Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

Umenena vyema sana Mkuu,
 
Kuwa makini 160kph Kwa hii mikweche ya kijapani na Barabara zetu ni risk.
 
Pole sana mkuu. Hili lilinishangaza kuliona ni kawaida sana kwa warombo. Watoto wengi wametelekezwa na mama zao either kwa baba zao au babu na bibi.
 
Hii utakaaa usahau kabisa, ulitumia nguvu na akili nyingi sana mkuu hongera sana.
 
Hata mimi wakati mwengine night nikiwa pekeangu hua nafanya hivyo natanguliza tanker la mafuta au gari yoyote ndogo lakini sio V8 au wakina crown huko labda na mimi niwe na mashine kubwa km ya cc 2500 au 3000 na kuendelea😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kabisa. Leo kuna bitozi alitupita jioni na subaru speed kali mitaa ya kyabakali kila mtu akawa anasonya...

Kufika lamadi tukamkuta kaegesha gari pembeni anakunywa supu! Sasa tukawa tunajiuliza alikua na sababu gani ya kuchomoka mwendo mkali ule kama alichokua anawahi ni supu ya kongoro [emoji848]..
 
Wengine akiwa peke take anakwenda speed ya kawaida ila akiliona gari mbele yake au nyuma ndo anaamua kufanya manjonjo ya kukimbia bila kupanga
 
Kabisa,uzembe wa hali ya juu.Sijui kwa nini dada zake hata walimwamini.Halafu wana hela si wangepanda hata précision air jamani.
Hiyo Precision Air nayo ingeanguka tu halafu muanze kusema wana ma Prado si wangeendesha tu? Zikifika zimefika. Cha muhimu sisi binadamu tujiweke tayari maana tunaweza kuitwa wakati wo wote 🙏🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…