PUTIN vs NETANYAHU: Njooni tumalize ubishi wa miamba hii miwili ya dunia

PUTIN vs NETANYAHU: Njooni tumalize ubishi wa miamba hii miwili ya dunia

Netanyahau angekuwa anapigana na Jeshi kwa Jeshi now angekuwa ameshashinda vita, na amepiga bonge la tukio ambalo Ukraine ingekaa kwa kutulia.

Anachofanya Gaza ameamua kuupanga Upya Mji wa Gaza, na kusafisha vichochoro na makazi ya Magaidi.

Katika Watu ambao Putin amewasisitiza na kuwapigia magoti wasiingie kwenye mgogoro wa Ukraine ni Israel na Netanyahau

Netanyahau ni namba nyingine
Kupata kichekesho kama hiki, bonyeza alama ya #.

Upozako Tandale kwa Tumbo, unatapika tu.

Putin amuogope muomba misaada..?
Israel bila U.S.A hakuna kitu pale...
 
Acha ujinga wewe....
Unamanisha Israel huyu mtegemea misaada, Ombaomba..?
Au kuna Israel mwingine..?

Amka wewe, Israel bila U.S.A hakuna kitu pale.
Huo ndio ukweli ambao wengi wenye kuisifu Israel huukwepa kuuongelea 😂😂
 
Pamoja na ubabe wote uyo putin anaongopa kusafili ichi za maghalibi
Netanyahu ushawahi kumuona anatembelea nchi gani zaidi ya Marekani tu peke yake?

Na unakumbuka safari ya mwisho Netanyahu kwenda Marekani ilikuwa mwaka gani?
 
Iran walijitekenya kuwa wanaweza Sasa mbona hawakuendelea baada ya Military base yao kupigwa si mlisema mtajibu wapi Sasa Hadi Raisi kahujumiwa kwa kushindwa kutimiza Ahadi ngoja Rusia awadanganye awauzie tena madege ya hovyo kama S400 iliyoshindwa hata kuona kipigo
Waendelee vipi na wakati maangamizi yao yalishindwa kuzuiwa na nchi 8 kwa ujumla?

Hivi uende kwenye nyumba ya mtu ukampige kipigo cha mbwa mwizi mbele ya mabwana zake nane wanaona, halaf uliempiga aje kwako kurusha kajiwe na kukimbia utamfata tena kumpa kipigo kingine au utamdharau maana hakuonesha kujibu kipigo ulichompa.

Ndo alivyofanya Iran, amemdharau muisrael baada ya kumtembezea kipigo mbele ya mabwana zake US, UK, France, Ujeruman na wajinga wenzao Saudia na Jordan😂😂

Sasa dogo kwa aibu et kaenda kurusha kajiwe na kukimbia 🤣🤣🤣

Hayo mengine sijui ya raisi umeshasema mwenyew hayana ushahidi hivyo hayana maana yoyote.
 
Vichwa vinachemka, IQ kubwa, wanaweza isimamisha dunia.

Eti Netanyahu ni mchumba, kamuoe tuone.
 
Putin vita ya miaka 3 kila kitu Urusi ni made in China na India , ebu tuache ushabiki wa kitoto
Putin ananunua silaha Iran na China tu.
India anatumia sana Israel made weapons,Russia hajawahi kuzitumia wala kununua usitudanganye.
Ila Israel USA ilipeleka mpaka jeshi limsaidie dhidi ya Hamas.
 
View attachment 2996932View attachment 2996931View attachment 2996930
Huyu ndo kiongozi tunaambiwa anaishi Kwa kujificha 🤣🤣

View attachment 2996934View attachment 2996933
Na huyu ndo kiongozi tunaambiwa anapenda kujichanganya na watu na hamuogopi mtu yeyote . Cha ajabu hataki kabisa kusogeleana na mtu . 🤣🤣🤣
Ona ulivyo Popoma.
Netanyahu anatoka kukutana na jeshi la IDF tu.
Unaweza kunambia Netanyahu toka vita ianze ametembelea nchi gani!?
Putin kaenda China,Ukraine,Africa,India.
 
Mbona resources anazo kibao tu lakini ameshindwa kujisimamia mwenyewe. Kwani wewe unafikiri kuwa na resource ni mpaka uwe tu na mafuta au dhahabu?

Rwanda ina resources ndogo kushinda Israel na imezungukwa na maadui kibao kila upande wa nchi yao (ukitoa Tanzania tu) lakini mpaka leo hakuna anaerusha hata jiwe nchini kwao. Na hapo hawategemei silaha wala bajeti ya jeshi itokea Marekani au Ulaya kama wanavyotegemea waisrael.

Hoja yako ni mufilisi kabisa, haina mashiko.

Mwaka 2006 waisrael walichakazwa na hezbulla ambao hawana serikali, hawamiliki resource yoyote ya nchi na hawatumii silaha nzito nzito kama waisrael.
Mkuu RWANDA usiitolee mifano na mambo serious bwana.
Rwanda ina adui gani sasa zaidi ya DR CONGO!?
Kenya,Uganda,Sudan,Malawi,Zambia.
Hao wote hawana uadui na Rwanda.
Rwanda ikipata uadui na Kenya tu,nchi inateketea yote ile.
Busara za Tanzania hapa Afrika mashariki ndio zinailinda hiyo Rwanda.
 
Uchambuzi wako unatokana na chuki uliyonayo kwa Israel! Kulimlinganisha

Putin na Netanyahu kwa lengo la kumdharirisha Netanyahu sidhani kama uchambuzi wako uko fair!

Kwanza ukiachia Urafiki wa karibu wa Putin na Netanyahu,wote wawili waanafanana misimamo wote ni wazalendo halisi wa nchi zao! Wako tayari kufa wakipigania maslahi ya nchi zao kwa gharama yo yote.

Wakati Putin anapambana na Mataifa yenye nguvu kijeshi na kiuchumi yakiongozwa na US

Netanyahu anapambana na Mataifa yenye utajiri wa Mafuta na Silaha hatari yakiongozwa na Iran.

Hata kama unamsimanga Netanyahu,bado anaongoza Taifa lenye uwezo wa hali ya juu kiteknolojia na kisayansi kulinganisha na Russia ambayo haina teknolojia ya juu sana kulinganisha na Israel.

Kwa hayo machache ambayo muda hautoshi kueleza mengi sioni tofauti ya Putin na Netanyahu.
Mkuu hauko serious.
Mkuu UMEROPOKA.
Yani Israel iwe na technology kuliko Russia!?
Israel inaweza kuunda helikopta au fighter jets!?
Israel wana uwezo wa kuunda Aerospace/space crafts!?
Israel wana uwezo wa kuunda HYPERSONIC MISSILES!?
Mkuu ongea ukiwa unajua bwana,usiwe unaongea mambo ambayo hauna uhakika nayo.

Unasema Israel anapambana na mataifa tajiri wa mafuta wakiongozwa na Iran,mkuu uko serious wewe!?
Iran anapigana na vikundi vinavyofadhiliwa na Iran.
*Hizbullah ni wanamgambo wanaojitegemea sio jeshi la Lebanon.
*Al Qassam brigade ni jeshi la Hamas sio la Palestina nzima.
Aya tutajie nchi gani ya kiarabu inapigana na ISRAEL ikifadhiliwa na Iran!?
Yani watu hamuna mnachojua mnaongea tu,mtajiaibisha.
 
hata iran mlikiwa mnamsifia kama putin cha ajabu mmekiona juzi tu apo limepigwa tukio alafu hata ushaidi halina mnabaki tu kusema ooh ooh chopper ilifeli mala ayatollah kumuangusha bla bla kibao wakati alichokoza mzinga wa nyuki.
Wewe una ushahidi kama Israel ndio kahusika!?
Umeshasema ushahidi hakuna,wewe unapata wapi nguvu ya kusema Israel amehusika!?
Embu tueleze.
 
Shida ya watoto wa 2000 hawajui hata historia, ndo maana wanaongea kitu wasichokijua, miaka ya 1990 Iraq ikiwa na nguvu sana chini ya Sadam Huseni aliwahi kuipiga Israel na makombora ya Scurd yaliyotengenezwa Rusia, alifanya hivyo hivyo kama Iran ilivyofanya na Israel yakirudisha hata kidogo lakini kilichokuja kutokea Iraq wote tukijua mpaka leo ni failed state, Iran na Israel wako vitani hata kama vita haijatangazwa, tutaona mengi halafu mwisho wa siku tutapata majibu.
 
Waendelee vipi na wakati maangamizi yao yalishindwa kuzuiwa na nchi 8 kwa ujumla?

Hivi uende kwenye nyumba ya mtu ukampige kipigo cha mbwa mwizi mbele ya mabwana zake nane wanaona, halaf uliempiga aje kwako kurusha kajiwe na kukimbia utamfata tena kumpa kipigo kingine au utamdharau maana hakuonesha kujibu kipigo ulichompa.

Ndo alivyofanya Iran, amemdharau muisrael baada ya kumtembezea kipigo mbele ya mabwana zake US, UK, France, Ujeruman na wajinga wenzao Saudia na Jordan😂😂

Sasa dogo kwa aibu et kaenda kurusha kajiwe na kukimbia 🤣🤣🤣

Hayo mengine sijui ya raisi umeshasema mwenyew hayana ushahidi hivyo hayana maana yoyote.
Iran yeye alikuwa na Rusia noth Korea Hezbollah Hamas Syria Iraq Yemen na wengine game ni team , ww unaficha ukweli Nyau angeamua kulipa sawasawa angewafanya ila kapiga kichwa eneo lenu la Ulinzi mnaojisifia ndo maana hamkujibu tena ,
 
Ah

🤣🤣🤣 Hatari Sana Wana sifu Iran kapewa chai ,mnataka ushahidi ,Nyau akishafanya yake hukaa kimya mtafute Majibu wenyewe kama alivyopiga air base ya Iran kwani alisema kitu si mlisema wenyewe tumepigwa bila kuona hata tumepigwaje na hii mtasema tu muda ni Mwalimu

Alafu mrusi si alipereka jeshi Syria je limefanya nn pale ,Nyau anapiga airport Kila uchao na Putin Yuko hapo hapo na S 400 kopo kopo
Chezea Nyau ww hao mgambo Hezbollah Hamas sio mgambo unavyowaza ww ni jeshi liko kiraia gambo anakuwa na kirungu hao Wana piga misille s Bado wakula kipigo tu
Mkuu umesahihishwa ila bado unaropoka uharo.
*Russia pale Syria kapeleka S300 na pia kaziweka katika kambi zake za jeshi kulinda askari wake.
Na kuna muda huwa ziko activated na kuna muda huwa inactivated.
Kama una kumbukumbu 2022 zilikua activated kwa muda mrefu Israel alipopeleka fighter jets tatu zilidunguliwa moja ndio ikanusurika na kutoroka.
Toka siku hiyo walitulia anga la Syria waliliogopa kwa muda.
*Hizbollah huwa havai kiraia wana gwanda na hawajawahi kamwe kuvua gwanda zao,hivi unajua kambi ya jeshi ya Galilee kaskazini mwa Israel imehamwa kwa kushambuliwa kila mara na hizbullah?
Hivi unafahamu kama Kaskazini mwa Israel raia wamehama kukimbia makombora ya Hizbullah!?

*Tukio la drone ya Israel kushambulia Isfahan ISRAEL WALIKIRI NA WALISEMA NI WAO,Shambulio lilikua kulenga kinu cha nuclear ila likafeli likagonga empty site ya kambi ya anga ya Isfahan.
Inamaana shambulio halikuleta madhara,na viongozi wa Israel walilaumiana wengine wakisema shambulio la kitoto.
*Hili la sasa hivi Netanyahu kakana na hakuna ushahidi.Netanyahu amekana kuhusika na kifo cha Ebrahim Raisi,Wewe ni nani umlishe maneno!?

Punguza kuropoka kijana huna unalojua.
 
Urusi soko la silaha limekufa baada ya kuwa anapigwa na Ukraine air defense S400 na mengine yanapigwa na vi dron zinaingia Hadi Moscow nani anataka mabati bati yake ,ndege meli vita karibu zinaisha ,amebaki kutishia nyuklia kupiga Ukraine yaani ni sawa unapigana na katoto alafu unaokota mawe ili ukapige kwa mawe huyo ndo Putin Hana tecnologia kyshinda Israel , soma history ya Israel ni mpango wa Mungu
umemwona Iran katulia ajichanganye tena kama Nyau hajawasha base zake zote ogopa Mtu anapiga eneo lenye Ulinzi mji mkuu ni kama ikulu Hilo ni onyo kwamba ww bado Sana pamoja na kurusha makombora na drone 350
Tukuletee ripoti ya mauzo ya silaha ya Russia!?
Kijana we wa wapi?
 
Back
Top Bottom