Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji

Hakuna Kesi hapa wameua bila kukusudia.
 
Aisee
 
Wana vi IST vyao rangi ya maziwa mudguard nyeusi. Hawa wajinga wakikudai watakusubiri getini Hadi usiku wa manane.
Kuna watu wanaishi kwa hofu sababu ya hivyo vigari hata kama haviendi kwao wanakimbia mitaani balaa
 
Laiti kama watu tungejua ni jinsi gani ilivyo rahisi binadamu kupoteza uhai basi kila mtu angekua muoga kumgusa mwenzake.
Watu wanatembea na maradhi yao unaweza kumpiga hata kofi tu akafa hapohapo ukaingia kwenye matatizo
 
Mkumbo!
Kufata mkumbo!
Kuwa wafanyakazi wa kampuni ya ukopeshaji hakukupi haki ya kumshambulia mdaiwa.
Civil case za madai zipo taratibu za kumfikisha mdaiwa mahakamani awajibishwe, sio kumpiga, kumuua..

Nawasubiri cash x, pesa x na mkopo fasta na wengine siku watakayokuja maana walinitukana kwa simu na sms, niwatandike risasi za mkund#
 
4m RIBA 1,440,000

Ukipewa 4m maombi ya Mkopo ni 200k hivyo hela unayopewa ni 3.8m

Unapotudsha jumla rejesho na deni urudshe 5,440,000.

Rejesho ni kwa wiki 450k kila wiki usiipitishe, siku wala saaa.

Hivi rejesho la Wiki si kutafutia watu waongee wenyewe.

Mkopo ni wa miezi mi 3 tu... hao ndio OYA/HOPE MICROFINANCE.

Msijichanganye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…