Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

Wanataka kusema huyo ndio kasababisha mgao wa maji???

Wanatafuta SCPEGOAT kuficha uzembe wao!! Huyu si muwekezaji wa kulima mboga ; sasa mlipomkubalia kuja kuwekeza mlidhani hizo mboga zingeota bila maji? Mkataba wake wa kuwekeza ulikuwa na kipengele cha kiasi cha maji anachotakiwa kutumia?
 
#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. https://t.co/sdJ6JzZ2Ck
View attachment 2016510
Lita milioni moja kwa saa? Kwa mashine hiyo? Aisee.
 
China ni marafiki zetu wa kihistoria, uyo mchina ni muwekezaji aachwe achape kazi zake na huo mtambo ni kiwanda katika kutekeleza kampeni ya Tanzania ya viwanda
 
#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. https://t.co/sdJ6JzZ2Ck
View attachment 2016510

Huyu kakamatwa au kawa identified? Kwani kajificha? Hii nchi ya hovyo na kukurupuka tu!
 
Sasa na sisi ndio tuige hiyo fursa.mara zote tukiyatazama maji ya mto ruvu tunasemaga tu haya yote yanapotelea baharini.
 
Wanataka kusema huyo ndio kasababisha mgao wa maji???
Wanapata upungufu wa Mil 60 kwa siku.....
Ila sidhani kama huyo mchina anafanya illegal.
Kwenye basins water supply authorities ndio wanaopewa kipaumbele cha kuuziwa maji.....
Kwa hiyo iko wazi mchina huduma itasitishwa.
 
Yan viongozi tulio nao sio kabisa. Ni bendera fata upepo, ukilima shida, ukivuna shida, ukiuza mazao yako pia shida, kila kitu probleme
Mbowe alikuwa na shamba lake na amekuwa akiwalisha wengi lakini hawahawa CCM na mwendakwao walilibomoa huu ni ujinga usio na mpaka! Unaharibu chakula wakati unasema limeni. Acheni siasa.
Huyu mchina hajaanza leo na wala hajakausha maji huko Ruvu.
Serikali ijiongeze kuweka mbinu mbadala wa maji.
 
#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. https://t.co/sdJ6JzZ2Ck
View attachment 2016510
Siku zote walikuwa wapi? Na je yeye ndo kasababisha uhaba wa maji?
 
Back
Top Bottom