuelewa mwache na upumbavu wake.
 
Waulize Iran na Hamas wanamjua Netanyahau.
Urusi soko la silaha limekufa baada ya kuwa anapigwa na Ukraine air defense S400 na mengine yanapigwa na vi dron zinaingia Hadi Moscow nani anataka mabati bati yake ,ndege meli vita karibu zinaisha ,amebaki kutishia nyuklia kupiga Ukraine yaani ni sawa unapigana na katoto alafu unaokota mawe ili ukapige kwa mawe huyo ndo Putin Hana tecnologia kyshinda Israel , soma history ya Israel ni mpango wa Mungu
umemwona Iran katulia ajichanganye tena kama Nyau hajawasha base zake zote ogopa Mtu anapiga eneo lenye Ulinzi mji mkuu ni kama ikulu Hilo ni onyo kwamba ww bado Sana pamoja na kurusha makombora na drone 350
 
Ah
Sasa kama unasema tukio halina ushahidi wewe unapata wapi ushahidi wa kuandika haya?

Ama kweli ujinga ni mzigo.
🤣🤣🤣 Hatari Sana Wana sifu Iran kapewa chai ,mnataka ushahidi ,Nyau akishafanya yake hukaa kimya mtafute Majibu wenyewe kama alivyopiga air base ya Iran kwani alisema kitu si mlisema wenyewe tumepigwa bila kuona hata tumepigwaje na hii mtasema tu muda ni Mwalimu

Alafu mrusi si alipereka jeshi Syria je limefanya nn pale ,Nyau anapiga airport Kila uchao na Putin Yuko hapo hapo na S 400 kopo kopo
Chezea Nyau ww hao mgambo Hezbollah Hamas sio mgambo unavyowaza ww ni jeshi liko kiraia gambo anakuwa na kirungu hao Wana piga misille s Bado wakula kipigo
Waulize Iran na Hamas wanamjua Netanyahau.
 
Sijui kama umesoma vizuri uzi hapo juu mkuu.

Jeshi la hitler liliwachinja waisrael kama vile mbuzi wanavyochinjwa kila siku pale Vingunguti machinjioni.

Jeshi la hitler lilivamia ufaransa, poland na nchi karibia zote wakateka miji na kufanya maangamizi makubwa.

Lakini jeshi hilo hilo la hitler lilishindwa vita na kuangamizwa vibaya na warusi hadi kupelekea kurudi nyuma na kupoteana.

So unapokuja kuandika kitu uwe na uhakika wa kujua unacho comment sio uandike tu kwa vile umelishwa propaganda za Israel na wenzako.

Israel bila Marekani, Ulaya na Nato ni sawa sawa na simba kibogoyo ambae hawezi kukamata windo na kulila.
IPO wazi #WARAKA WA WAROMA👊
 
Niaje waungwana

Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake.

Ubishi wenyewe unahusu miamba miwili yenye roho ngumu, maamuzi mazito na misimamo mikali isiyoyumba, wala kuyumbishwa na watu wengine. Na miaka hiyo sio mingine isipokuwa ni raisi wa Russia Vladimir Putin na waziri mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu.

Kwanza kabla ya watu wengine hawajaingia hapa kutoa maoni yao kuhusu nani bora kati ya raisi Putin na waziri mkuu Netanyahu, naomba kwanza na mimi na mimi nitoe maoni yangu juu ya nani zaidi ya mwenzake.

1. Nikianza na raisi Vladimir Putin, huyu kwangu ni mwamba kweli kweli ambae kumlinganisha na bwege mpenda kulia lia kama Netanyahu ni kumkosea heshima Putin. Netanyahu ni mchumba na hawezi kufit kwa Putin hata kwa nusu ya sifa zake.

Putin ni kiongozi makini, mwenye akili kubwa, misimamo thabiti na intelejensia kali kuliko Netanyahu. Kwa kuthibitisha hili angalia uchaguzi wa uraisi wa 2016 alivyoweza kupachika vijana wake katika mifumo ya Marekani ili wamletee raisi anaemtaka yeye. Ni nani mwengine katika dunia ya leo mwenye uwezo wa kufanya kile alichofanya Putin, tena ndani ya ardhi ya Marekani na mifumo imara ya Marekani? Ni nani mungine?

I hope jibu hakuna maana hata China imeshajaribu kutuma mpaka maputo ili na yenyewe ifanye yake lakini yote yakashushwa. So Putin yeye aliweza tena kwa kuingilia mifumo ya ndani ya nchi bila kugundulika mpaka pale mission yake ilipokamilika, ndo alipokuja kushtukiwa ila akawa ashafanikiwa kwa 100%.

Tukija kwenye misimamo thabiti, jamaa amesimamia kile anachoamini yeye tu, bila kujali vitisho, vikwazo na kelele za nchi za magharibi including NATO. Ameingia nchini Ukraine kukamilisha mission zake bila kujali kelele za mtu yoyote. Si Marekani, NATO wala Umoja wa Ulaya aliethubutu kuingiza jeshi lake Ukraine kupambana na uvamizi wa Russia. Sana sana wameishia kutuma visilaha tu ili kujaribu kudhoofisha mission zake bila mafanikio.

Putin hajawahi kulia hadharani kuwa kaishiwa silaha au mbinu za kijeshi, NEVER. Yeye ni kutoa dozi tu na kusonga mbele daima, huku Marekani na washirika wake wakiendelea kuangamiza silaha zao kuipa Ukraine ili iizuie Ruusia kusonga mbele bila mafanikio.

Putin yeye anapambana na nchi kamili yenye raisi wake, serikali yake, jeshi lake (lenye mamilioni ya wanajeshi), silaha zake (za zamani na kisasa), ulinzi wake (juu na ardhini) Lakini bado haoneshi kushindwa wala kurudi nyuma. Nchi yake bado imeendelea kuogopwa hata na nchi zinazojifanya ni watemi wa dunia. Pia maangamizi yake yamekuwa yakiwalenga zaidi adui zake (wanajeshi na viongozi wa serikali) ikitokea raia ameuwawa basi ni kwa bahati mbaya ile tunaita ajali kazini. Ndiomaana toka vita vianze wanajeshi waliouwawa na wengi kuliko raia wa kawaida.

Putin pamoja na kuwa katika vita vinavyoshirikisha mataifa kibao ya Ulaya kuwa upande wa adui yake, lakini bado economic yake ipo imara mno, na ni nchi ya tatu kwa bajeti kubwa ya kijeshi duniani baada ya Marekani na China. Nchi yake haitegemei bajeti ya kijeshi kutoka nchi yoyote ile hapa duniani. Inajisimamia yenyewe miaka yote ya utawala wa Putin.

2. Tukija kwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu, huyu kwangu ni mchumba tu mbele ya Putin, kwa sababu maamuzi yake hutegemea misimamo ya magharibi inasemaje. Yani inaonesha wazi kuwa huwa anapewa maelekeza ya nini cha kufanya na wakubwa zake kutoka huko West, na haswa Marekani.

Kila analolifanya Netanyahu sio ni la kwake bali ni la waliomtuma. Ndomaana wanapocheleweshaga kumtumia silaha za kufanikisha mission aliyopewa, hukimbilia katika vyombo vya habari na kuanza kulalamika kuwa wanamtelekeza na kumuacha apambane kivyake bila msaada wao.

Tukiachana na lile tukio la Oktoba 7, huko nyuma kabla ya Oktoba 7 jeshi la Netanyahu lilikuwa linatumika kwenda kuvamia makazi ya raia wasiokuwa na hatia, wala silaha yoyote zaidi ya mawe huko WEST BANK (katika ardhi inayokaliwa kimabavu na Israel) kuwachomoa watu katika nyumba zao, kuwapiga, kuwakata, kuwatesa na wengine kuwaua. Halafu nyumba zilizovamiwa walipewa waisrael waziishi. Sasa kiongozi (Netanyahu) unakuaje mahiri kwa kuongoza jeshi linalovamia tu raia na kuua ua hovyo eti kisa waliovamiwa wameokota mawe kuwarushia ili kupinga uvamizi?

Netanyahu na jeshi lake lenye wanajeshi zaidi ya laki 2, na wengine wa akiba wamekuwa wakitumia vifaru, meli za kivita, ndege zisizokuwa na rubani pamoja na silaha zingine nyingi za kisasa wanazopewa na Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Uholanzi na Canada kufanya mashambulizi ya kupambana na kundi la vijana elf 20 wa Hamas ambao wanatumia silaha za kawaida zilizoundwa kienyeji na wenyewe ili kujilinda. Lakini mpaka sasa Netanyahu amekuwa akionekana kuua watoto wengi na wanawake wasiokuwa na hatia bila kufikia lengo alilolipanga Netanyahu la kuhakikisha mateka wote wamepatikana katika muda mfupi aliopanga.

Netanyahu bado anategemea hela za bajeti ya jeshi, na uchumi wake zitoke katika mataifa mengine ya Ulaya ili aweze kuwalipa wanajeshi wake, kuongeza baadhi ya silaha na zingine ziishie katika tumbo lake na team yake.

So kumfananisha Putin na Netanyahu ni sawa na kumlinganisha hayati mwl Nyerere na bwana mdogo Pole pole hata kama Pole pole anajaribu kuvaa uhalisia wa mwl Nyerere.

Toa na wewe maoni yako, nikatawakilishe mtaani kwa kuangalia wingi wa comment zinazomkubali mmoja wapo ili tumalize ubishi na kufunga mjadala.

Karibuni sana...
Ww hapo unahema kwasababu ya Netanyahu anapambana na magaidi wafia dini ww mawazo yako ni ya kichumba kichumba israel unawajua ww au unawafananisha na washamba washamba ambao wana ndoto ya kupewa wanawake 72 pepon halafu wake zao wanapewa ......nishie hapo
 
Tofautisha kati ya kupewa na chako kikiwa mkononi,Israel ana technology hana pesa tuu.
Israel wanaipa sifa nying ambazo 70% ni za uongo. Nchi zenye teknolojia kubwa duniani zinajulikana kwa matendo yao.

Nchi kama China inateknolojia kubwa mpaka Marekani na Ulaya zinaihofia. Inakuwa wakiona puto tu juu wanaanza kupambana nalo wakizani limetumwa na China kuchota siri za nchi 😂😂😂

Pamoja na yote hauwezi kusikia wanatengeneza propaganda za kuwasifia na kuwaogopa kama wafanyavyo waisrael ambao kiuhalisia hawana lolote la maana zaidi ya kutegemea msaada wa kiteknolojia, kijeshi na kiuchumi kutoka Marekani na Ulaya.
 
Niaje waungwana

Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake.

Ubishi wenyewe unahusu miamba miwili yenye roho ngumu, maamuzi mazito na misimamo mikali isiyoyumba, wala kuyumbishwa na watu wengine. Na miaka hiyo sio mingine isipokuwa ni raisi wa Russia Vladimir Putin na waziri mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu.

Kwanza kabla ya watu wengine hawajaingia hapa kutoa maoni yao kuhusu nani bora kati ya raisi Putin na waziri mkuu Netanyahu, naomba kwanza na mimi na mimi nitoe maoni yangu juu ya nani zaidi ya mwenzake.

1. Nikianza na raisi Vladimir Putin, huyu kwangu ni mwamba kweli kweli ambae kumlinganisha na bwege mpenda kulia lia kama Netanyahu ni kumkosea heshima Putin. Netanyahu ni mchumba na hawezi kufit kwa Putin hata kwa nusu ya sifa zake.

Putin ni kiongozi makini, mwenye akili kubwa, misimamo thabiti na intelejensia kali kuliko Netanyahu. Kwa kuthibitisha hili angalia uchaguzi wa uraisi wa 2016 alivyoweza kupachika vijana wake katika mifumo ya Marekani ili wamletee raisi anaemtaka yeye. Ni nani mwengine katika dunia ya leo mwenye uwezo wa kufanya kile alichofanya Putin, tena ndani ya ardhi ya Marekani na mifumo imara ya Marekani? Ni nani mungine?

I hope jibu hakuna maana hata China imeshajaribu kutuma mpaka maputo ili na yenyewe ifanye yake lakini yote yakashushwa. So Putin yeye aliweza tena kwa kuingilia mifumo ya ndani ya nchi bila kugundulika mpaka pale mission yake ilipokamilika, ndo alipokuja kushtukiwa ila akawa ashafanikiwa kwa 100%.

Tukija kwenye misimamo thabiti, jamaa amesimamia kile anachoamini yeye tu, bila kujali vitisho, vikwazo na kelele za nchi za magharibi including NATO. Ameingia nchini Ukraine kukamilisha mission zake bila kujali kelele za mtu yoyote. Si Marekani, NATO wala Umoja wa Ulaya aliethubutu kuingiza jeshi lake Ukraine kupambana na uvamizi wa Russia. Sana sana wameishia kutuma visilaha tu ili kujaribu kudhoofisha mission zake bila mafanikio.

Putin hajawahi kulia hadharani kuwa kaishiwa silaha au mbinu za kijeshi, NEVER. Yeye ni kutoa dozi tu na kusonga mbele daima, huku Marekani na washirika wake wakiendelea kuangamiza silaha zao kuipa Ukraine ili iizuie Ruusia kusonga mbele bila mafanikio.

Putin yeye anapambana na nchi kamili yenye raisi wake, serikali yake, jeshi lake (lenye mamilioni ya wanajeshi), silaha zake (za zamani na kisasa), ulinzi wake (juu na ardhini) Lakini bado haoneshi kushindwa wala kurudi nyuma. Nchi yake bado imeendelea kuogopwa hata na nchi zinazojifanya ni watemi wa dunia. Pia maangamizi yake yamekuwa yakiwalenga zaidi adui zake (wanajeshi na viongozi wa serikali) ikitokea raia ameuwawa basi ni kwa bahati mbaya ile tunaita ajali kazini. Ndiomaana toka vita vianze wanajeshi waliouwawa na wengi kuliko raia wa kawaida.

Putin pamoja na kuwa katika vita vinavyoshirikisha mataifa kibao ya Ulaya kuwa upande wa adui yake, lakini bado economic yake ipo imara mno, na ni nchi ya tatu kwa bajeti kubwa ya kijeshi duniani baada ya Marekani na China. Nchi yake haitegemei bajeti ya kijeshi kutoka nchi yoyote ile hapa duniani. Inajisimamia yenyewe miaka yote ya utawala wa Putin.

2. Tukija kwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu, huyu kwangu ni mchumba tu mbele ya Putin, kwa sababu maamuzi yake hutegemea misimamo ya magharibi inasemaje. Yani inaonesha wazi kuwa huwa anapewa maelekeza ya nini cha kufanya na wakubwa zake kutoka huko West, na haswa Marekani.

Kila analolifanya Netanyahu sio ni la kwake bali ni la waliomtuma. Ndomaana wanapocheleweshaga kumtumia silaha za kufanikisha mission aliyopewa, hukimbilia katika vyombo vya habari na kuanza kulalamika kuwa wanamtelekeza na kumuacha apambane kivyake bila msaada wao.

Tukiachana na lile tukio la Oktoba 7, huko nyuma kabla ya Oktoba 7 jeshi la Netanyahu lilikuwa linatumika kwenda kuvamia makazi ya raia wasiokuwa na hatia, wala silaha yoyote zaidi ya mawe huko WEST BANK (katika ardhi inayokaliwa kimabavu na Israel) kuwachomoa watu katika nyumba zao, kuwapiga, kuwakata, kuwatesa na wengine kuwaua. Halafu nyumba zilizovamiwa walipewa waisrael waziishi. Sasa kiongozi (Netanyahu) unakuaje mahiri kwa kuongoza jeshi linalovamia tu raia na kuua ua hovyo eti kisa waliovamiwa wameokota mawe kuwarushia ili kupinga uvamizi?

Netanyahu na jeshi lake lenye wanajeshi zaidi ya laki 2, na wengine wa akiba wamekuwa wakitumia vifaru, meli za kivita, ndege zisizokuwa na rubani pamoja na silaha zingine nyingi za kisasa wanazopewa na Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Uholanzi na Canada kufanya mashambulizi ya kupambana na kundi la vijana elf 20 wa Hamas ambao wanatumia silaha za kawaida zilizoundwa kienyeji na wenyewe ili kujilinda. Lakini mpaka sasa Netanyahu amekuwa akionekana kuua watoto wengi na wanawake wasiokuwa na hatia bila kufikia lengo alilolipanga Netanyahu la kuhakikisha mateka wote wamepatikana katika muda mfupi aliopanga.

Netanyahu bado anategemea hela za bajeti ya jeshi, na uchumi wake zitoke katika mataifa mengine ya Ulaya ili aweze kuwalipa wanajeshi wake, kuongeza baadhi ya silaha na zingine ziishie katika tumbo lake na team yake.

So kumfananisha Putin na Netanyahu ni sawa na kumlinganisha hayati mwl Nyerere na bwana mdogo Pole pole hata kama Pole pole anajaribu kuvaa uhalisia wa mwl Nyerere.

Toa na wewe maoni yako, nikatawakilishe mtaani kwa kuangalia wingi wa comment zinazomkubali mmoja wapo ili tumalize ubishi na kufunga mjadala.

Karibuni sana...
Netanyahu Hana umwamba wowote
 
Suala la Urusi kutaka kuingilia uchaguzi 2016 lilijulikana kabla ya uchaguzi kufanyika. Sidhani kama FBI au CIA wangekubali Urusi ifanikiwe kuweka kibaraka wake pale U.S.A. Hivyo, naweza kusema Russia (Putin) kama alikuwa na ajenda ya kuweka pandikizi nchini Marekani basi ilikwama.
Hebu angalia mwaka ambao jamaa walikamatwa na mwaka ambao uchaguzi ulifanyika.

Jamaa wamemuweka Trump mwaka 2016, FBI na CIA wakaja kushtuka mwaka 2018 ishakuwa too late kijana.

Vijana wamefanya kosa kubwa kumfananisha Putin na kibaraka wa wamarekani (Netanyahu)
 
Attachments

  • Screenshot_20240522-161920.jpg
    Screenshot_20240522-161920.jpg
    274 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240522-162029.jpg
    Screenshot_20240522-162029.jpg
    464.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom