Pwani: Mashabiki wa Simba kutoka Mbeya, Wapata ajali Vigwaza!

Poleni sana
 
Watu ni wapumbavu sana. Sasa unakufa kwa ujinga tu na uzembe eti kisa ushabiki. Unaachia watoto wako na ndugu zako maumivu makubwa na mateso mazito kwa upumbavu.

Watu wote mwishowe tutakufa ila kifo cha kipumbavu kama hicho sio cha kujitakia.
 
Wiki hii ina hekaheka sana. Pole kwa wote walioumia katika ajali hii.

Wachezaji wa Simba hasa ambao bado ni wageni waonyeshwe hizi taarifa ili wajue kuna watu wanaumia huku kitaa kwa ajili ya hii timu, wasichukulie poa haya mambo
 
UJINGA WA MTU MWEUSI.

Endekeza sana Ma mipira.

Nenda kwa Gari hadi Misri kaangalie Deby yao Alhly na Zamaleki.

Watu wanaweza kupoteza hadi Familia kisa simba na yanga, mtu anapata Ulemavu au anaacha Watoto yatima .

FICHA UJUHA
Mkuu mbona akili zako finyu hivi.. wewe huna starehe au kitu unavhokipenda! Ajali huwapata watu wakiwa katika hekaheia za maisha Yao... Mshukuru Mungu upo mzima! Mpuuzi wewe!
 
Wiki hii ina hekaheka sana. Pole kwa wote walioumia katika ajali hii.

Wachezaji wa Simba hasa ambao bado ni wageni waonyeshwe hizi taarifa ili wajue kuna watu wanaumia huku kitaa kwa ajili ya hii timu, wasichukulie poa haya mambo

UJINGA WA MTU MWEUSI.

Yani akina Fredy Jobe Onana, Saido Babakar nk
Haya ni magalasa ambayo hayawezi kuifikisha simba popote.

Binafsi siwezi kutoka Mikocheni hadi Taifa kisa mpira hata kwenye TV kuangalia tu ni shida iwe ndio Mbeya hadi dar shame.???????

KUWENI NA AKILI BASI
 
Unahoja Usipingwe Watu wazima tumekuelewa
 
Mkuu mbona akili zako finyu hivi.. wewe huna starehe au kitu unavhokipenda! Ajali huwapata watu wakiwa katika hekaheia za maisha Yao... Mshukuru Mungu upo mzima! Mpuuzi wewe!

Sinaga starehe.

Labda starehe yangu ni Kumtumikia Mungu.

Hao wamepatwa na Ajali kwa kuendekeza upumbavu utoke mbeya hadi Dar kisa Mpira hapana kwakweli.
Starehe nyingine ni ujinga.

Zaidi ya km 822 na mwendo wa saa 15 kisa Mpira wa akina Fredy..
 
Yanga pamoja na kuambiwa bure hakuna walio safiri?
 
Tafta mme uolewe upo so desperate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…