ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Mar 29, 2024 #121 nguvu said: Sijakuuliza wewe Click to expand... Tuliza wenge sasa
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Mar 29, 2024 #122 ukikaidi utapigwa2 said: Tuliza wenge sasa Click to expand... Acha shobo kwa wanaume bint
Ego is the Enemy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 8,201 Reaction score 16,246 Mar 29, 2024 #123 Mie nawazaga hivi Hawa mashabiki wanalipwaga Bei gani. Yaani mie nipoteze muda kumtizama mwanaume mwenzangu anafanya kazi yake. Mfano hapo Kuna hao jamaa wa Simba watawasaidia ama inakuwaje Ni sawa na mlevi wa pombe,sigara,ngono,cocaine and heroin
Mie nawazaga hivi Hawa mashabiki wanalipwaga Bei gani. Yaani mie nipoteze muda kumtizama mwanaume mwenzangu anafanya kazi yake. Mfano hapo Kuna hao jamaa wa Simba watawasaidia ama inakuwaje Ni sawa na mlevi wa pombe,sigara,ngono,cocaine and heroin
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Mar 29, 2024 #124 CAPO DELGADO said: Kulikuwa na haja gani ya kutoka Mbeya hadi Dar kisa mpira wa dk 90. Unawaacha watoto yatima. Nguvu kazi ya Taifa inapotea. AKILI Click to expand... Watu wanatoka Europe. Wanalipa mamilion kuja kutazama nyumbu, simba , Tembo hapo Serengeti Wewe unadhani kwenye tv hawawaoni au hakuna picha zao huko Kila mtu kuna kitu anapenda acha kubeza na kuona mashabiki waliokufa wamekufa kwa mambo ya kijanga Wewe ndo mjinga Sent using Jamii Forums mobile app
CAPO DELGADO said: Kulikuwa na haja gani ya kutoka Mbeya hadi Dar kisa mpira wa dk 90. Unawaacha watoto yatima. Nguvu kazi ya Taifa inapotea. AKILI Click to expand... Watu wanatoka Europe. Wanalipa mamilion kuja kutazama nyumbu, simba , Tembo hapo Serengeti Wewe unadhani kwenye tv hawawaoni au hakuna picha zao huko Kila mtu kuna kitu anapenda acha kubeza na kuona mashabiki waliokufa wamekufa kwa mambo ya kijanga Wewe ndo mjinga Sent using Jamii Forums mobile app