mkolechi
Senior Member
- Feb 27, 2022
- 183
- 159
Hiyo ni kawaida tu mbona silaha za Putin zilizoko Ukraine huziona makumbusho ya Ukraine ?Waulize NATO na EU wanamjua Putin.
Mwamba alotikisa miamba ya dunia kiasi anakamata silaha zao na kuziweka makumbusho RUSSIA.
ama umeona za uk na usa
Putin si alisema ni masaa 72 tu game over ,na atakaesaidia Ukraine naye anakula kipigo ,tunaona silaha Zina ingia Ukraine Kila uchao na hafanyo lolote ,Sasa miaka 2 inapita Bado anapigwa na ka willaya tu Ukraine Hadi kaishiwa silaha Sasa Kawa ombaomba anaomba msaada iran