Gaza ww unaona ni mgambo kwa upeo wako Hilo ni jina tu ila ni jeshi kamili lile ,hiyo imeisha
Khsu msaada wa Ukraine usiseme ,mwamba wenu Putin alitangaza masaa 72 tu ,kabla ya msaadawa mataifa kwa Ukraine,Bado hayajatimia 72 hrs Hadi Sasa , Ukraine ni ndogo Sana kwa Rusia hivyo silaha Hana na hata kama anazo ni kidogo Sana za msaada ,lakini Bado putini anaokota mawe kupiga Ukraine na Bado Putin anakula kipigo Kuna mahali Putin asogezi pua iwe ndege meli vita zinapigwa juzi tu zimepigwa meli 2 ,hivyo uelewe Ukraine angekuwa na silaha kama alizonazo Putin ,Leo hii zelensk angekuwa Magogoni Moscow
Bro huna unalolijua.
Gaza sio jeshi kamili kwasababu zifuatazo;
1)Hawana millitary base.
2)Hawana millitary ranks.
3)Gaza sio nchi kamili kiasi iwe na jeshi inamaana Al Qassam haitambuliki kama jeshi.
4)Hawana headquarters.
5)Hawana command centres.
6)Hawana millitary academies.
7)Hawa import silaha bali wanaunda na kununua kimagendo.
Al Qassam wana washika silaha wapatao takriban elfu thelathini,je hilo unaweza liita jeshi!?
*Kuhusu Ukraine huna unalolijua pia,Ukraine ina jeshi na silaha kamili toka mwanzo,silaha ambazo katika mkataba wa amani hawakupaswa kumiliki ni nuclear weapons tu.
Kipindi Russia anaanza hii vita alichukua Zaphorizzhi,Donbas,Donetsk.
Baada ya hapo NATO ndio wakatuma msaada wa silaha,haikutosha wakapenyeza mpaka mamluki wao hasa makamanda na mercenaries wa USA na UK.
Toka vita ianze HAKUNA SEHEMU UKRAINE IMEWEZA KUIKOMBOA.
Zaidi inazidi kupoteza maeneo ukanda wa Kharkiv.
Hivi hata habari unaangalia bro!?
Israel ili deploy millitary personnel laki tatu na ikachukua askari wa akiba laki moja kuingia Gaza,ili deploy kila aina za technology vifaru,surveillance drones mpaka fighter jets.
Walienda mpaka elite forces.
Lakini wakashindwa kufanya kitu hata mateka hawakukomboa.
Nikupe mfano wa Turkiye,Turkiye ni taifa linalosumbuliwa na mashambulizi ya kushtukiza na kundi la PKK kurdish fighters.
Kurdish fighters wana silaha nyingi tu zimeshiba.
Shambulizi lao la mwisho dhidi ya Uturuki ni kijiji kilicho mpakani na Syria.
Turkiye ilituma millitary personnel wasiozidi 150 wakafanye ground offensive maeneo wanayoyakalia PKK.
Ilienda ilifanya operation iliua PKK wengi sana na mamia ya PKK walikamatwa na kurudi nao Turkiye wakahojiwe.
Sasa nakuachia homework,Turkiye amewezaje na Israel ameshindwaje!!??