Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanataka kusema huyo ndio kasababisha mgao wa maji???
Lita milioni moja kwa saa? Kwa mashine hiyo? Aisee.#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. https://t.co/sdJ6JzZ2Ck
View attachment 2016510
Tunawataka wale wenye tija sio hao wa mboga mboga na wauza karanga hao wanaleta gozigozi tu.Chief Hangaya na JK wanawapa bandari ya Bagamoyo. Vumilia tu
#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. https://t.co/sdJ6JzZ2Ck
View attachment 2016510
Yan viongozi tulio nao sio kabisa. Ni bendera fata upepo, ukilima shida, ukivuna shida, ukiuza mazao yako pia shida, kila kitu problemeHuyu kakamatwa au kawa identified? Kwani kajificha? Hii nchi ya hovyo na kukurupuka tu!
Mkuu lita million moja kwa saa siyo maji kidogo.Wanataka kusema huyo ndio kasababisha mgao wa maji???
Sisi ni Donor countryyaani mchina ndio anakuja kutulimia mboga mboga sisi tuko bize na "bia tamu"
Hawa si ndio wawekezaji mnaolilia kila siku waje wawekeze ama nini?
Wanapata upungufu wa Mil 60 kwa siku.....Wanataka kusema huyo ndio kasababisha mgao wa maji???
Mbowe alikuwa na shamba lake na amekuwa akiwalisha wengi lakini hawahawa CCM na mwendakwao walilibomoa huu ni ujinga usio na mpaka! Unaharibu chakula wakati unasema limeni. Acheni siasa.Yan viongozi tulio nao sio kabisa. Ni bendera fata upepo, ukilima shida, ukivuna shida, ukiuza mazao yako pia shida, kila kitu probleme
Siku zote walikuwa wapi? Na je yeye ndo kasababisha uhaba wa maji?#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. https://t.co/sdJ6JzZ2Ck
View attachment 2016510