Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao vijana wengi wameharibiwa na mihemko ya imani ndomaana kwenye mbili wanasema tatu na kwenye tatu wanasema sita.Israel ina teknolojia gani ya juu kuizidi Urusi?
Hebu katafute orodha ya nchi zenye teknolojia ya hali ya juu uone kama Israel yupo hata kumi bora?
Israel inazidiwa mpaka na Taiwan ndo uje kumlinganisha na Urusi.
Hauna akiliPutin ni mwamba ila asijichanganye kwa muisrael ataaibishwa kama iran kilichompata
Kumbe ni maneno ya kwenye kanga ambayo hauna ushahidi nayo. Basi endelea kuamini peke yako ila sisi wenye akili timamu hatukubali kitu kwa sababu ya hisia, bali tunakubali kwa sababu ya vitendo kama vile vilivyofanywa na Iran mchana kweupee mpaka Ulaya nzima na Marekani zikapiga kelele kulaani.Ah
🤣🤣🤣 Hatari Sana Wana sifu Iran kapewa chai ,mnataka ushahidi ,Nyau akishafanya yake hukaa kimya mtafute Majibu wenyewe kama alivyopiga air base ya Iran kwani alisema kitu si mlisema wenyewe tumepigwa bila kuona hata tumepigwaje na hii mtasema tu muda ni Mwalimu
Alafu mrusi si alipereka jeshi Syria je limefanya nn pale ,Nyau anapiga airport Kila uchao na Putin Yuko hapo hapo na S 400 kopo kopo
Chezea Nyau ww hao mgambo Hezbollah Hamas sio mgambo unavyowaza ww ni jeshi liko kiraia gambo anakuwa na kirungu hao Wana piga misille s Bado wakula kipigo tu
Kumbe ni maneno ya kwenye kanga ambayo hauna ushahidi nayo. Basi endelea kuamini peke yako ila sisi wenye akili timamu hatukubali kitu kwa sababu ya hisia, bali tunakubali kwa sababu ya vitendo kama vile vilivyofanywa na Iran mchana kweupee mpaka Ulaya nzima na Marekani zikapiga kelele kulaani.
Imagine nchi zaidi ya 8 zimeshindwa kuzuia makombora ya nchi 1 tena zikiwa zimeshapewa taarifa ya kujipanga kuzuia lakini zikashindwa mzigo ukapenya hadi kwa Netanyahu aliekuwa amejificha shimoni 🤣🤣🤣
Kishambulizi cha Israel kilikuwa cha kushtukiza ili kiangamize Iran lakini kilizuiwa bila madhara yoyote kwa nchi, na nchi nyingi hazikufuatilia kashambulio kao 🤣🤣🤣
Mwenye nguvu hawezi kufanya tukio kwa adui yake halaf akaogopa kusema. Anamuogopa nani sasa?
Mbona kwa Gaza hawakukaa kimya, si kwa sababu waliona wanaweza kidogo kujitahidi kuwadhibiti japo mpaka leo wameshndwa kuwapata hata mateka wao.
Iran walijitekenya kuwa wanaweza Sasa mbona hawakuendelea baada ya Military base yao kupigwa si mlisema mtajibu wapi Sasa Hadi Raisi kahujumiwa kwa kushindwa kutimiza Ahadi ngoja Rusia awadanganye awauzie tena madege ya hovyo kama S400 iliyoshindwa hata kuona kipigoKumbe ni maneno ya kwenye kanga ambayo hauna ushahidi nayo. Basi endelea kuamini peke yako ila sisi wenye akili timamu hatukubali kitu kwa sababu ya hisia, bali tunakubali kwa sababu ya vitendo kama vile vilivyofanywa na Iran mchana kweupee mpaka Ulaya nzima na Marekani zikapiga kelele kulaani.
Imagine nchi zaidi ya 8 zimeshindwa kuzuia makombora ya nchi 1 tena zikiwa zimeshapewa taarifa ya kujipanga kuzuia lakini zikashindwa mzigo ukapenya hadi kwa Netanyahu aliekuwa amejificha shimoni 🤣🤣🤣
Kishambulizi cha Israel kilikuwa cha kushtukiza ili kiangamize Iran lakini kilizuiwa bila madhara yoyote kwa nchi, na nchi nyingi hazikufuatilia kashambulio kao 🤣🤣🤣
Mwenye nguvu hawezi kufanya tukio kwa adui yake halaf akaogopa kusema. Anamuogopa nani sasa?
Mbona kwa Gaza hawakukaa kimya, si kwa sababu waliona wanaweza kidogo kujitahidi kuwadhibiti japo mpaka leo wameshndwa kuwapata hata mateka wao.
Mbona amrushi tena makombora muone moto wa Nyau ,vita ni techinics Iran anatangaza zana zake akijua atalifuta Taifa Israel nae kajipanga na allies wake ,Iran si nae alipewa silaha na Putin north Korea na hao washirika wake Hezbollah Hamas,kwa vipi Israel isipewe ushirika na ulayaIran walijitekenya kuwa wanaweza Sasa mbona hawakuendelea baada ya Military base yao kupigwa si mlisema mtajibu wapi Sasa Hadi Raisi kahujumiwa kwa kushindwa kutimiza Ahadi ngoja Rusia awadanganye awauzie tena madege ya hovyo kama S400 iliyoshindwa hata kuona kipigo
Uwezo wa Israel umejengwa katika misingi ya propaganda na uongo mwingi.Hao vijana wengi wameharibiwa na mihemko ya imani ndomaana kwenye mbili wanasema tatu na kwenye tatu wanasema sita.
habari ndo iyo ajichanganye tu aoneHauna akili
Mbona unaropoka bwana mdogo!?Putin ni mwamba ila asijichanganye kwa muisrael ataaibishwa kama iran kilichompata
Aisee mkuu mleta mada umemkosea sana Putin kwa kumletea uwiano na Netanyahu.Niaje waungwana
Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake.
Ubishi wenyewe unahusu miamba miwili yenye roho ngumu, maamuzi mazito na misimamo mikali isiyoyumba, wala kuyumbishwa na watu wengine. Na miaka hiyo sio mingine isipokuwa ni raisi wa Russia Vladimir Putin na waziri mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu.
Kwanza kabla ya watu wengine hawajaingia hapa kutoa maoni yao kuhusu nani bora kati ya raisi Putin na waziri mkuu Netanyahu, naomba kwanza na mimi na mimi nitoe maoni yangu juu ya nani zaidi ya mwenzake.
1. Nikianza na raisi Vladimir Putin, huyu kwangu ni mwamba kweli kweli ambae kumlinganisha na bwege mpenda kulia lia kama Netanyahu ni kumkosea heshima Putin. Netanyahu ni mchumba na hawezi kufit kwa Putin hata kwa nusu ya sifa zake.
Putin ni kiongozi makini, mwenye akili kubwa, misimamo thabiti na intelejensia kali kuliko Netanyahu. Kwa kuthibitisha hili angalia uchaguzi wa uraisi wa 2016 alivyoweza kupachika vijana wake katika mifumo ya Marekani ili wamletee raisi anaemtaka yeye. Ni nani mwengine katika dunia ya leo mwenye uwezo wa kufanya kile alichofanya Putin, tena ndani ya ardhi ya Marekani na mifumo imara ya Marekani? Ni nani mungine?
I hope jibu hakuna maana hata China imeshajaribu kutuma mpaka maputo ili na yenyewe ifanye yake lakini yote yakashushwa. So Putin yeye aliweza tena kwa kuingilia mifumo ya ndani ya nchi bila kugundulika mpaka pale mission yake ilipokamilika, ndo alipokuja kushtukiwa ila akawa ashafanikiwa kwa 100%.
Tukija kwenye misimamo thabiti, jamaa amesimamia kile anachoamini yeye tu, bila kujali vitisho, vikwazo na kelele za nchi za magharibi including NATO. Ameingia nchini Ukraine kukamilisha mission zake bila kujali kelele za mtu yoyote. Si Marekani, NATO wala Umoja wa Ulaya aliethubutu kuingiza jeshi lake Ukraine kupambana na uvamizi wa Russia. Sana sana wameishia kutuma visilaha tu ili kujaribu kudhoofisha mission zake bila mafanikio.
Putin hajawahi kulia hadharani kuwa kaishiwa silaha au mbinu za kijeshi, NEVER. Yeye ni kutoa dozi tu na kusonga mbele daima, huku Marekani na washirika wake wakiendelea kuangamiza silaha zao kuipa Ukraine ili iizuie Ruusia kusonga mbele bila mafanikio.
Putin yeye anapambana na nchi kamili yenye raisi wake, serikali yake, jeshi lake (lenye mamilioni ya wanajeshi), silaha zake (za zamani na kisasa), ulinzi wake (juu na ardhini) Lakini bado haoneshi kushindwa wala kurudi nyuma. Nchi yake bado imeendelea kuogopwa hata na nchi zinazojifanya ni watemi wa dunia. Pia maangamizi yake yamekuwa yakiwalenga zaidi adui zake (wanajeshi na viongozi wa serikali) ikitokea raia ameuwawa basi ni kwa bahati mbaya ile tunaita ajali kazini. Ndiomaana toka vita vianze wanajeshi waliouwawa na wengi kuliko raia wa kawaida.
Putin pamoja na kuwa katika vita vinavyoshirikisha mataifa kibao ya Ulaya kuwa upande wa adui yake, lakini bado economic yake ipo imara mno, na ni nchi ya tatu kwa bajeti kubwa ya kijeshi duniani baada ya Marekani na China. Nchi yake haitegemei bajeti ya kijeshi kutoka nchi yoyote ile hapa duniani. Inajisimamia yenyewe miaka yote ya utawala wa Putin.
2. Tukija kwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu, huyu kwangu ni mchumba tu mbele ya Putin, kwa sababu maamuzi yake hutegemea misimamo ya magharibi inasemaje. Yani inaonesha wazi kuwa huwa anapewa maelekeza ya nini cha kufanya na wakubwa zake kutoka huko West, na haswa Marekani.
Kila analolifanya Netanyahu sio ni la kwake bali ni la waliomtuma. Ndomaana wanapocheleweshaga kumtumia silaha za kufanikisha mission aliyopewa, hukimbilia katika vyombo vya habari na kuanza kulalamika kuwa wanamtelekeza na kumuacha apambane kivyake bila msaada wao.
Tukiachana na lile tukio la Oktoba 7, huko nyuma kabla ya Oktoba 7 jeshi la Netanyahu lilikuwa linatumika kwenda kuvamia makazi ya raia wasiokuwa na hatia, wala silaha yoyote zaidi ya mawe huko WEST BANK (katika ardhi inayokaliwa kimabavu na Israel) kuwachomoa watu katika nyumba zao, kuwapiga, kuwakata, kuwatesa na wengine kuwaua. Halafu nyumba zilizovamiwa walipewa waisrael waziishi. Sasa kiongozi (Netanyahu) unakuaje mahiri kwa kuongoza jeshi linalovamia tu raia na kuua ua hovyo eti kisa waliovamiwa wameokota mawe kuwarushia ili kupinga uvamizi?
Netanyahu na jeshi lake lenye wanajeshi zaidi ya laki 2, na wengine wa akiba wamekuwa wakitumia vifaru, meli za kivita, ndege zisizokuwa na rubani pamoja na silaha zingine nyingi za kisasa wanazopewa na Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Uholanzi na Canada kufanya mashambulizi ya kupambana na kundi la vijana elf 20 wa Hamas ambao wanatumia silaha za kawaida zilizoundwa kienyeji na wenyewe ili kujilinda. Lakini mpaka sasa Netanyahu amekuwa akionekana kuua watoto wengi na wanawake wasiokuwa na hatia bila kufikia lengo alilolipanga Netanyahu la kuhakikisha mateka wote wamepatikana katika muda mfupi aliopanga.
Netanyahu bado anategemea hela za bajeti ya jeshi, na uchumi wake zitoke katika mataifa mengine ya Ulaya ili aweze kuwalipa wanajeshi wake, kuongeza baadhi ya silaha na zingine ziishie katika tumbo lake na team yake.
So kumfananisha Putin na Netanyahu ni sawa na kumlinganisha hayati mwl Nyerere na bwana mdogo Pole pole hata kama Pole pole anajaribu kuvaa uhalisia wa mwl Nyerere.
Toa na wewe maoni yako, nikatawakilishe mtaani kwa kuangalia wingi wa comment zinazomkubali mmoja wapo ili tumalize ubishi na kufunga mjadala.
Karibuni sana...
Vipi kuhusu Hizbollah?tatizo anapigana na migambo wanaojichanganya na watoto na wamama kuwakinga akiwafumua kisawasawa wanapiga kelele umoja wa mataifa kwamba wanashambulia watoto yani wanambinu zakijinga sana.
Netanyahu hashindwi hivyo vita. Shida ni kuwa hamas wamejichanganya na raia na huvaa kiraia pia, jambo ambalo humfanya Netanyahu apate wakati mgumu kumtandika hamasi.Niaje waungwana